MBUNGE WA CCM AMWAGA MACHOZI BUNGENI

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Jacqueline Ngonyani ‘Msongozi’ ametoa chozi bungeni akiitaka Serikali kuwalipa mawakala wa pembejeo na kuacha kutumia kivuli cha uhakiki wa madeni hayo kutoyalipa.

Akichangia bajeti ya kilimo, jana Mei 15, 2018 bungeni, Msongozi amesema madai hayo yamedumu kwa zaidi ya miaka minne huku baadhi wakifariki kabla hawajalipwa.

“Nashangaa sana mawakala wa pembejeo wanadai miaka minne, walihudumia wakulima wetu na walikwenda kukopa fedha katika taasisi, ambazo sasa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Mjumbe amwaga machozi Bungeni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.

 

2 years ago

Mwananchi

Mbunge amwaga chozi bungeni akizungumzia udhalilishaji wa watoto

Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Faida Bakari amemwaga chozi bungeni akielezea udhalilishaji unaofanywa kwa watoto nchini.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mbunge wa Upinzani afyatua bomu la machozi Bungeni Kosovo

Wabunge wa bunge la nchi ya KOSOVO, walijikuta katika hali ya taharuki, walipokuwa wamekusanyika kujadiliana kuhusiana na mgogoro wa mpaka wa MONTNEGRO, mjadala uliokuwa ukitangazwa moja kwa moja na vyombo vya habari.

Kikao cha wabunge hao kililazimika kuvunjika baada ya mbunge mmoja kutoka upande wa upinzani, kufyatua bomu la kutoa machozi, lililoleta kero kwa wabunge.

Wabunge walilazimika kuacha viti vyao na kutoka nje ya kikao.Wabunge wa upinzani wanapinga vikali mjadala huo na hawataki...

 

11 months ago

Malunde

MBUNGE WA CCM SHINYANGA AMWAGA MABATI KATA YA CHADEMA UJENZI WA ZAHANATI KITANGIRI

Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Lucy Mayenga (CCM) ametoa msaada wa mabati 128 kwa ajili ya kuezeka zahanati ya Kitangiri iliyopo katika kata ya Kitangiri manispaa ya Shinyanga ambayo ipo kwenye hatua ya upauaji.

Akizungungumza wakati wa kukabidhi mabati hayo, Mhe. Mayenga juzi alisema uamuzi wa kusaidia hatua hiyo unatokana na ari aliyonayo ya kuunga mkono jitihada zinazofanywa na rais John Pombe Magufuli kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya bila kusafiri umbali...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CCM AMWAGA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI 33 VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI SHINYANGA

  Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametoa msaada wa vifaa tiba ikiwemo vitanda vya kisasa vya kujifungulia,vitanda vya wagonjwa na viti vya wagonjwa katika vituo vya afya na zahanati katika halmashauri ya Shinyanga vijijini na Kishapu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 33.

 Mbunge huyo amekabidhi vifaa tiba hivyo katika Kituo cha afya Tinde,zahanati ya Solwa,zahanati ya Nyashimbi,kituo cha afya Samuye...

 

4 years ago

GPL

GODWIN GONDWE AMWAGA MACHOZI!

Godwin Gondwe ‘Double G’ akifuta machozi.
Brighton Masalu
MTANGAZAJI maarufu ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mlimani, Dar  na Mshereheshaji (MC), Godwin Gondwe ‘Double G’ wikiendi iliyopita alimwaga machozi hadharani wakati akitoa ushuhuda wa maisha aliyopitia wakati wa semina ya ujasiriamali inayofanyika kila Jumapili katika Ukumbi wa Kituo cha Mafuta cha Victoria, kilichopo Kijitonyama jijini Dar es...

 

4 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI

Brighton Masalu
ROSE Muhando, aliye mwimbaji Injili Bongo, amejikuta akimwaga machozi yaliyojaa uchungu huku akitumia kama dakika 45 kuelezea wazi mateso na manyanyaso ambayo anayapitia kwa sasa ikiwemo kuhusishwa na tuhuma za utapeli na ‘kubwia unga’, Risasi Jumamosi linakupa stori kamili! Mwimbaji Injili Bongo, Rose Muhando. ILIKUAJE?
Mwandishi wetu alimtafuta mwimbaji huyo juzi kwa njia ya simu kutoka mkoani Dodoma...

 

4 years ago

GPL

ZITTO AMWAGA MACHOZI UKUMBINI

Stori: Waandishi Wetu/Risasi Mchanganyiko
Hakika wikiendi iliyopita ilikuwa ni shangwe tupu, lakini kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe ilikuwa ya machungu pale alipojikuta akimwaga chozi ukumbini. Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia leseni ya Chadema, Zitto Zuber Kabwe akiwa na Christian Bela. Mpango mzima ulioshuhudiwa na paparazi wetu ulijiri kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni...

 

4 years ago

Mtanzania

Mbasha amwaga machozi mahakamani

mbashaNa Veronica Romwald, Dar es Salaam
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, anayekabiliwa na kesi ya kumbaka mtoto wa miaka 17, jana alitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Wilaya ya Ilala akibubujikwa machozi.
Hali hiyo ilimtokea mara baada ya shahidi wa pili wa kesi hiyo, aliyejulikana kwa jina la Suzan, kutoa ushahidi wake.
Kwa kuwa kesi hiyo inasikilizwa kwenye chemba (chumba maalumu ambacho waandishi na watu wasiohusika hawaruhusiwi kuingia) haikuweza kujulikana mara moja ni kitu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani