MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa wilaya ya Hai, wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARARE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DKT.MARRY MWANJELWA ATEMBELEA NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI KYELA

 Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpunguti wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, alipoenda kuwapa pole ya mafuriko na kukabidhi mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti na Nyerere wilayani humo jana.  Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akikabidhi mashuka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mpunguti wilayani Kyela jana,  alipotembelea waathirika wa mafuriko wilayani humo na kutoa mashuka 150 katika Vijiji vya Mpunguti...

 

4 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI HAI

Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa chini wilayani Hai.Msaada wa magodoro uliotolewa na Benki ya NMB kwa waathirika wa mafuriko yaliyotkea hivi karibuni wilayani Hai.Meneaja wa NMB kanda ya kasakazini Vicky Bishubo akikabidhi msaada kwa mkuu wa wilya ya Hai,Anthony Mtaka huku zoezi hilo likishuhudiwa na mbunge wa jimbo hilo Freeman Mbowe.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ALHAJI MUSSA MBARUKU ATEMBELEA KUONA ATHARI ZA MAFURIKO ENEO LA NEEMA DARAJANI

 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi na kusababisha barabara hiyo kutokupitika.
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akiteta jambo na mmoja wa wakazi wa Jiji la Tanga eneo la Neema mara baada ya kukutana njiani wakati mbunge huyo alipokwenda kukagua kujionea athari zilizotokana na mvua kubwa...

 

4 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni Kujionea Athari za Mafuriko

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeno yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maagizo kwa uongozi wa wilaya ya Kinondoni kuyaondoa kwa haraka maji yaliyozunguka makazi ya watu eneo la Tegeta wilayani Kinondoni kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda pamoja na...

 

4 years ago

Michuzi

MAFURIKO YAATHILI DARAJA LA KIKULETWA WILAYANI HAI

Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mafuriko yaliyong'oa miti na kuharibu kingo za daraja la Kikuletwa wilayani Hai.Mti mkubwa ulizolewa na maji na kisha kugota katika daraja la Kikuletwa.Baadhi ya wakazi wa Kitongoji cha Kikuletwa wakivuka katika daraja hilo.Baadhi ya vijana wakiangalia namna ambayo wataweza kuondoa miti hiyo.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

4 years ago

Michuzi

NMB YASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO - WILAYANI HAI-KILIMANJARO

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea wiki lililopita.
Benki hiyo imetoa vitu mbalimbali vikiwemo unga, maharage, magodoro na sementi vyenye gharama ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tukio hilo lililowaacha mamia ya Watanzania bila makazi huku mali zao zikiharibiwa kwa kiasi kikubwa.
Akikabidhi msaada huo kwa...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA LUSHOTO ATEMBELEA BARABARA YA MOMBO-SONI KUJIONEA ATHARI ZA BARABARAMbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi,mawe kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha hiyo
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akisalimiana na wananchi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akiteta jambo na wataalamu...

 

2 years ago

Michuzi

MUWSA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI ZA KUTOA ELIMU BURE,YACHANGIA MATOFALI 2300 KWA AJILI YA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA WILAYANI HAI.

Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa tofali 2300 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai.Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa wakati wa kukabidhi madawati kwa ajili ya shule ya msingi Msamadi.Mafundi wakiendelea na ujenzi wa madarasa hayo.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani