Mbunge Lijualikali, dereva wake jela miezi sita
Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali na Dereva wake, John Kibasa wamehukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini kwa kosa la kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi mwaka 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
1 year ago
CHADEMA Blog
Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita
1 year ago
Michuzi
Mbunge Wa jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali kuendelea kuwa mbunge licha ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela - Kailima
Mjadala umeshika kasi mitaani, mitandaoni na kila mahali baada ya Mahakama ya wilaya ya Kilombero kumhukumu kutumikia kifungo cha miezi sita jela bila faini Mbunge Wa jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali (30) kwa kosa la kufanya fujo na kusababisha taharuki katika maeneo ya ukumbi Wa halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.

1 year ago
CHADEMA Blog
CHADEMA kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Mbunge wake kwenda jela miezi sita
4 years ago
Habarileo10 Apr
Dereva bodaboda jela miezi sita
DEREVA wa Bodaboda, Shaban Hamis (22) amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 100,000 baada ya kusafirisha abiria bila ya kuwa na leseni ya usafirishaji.
1 year ago
Habarileo12 Jan
Mbunge wa Kilombero atupwa jela miezi sita
MBUNGE wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijualikali (30) amehukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, kwa kosa la kufanya fujo na kusababisha taharuki na uvunjifu wa amani.
1 year ago
StarTV11 Jan
MBUNGE WA JIMBO LA KILOMBERO AHUKUMIWA MIEZI SITA JELA
Na, Jackson Monela – Star TV
Mahakama ya Wilaya ya Kilombero imemuhukumu kifungo cha miezi Sita mbunge wa Jimbo Kilombero mkoani Morogoro Peter Lijualikali (30) mara baada ya kumkuta na hatia ya kufanya fujo na kusababisha taharuki katika uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Machi Mosi mwaka 2016.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Timothy Lyon na imemuhusisha mbunge wa Jimbo hilo Peter Lijualikali pamoja na mwenzake Stephano Mgata (35) ambaye yeye...
1 year ago
Raia Mwema12 Jan
Lissu atangaza ‘vita’ ya kisheria kumnusuru mbunge aliyefungwa miezi sita jela
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia jopo lake la mawakili Jumatatu ya Januari 16, 2017, kitakata rufaa katika Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kifungo cha miezi sita jela kwa Mbunge wa Kilombero, mkoani Morogoro, Peter Lijualikali.
Sambamba na kupinga hukumu hiyo, chama hicho pia kitawasilisha maombi ya dhamana ya dharura kwa mbunge huyo ambaye huu ni muhula wake wa kwanza katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tayari chama hicho kimeanza taratibu za kukata...
1 year ago
MillardAyo11 Jan
Baada ya Mbunge wa Kilombero kuhukumiwa miezi 6 jela, sheria inasemaje kuhusu Ubunge wake?
Mbunge wa kilombero Peter Lijualikani January 11 2017 amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilombero mwaka 2015. AyoTV imemtafuta wakili wa kujitegemea Jebra Kambole kutueleza sheria inasemaje pale ambapo Mbunge anahukumiwa kwenda jela, Ubunge wake unakua kwenye nafasi gani? […]
The post Baada ya Mbunge wa Kilombero kuhukumiwa miezi 6 jela, sheria inasemaje kuhusu Ubunge wake? appeared first on...
3 years ago
GPL
NAOMI ATUPWA JELA MIEZI SITA