Mbunge Kubenea asema Bunge limemtelekeza Lissu

MBUNGE wa Ubungo,  Saed Kubenea  (Chadema) amesema Bunge  chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai limekataa kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema),  aliyepigwa risasi zaidi ya 38 akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma, anaandika Mwandishi wetu. Wakati Bunge likikataa kugharamia  matibabu Kubenea amesema Spika Ndugai  yeye aligharamiwa matibabu yake nje ya nchi ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Malunde

SPIKA WA BUNGE AAGIZA ZITTO KABWE NA SAED KUBENEA WAFIKISHWE MBELE YA KAMATI SAKATA LA RISASI ZA TUNDU LISSU

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuagiza kutafutwa kwa namna yoyote Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea apelekwe kesho kwenye Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ili ahojiwe kuhusu kauli aliyoitoa ya kumtuhumu Spika kuwa amedanganya idadi ya risasi alizopigwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.

Pia Spika Ndugai ameagiza Kubenea na Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT Wazalendo), Zitto Kabwe kupelekwa katika Kamati ya Bunge ya Maadili na Madaraka kwa tuhuma mbili tofauti 

Zitto...

 

3 months ago

Malunde

MBUNGE WA SAED KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMSHAMBULIA MBUNGE MWENZAKE

Mbunge wa Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, Saed Kubenea leo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma na kusomewa shtaka la kumshambulia Mbunge mwenzake wa CCM, Juliana Shoza nje ya viwanja vya Bunge.

Akisoma shtaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, James Karayemaha, Wakili wa serikali Beatrice Nsana amedai kwamba mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo Julai 3 mwaka huu.

Hata hivyo, Mhe. Kubenea ambaye anatetewa na Mawakili watano amekana shtaka hilo na kuachiwa kwa...

 

3 days ago

MwanaHALISI

Kamati ya Bunge yashindwa kumhoji Kubenea, alazwa kliniki ya Bunge

KAMATI ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeshindwa kumhoji mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, baada ya kuona hali yake ya kiafya imezorota, anaandika Dany Tibason. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Kampteni George Mkuchika, ameeleza wajumbe kuwa Kamati haiwezi kuendelea na mahojiano na Kubenea kutokana na afya yake kuyokuwa nzuri. “Kubenea amefika hapa mbele ...

 

2 weeks ago

CHADEMA Blog

Tamko la Umoja wa Ulaya (EU) kufuatia jaribio lililohatarisha Maisha ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Singida Mashariki

Tamko la Umoja wa Ulaya (EU) kufuatia jaribio lililohatarisha Maisha ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu,Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Singida MasharikiJumuiya ya Umoja wa Ulaya inatoa tamko lifuatalokwa ushirikiano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wenye uwakilishi Tanzania"Jumuiya ya Umoja wa Ulaya nchini Tanzania inaungana na Serikali ya

 

1 year ago

MillardAyo

AUDIO: Kubenea ahojiwa na polisi leo, wakili wake Lissu kayazungumza haya

kubenea 33

Leo August 15 2016 Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea ameitwa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kwa ajili kuhojiwa kuhusiana na makala aliyoiandika ambayo inadaiwa ni ya kichochezi. millardayo.com na Ayo TV imempata wakili wa Saed Kubenea, Tundu Lissu ambapo amethibitisha kuhojiwa kwa Saed Kubenea na amesema yuko nje kwa dhamana ………. >>>’aliitwa kwenda […]

The post AUDIO: Kubenea ahojiwa na polisi leo, wakili wake Lissu kayazungumza haya appeared first on...

 

2 years ago

StarTV

Mbunge Saed Kubenea apandishwa kizimbani

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupandishwa kizimbani akikabiliwa na shitaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.

Akisoma hati ya mashtaka, Wakili Mkuu wa Serikali Timon Vitalis mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amedai kuwa Desemba 14, 2015 katika kiwanda cha Tooku Garments Company Limited kilichopo Mabibo External Kebenea alitoa lugha chafu dhidi ya  Makonda.

 Wakili wa serikali Timon...

 

2 months ago

MwanaHALISI

Mbunge Kubenea kuhojiwa Polisi DarĀ 

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo (Chadema), Saed Kubenea  amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambulika na Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini Profesa Ibrahim Lipumba kuacha kulipotezea muda Jeshi la Polisi na kwamba aliache lifanye kazi yake , anaandika, Irene David. Kauli hiyo ya Kubenea ikiwa ni siku moja baada ya Profea Lipumba kukimbilia ...

 

1 month ago

MwanaHALISI

Kesi ya Mbunge Kubenea kunguruma Septemba 4

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) hadi Septemba 4 mwaka huu kutokana na uchunguzi wa kesi hiyo kutokamilika, anaandika Dany Tibason. Kubenea anashtakiwa kwa kosa la jinai ambalo anadaiwa kumshambulia mbunge wa viti maalum (CCM), Juliana Shonza wakati wa bunge la bajeti. Hakimu James Karayemaha alipanga ...

 

2 years ago

Global Publishers

Mbunge wa Ubungo, Kubenea Akamatwa na Jeshi la Polisi

kubeneaMbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Picha na maktaba). MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amekamatwa na Jeshi la Polisi leo asubuhi wakati akiwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Kubenea amekamatwa na polisi akituhumiwa kushiriki kumpiga Terresia Mmbando, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mmbando alikuwa mwenyekiti wa mkutano wa kumchagua Meya wa Jiji la Dar es Salaam uliofanyika wiki mbili zilizopita na baadaye kuahirishwa hatua ambayo iliibua malumbano. Kubenea ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani