MBUNGE CHUMI AZIPIGA TAFU TIMU ZA JIMBONI KWAKE KWA KUZIPA VIFAA VYA MICHEZO NA FEDHA

Mbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akitoa maelezo wakati wa kugawa vifaa vya michezo kwa timu za mafinga mjini pamoja na kuisaidia timu ta Mufindi United kiasi cha shilingi laki TanoMbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akipeana mkono na viongozi wa timu ya Mafinga veterani wakati wa kugawa vifaa vya michezo kwa timu za mafinga mjini pamoja na kuisaidia timu ta Mufindi United kiasi cha shilingi laki Tano

 Na fredy Mgunda, Mafinga
Mbunge wa jimbo la mafinga mjini Cosato...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE

Mbunge wa Jimbo la Nkenge leo amekabidhi vifaa vya michozo vyenye thamani ya shilingi milioni 36,080,000 za kitanzania kwa shule zote za sekondari zilizo ndani ya Wilaya ya Missenyi na timu za mpira za kata 13 zilizomo jimboni NkengeVifaa hivyo vimekabidhiwa katika mkutano mkubwa wa kila mwaka wa Wadau wa maendeleo wa Jimbo la Nkenge uliofanyika jana Alhamisi Dec 14,2017 katika ukumbi wa Halmashauri ya Missenyi-Bunazi Akiongea na wadau Balozi Dk. Kamala amesema; 'anaomba vifaa hivyo vitunzwe...

 

2 years ago

Michuzi

Mbunge wa Mkuranga Mkoa wa Pwani akabidhi vifaa vya michezo kwa shule za Sekondari jimboni

Na David John, Mkuranga.

MBUNGE wa Jumbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega amekabidhi jezi seti20 na mipira 20 zenye thamani ya sh.milioni 4katika shule zote za Sekondari zilizopo katika Jimboni hapa.

Akikabidhi jezi hizo wilayani hapa jana katika hafla fupi iliyowakutanisha walimu wakuu,wanamichezo,watendaji wa halmashauri ,pamoja na Ofisa Elimu ,Ulega amesema ameamua kutoa vifaa hivyo Kwa lengo la kusaidia Serikali katika juhudi za kuinua michezo lakini pia nisehemu ya Kazi zake kama...

 

1 year ago

Michuzi

MBUNGE COSATO CHUMI ATOA MSAADA WA AMBULANCE NYINGINE JIMBONI KWAKE

Na Fredy Mgunda,Mafinga
MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwa kushirikiana na wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wametoa msaada wa gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya matumizi ya kituo cha afya cha Igohole ya wilayani Mufindi, mkoani Iringa iliyopo katika jimbo lake hilo.
Gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser lilikabidhiwa kwa uongozi wa halmashauri ya mji wa Mafinga inayosimamia uendeshaji wa kituo hicho katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE COSATO CHUMI ATOA MSAADA WA AMBULANCE JIMBONI KWAKE


MBUNGE wa Mafinga Mjini Mhe.  Cosato Chumi akizindua gari la kubeba wagonjwa (ambulance) 
Na fredy mgunda, Iringa
MBUNGE wa Mafinga Mjini Mhe.  Cosato Chumi kwa kushirikiana na asasi ya kimataifa ya Rafiki Surgical Mission ya Australia ametoa msaada wa gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kwa ajili ya matumizi ya hospitali ya wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa iliyopo katika jimbo lake hilo.
Gari hilo aina ya Toyota Hiace lenye thamani ya Sh Milioni 40 lilikabidhiwa jana kwa uongozi wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Idd apania kukuza michezo jimboni, akabidhi vifaa kwa timu 60 za soka

962

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Seti za Jezi na Mipira Mmoja wa Viongozi wa timu 60 zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope hapo Kijiji cha Kipandoni Upenja Wilaya ya Kaskazini “B”. Kati kati yao ni Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi.

985

Kocha na Kepteni wa Timu ya Soka ya Kipandoni Star Jeilan Omar Jeilan akipokea mchango wa shilingi 500,000/- kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya kununulia Posi na Nyafu kwa ajili ya Kwinja chao...

 

2 years ago

Dewji Blog

Dk.Kigwangalla agawa vifaa vya michezo Jimboni, ataka michezo kuendelezwa

Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla ameweza kugawa vifaa mbalimbali vya michezo kama alivyowahidi kwa Vijana na timu  za Jimbo hilo huku akitaka michezo yote kuendelezwa.

Dk. Kigwangalla ametekeleza ahadi hiyo katika Vijiji mbalimbali vinanvyounganisha Jimbo hilo la Nzega Vijijini katika ziara yake inayoendelea ya kuwashukuru wananchi wake kwa kuweza kumchagua kwa kura nyingi  na kwenda...

 

3 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI


Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

2 years ago

Dewji Blog

Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu shiriki

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri wa  Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mhandisi Hamad Masauni amekabidhi vifaa vya michezo ikiwemo jezi na mipira kwa manahodha wa timu kumi  zinazotarajiwa kushiriki mashindano yaliyopewa jina la Masauni – Jazeera CUP 2016, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi ya Jimbo la Kikwajuni

Akizungumza kabla ya kutoa vifaa hivyo vya michezo, Mhandisi Masauni alisema lengo la kuanzisha ligi hiyo ni kuwafanya vijana wawe na afya pamoja na...

 

2 years ago

Channelten

Vodacom yakabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu nane

screen-shot-2016-11-09-at-4-18-36-pm

Kampuni ya mawasiliano ya vodacom,  imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu nane za vyuo vya elimu ya juu ya Dar es Salaam kwa ajili ya mashindano yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Mashindano hayo ya siku mbili yanatarajiwa kufanyika jumamosi na jumapili hii, ambapo yatajumuisha michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu na mpira wa kikapu.

Jacqueline Materu ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano  wa vodacom, akiwa pia ndiye aliyeongoza zoezi la kukabidhi vifaa hivuo amesema lengo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani