MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DKT.MARRY MWANJELWA ATEMBELEA NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI KYELA

 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpunguti wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, alipoenda kuwapa pole ya mafuriko na kukabidhi mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere wilayani humo jana.  Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akikabidhi mashuka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mpunguti wilayani Kyela jana,  alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARARE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole...

 

4 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa wilaya ya Hai, wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwanjelwa alivyosaidia waathirika wa mafuriko Kyela

MBALI na Mbunge wa Jimbo la Kyela mkoani Mbeya, Dk, Harrison Mwakyembe, kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko jimboni humo,  Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Mary Mwanjelwa, amejitokeza na...

 

4 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA KWA KUSHILIKIANA NA BENKI YA NMB YAMWAGA MADAWATI 84 SHULE ZA MSINGI ITIJI NA IVUMWE JINI MBEYA.

   Katibu wa Mbunge viti maalum, Tumaini Mwakatika akizungumza jambo katika hafla ya utolewaji wa madawati 84 kwa shule za msingi Ivumwe na Itiji jijini mbeya kwa niaba ya mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya,Dkt. Mary Mwanjelwa kwa kushirikiana na Benki ya NMB.
Baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB, walimu pamoja na Katibu wa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, na wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Ivumwe Jijini Mbeya, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kukabidhi ...

 

5 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA‏ KYELA: WAATHIRIKA WA MAFURIKO MBEYA BADO WANAHITAJI MSAADA

Mkuu wa Wilaya Kyela Margareth Esther Malenga(katika)akiongozana na  Mkuu wa Vodacom Foundation,Yessaya Mwakifulefule na Mwenyekiti wa chama cha Msalaba Mwekundu"Red Cross"Mkoa wa Mbeya Bw.Ulimboka Mwakilili,wakikagua maeneo yaliyoathirika na Mafuriko wakati walipokwenda kukabidhi msaada wenye thamani ya Shilingi Milion 10 kwa wahanga wa mafuriko wilayani humo. Mkuu wa Wilaya Kyela Margareth Esther Malenga(kulia)akipokea...

 

4 years ago

Michuzi

DR.MARY MWANJELWA USHINDI WA KISHINDO UBUNGE VITI MAALUM MKOWA WA MBEYA

Mgombea ubunge viti maalum mkoa wa mbeya Dr.Mary Mwanjelwa aibuka mshindi katika kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa ccm mkoa wa mbeya na kupata ridhaa ya kulejea tena katika kiti  cha ubunge viti maalum mkoa wa Mbeya kwa ushindi wa kishindo wa asilimia 97 na kuwashinda wagombea kumi (10) kati ya kumi na moja (11) walio kuwa wakigombea na kutaka kuteuliwa na wajumbe wa ccm mkoa wa mbeya...Picha zote Na Fadhiri Atick, Mbeya.Mshindi wa ubunge viti maalum kupitia chama cha mapinduzi mkoa...

 

3 years ago

Michuzi

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa akutana na Wanawake wa UWT wa Mkoa huo

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Rose Tweve (katikati) akifuhia jambo na wanawake wa Baraza la Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Wilaya ya Iringa Mjini baada ya kumaliza mkutano wake na wanawake hao kwa lengo la kujiwekea mikakati ya kukuza ujasiriamali kupitia Saccoss ya UWT. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Rose Tweve (kushoto) akisalimiana na mkazi wa Iringa mjini, Rebeca Mkwavi ambaye ni mlemavu wa macho jana alipokutana nao katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM KAGERA ATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA KAGERA

Na Editha Karlo wa
Globu  ya jamii,Kagera.
MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Kagera Oliver Semuguruka ametoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa katika hospita ya Mkoa wa Kagera.
Ametoa zawadi hizo kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wanawake waliojifungua,watoto na wanawake wajawazito wanaosubiria kujifungua alisema kuwa akiwa kama kiongozi wa jamii anaguswa na masuala mbalimbali hasa yanayohusu wanawake.
"Mimi ni kiongozi wa jamii hasa wanawake,ninaguswa sana na matatizo ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani