MBUNGE MAULID MTULIA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO KATA ZA MSISIRI A, B, NA KAMBANGWA KINONDONI

MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia(CCM), ametembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko ya maji huku akitumia nafasi hiyo kutoa pole kwa wananchi wa jimbo hilo ambao wameathirika kwa namna moja au nyingine na mvua za masika huku akiishauri Halmashauri Manispaa ya Kinondoni kutafuta suluhu ya kudumu ili wananchi wabaki salama.
Pia amesema mbali ya kutoa pole atatumia fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukodisha mashine za kunyonya maji pamoja na fedha ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KINONDONI, MAULID MTULIA ASISITIZA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

 Mbunge wa Jimbo Kinondoni, Maulid Mtulia akizungumza na wananchi Jimboni kwake juu ya kuwasisitiza wananchi kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambayo kwasasa inapatikana Jimboni kwake kwa ada ya shilingi elfu 40,000 kwa mwaka mzima. mwananchi ukiwa na kadi hiyo utamuona Daktali utapa vipimo na kupatiawa dawa. bila kutoa gharama yoyote, katika mkutano huo ulifanyika  kwenye viwanja vya Magomeni jijini Dar es Salaam. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob...

 

1 year ago

Channelten

Athari za Mafuriko Dar, Wananchi Kata ya Mchikichini wapatiwa msaada wa fedha

671403598

Wananchi katika kata ya Mchikichini ambao nyumba zao zimekumbwa na mafuriko wamepata msaada wa fedha kiasi cha shilingi million 5 kutoka kwa mbunge wa Ilala mussa azan zungu pamoja na fedha nyingine kutoka kwa wadau ili kuwasaidia kuzibua mitaro kunusuru nyumba zao zilizozingirwa na mafuriko.

Akizungumza wakati wa kukabidhi fedha hizo Zungu amesema pamoja na kuwasihi kuchukua tahadhari kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha pia amewataka kuangalia namna ya kujiondoa katika maeneo hayo...

 

11 months ago

Michuzi

MTULIA ASEMA SHIDA ZA WANANCHI KINONDONI NI ZAKE, ATAJA ATAKAYOANZA NAYO AKIWA MBUNGENa Ripota Wetu,Globu ya jamii

MGOMBEA ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdallah Mtulia ameendelea kuomba kura huku akiwaambi wananchi yeye hana tofauti na wao.

Pia shida za wananchi ni shida zake, matatizo yao ni matatizo yake pia na kuongeza yeye in mtoto wa kimaskini.tulia amesema hayo kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni kwenye uchaguzi huo wa jimbo hilo.Hata hivyo wakati Mtulia akiomba kura  kwa wananchi hao wa Kinondoni, mgombea ubunge wa...

 

2 years ago

Malunde

Picha: MBUNGE WA TANGA ASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO KWA NEEMA


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo kutokupitika Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akiangalia athari za miundombinu ya barabara ya Tanga hadi Pangani katika eneo la Neema ambako alikwenda kuangalia namna ilivyoharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE WA RUFIJI AKAGUA ATAHRI ZA MAFURIKO JIMBONI MWAKE

 Mbunge wa jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya maafa ya maruriko yaliyotokea Rufiji, Mkoani Pwani, kutokana na mvua kubwa kunyesha. 
Baadhi ya watendaji na viongozi wa serikali wakikagua
sehemu ambayo imepata athari ya mafuriko.Mbunge wa Jimbo la rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa amebeba gunia la mahindi kwa ajili ya kutoa msaada kwa wahanga wa mafuriko hayo.

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ALHAJI MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KUONA ATHARI ZA MAFURIKO ENEO LA NEEMA DARAJANI

 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo kutokupitika.
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akiteta jambo na mmoja wa wakazi wa Jiji la Tanga eneo la Neema mara baada ya kukutana njiani wakati mbunge huyo alipokwenda kukagua kujionea athari zilizotokana na mvua kubwa...

 

12 months ago

MwanaHALISI

Maulid Mtulia asotulia kivita

MAULID Said Mtulia, mwanasiasa kijana aliyejiuzulu ubunge ghafla, na kuhamia CCM hivyo kusababisha fadhaa upande wa upinzani, anaweza kutangazwa mshindi tena katika uchaguzi mdogo. Anaripoti Jabir Idrissa … (endelea). Mfumo wa uchaguzi ambao unadhibitiwa na dola, unaweza kumpenyeza akarudi bungeni. Lakini, ushindi wake hautazamiwi kuwa uliotokana na kura za wananchi. Tangazo lake la tarehe 2 Disemba ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani