MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AMALIZA ZIARA JIMBONI MWAKE,ASIKILIZA MATATIZO YA WANANCHI

Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemaliza kufanya ziara yake ya siku tatu katika jimbo la Shinyanga.
Katika ziara hiyo ya kikazi iliyoanza Februari 15,2017 kumalizika Februari 17,2017 ,Mheshimiwa Masele amekagua miradi ya maendeleo na kufanya vikao na wananchi wa kata 14 kisha kujadili na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi. 
Katika maeneo mengi aliyopita,Mheshimiwa Masele amekutana na kilio kikubwa cha tatizo la njaa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

Picha: MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AMALIZA ZIARA JIMBONI,WANANCHI WALIA NJAA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemaliza kufanya ziara yake ya siku tatu katika jimbo la Shinyanga.

Katika ziara hiyo ya kikazi iliyoanza Februari 15,2017 kumalizika Februari 17,2017 ,Mheshimiwa Masele amekagua miradi ya maendeleo na kufanya vikao na wananchi wa kata 14 kisha kujadili na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi.
Katika maeneo mengi aliyopita,Mheshimiwa Masele amekutana na kilio kikubwa cha tatizo la njaa...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AFANYA ZIARA JIMBONI, ATEMBELEA MRADI MKUBWA WA DARAJA LA GALAMBA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Jumatano Februari 15, 2017 ameanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuangalia miundombinu iliyopo katika jimbo hilo.  Mhandisi wa Barabara wa Manispaa ya Shinyanga Injinia Stephen Manyangu akiendelea kutoa maelezo ingawa hata hivyo mbunge Masele aliahidi kutengenezwa/kujengwa kwa barabara hiyo kwa kiwango kwa fedha za mfuko wa jimbo la Shinyanga mjini wakati wanafanya utarabu wa kujenga...

 

2 years ago

Malunde

Picha 44:MBUNGE WA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AFANYA ZIARA JIMBONI,ATEMBELEA MRADI MKUBWA WA DARAJA LA GALAMBA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatano Februari 15,2017 ameanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuangalia miundo mbinu iliyopo katika jimbo hilo. 


Siku ya kwanza ya ziara ya mbunge huyo ilikuwa katika kata ya Kolandoto,Ibadakuli,Shinyanga Mjini,Kambarage na Ngokolo. 
Mheshimiwa Masele alikuwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Rajabu Makuburi pamoja na wataalam kutoka idara mbalimbali...

 

11 months ago

Malunde

Picha: MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA STEPHEN MASELE APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWAKE SHINYANGA

Makamu wa rais wa Bunge la Afrika,Mheshimiwa Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM) amepokelewa kwa shangwe Mjini Shinyanga alipofika kuzungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara.

Mheshimiwa Masele aliyekuwa ameambatana na wabunge wanne akiwemo Mbunge wa Jimbo la Msalala Ezekiel Maige,Mbunge wa Manonga Seif Gulamali,Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma Jackline Msongozi na mbunge wa Babati Vijijini mkoani Manyara Jitu Son,amefanya mkutano wa hadhara katika...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE ULEGA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUSIKILIZA NA KUTATUA MATATIZO YA WANANCHI JIMBONI KWAKE MKURANGA MKOANI PWANI

 Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega akiwa na baadhi viongozi wa vijiji wakielekea eneo lengine kukutana na wananchi na kuyasikiliza na kutatua matatizo yao kwa namna moja ama nyingine wilayani Mkuranga,mkoa wa Pwani Mbunge Abdallah Ulega akijionea hali halisi ya miundombinu ya usafiri kwa wananchi wake wa Mkuranga mkoani Pwani Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega akizungumza na  wananchi wa kijiji cha Kurutu kilichopo kata shungubweni wilayani Mkuranga katika ziara zake za...

 

3 years ago

Dewji Blog

Dk. Kigwangalla amaliza ziara yake ya kuwashukuru Wananchi wa Jimbo la Nzega Vijijini

Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla amemaliza ziara yake ya kuwashukuru Wanachi wa Jimbo hilo kwa kumchagua kuwa Mbunge wao huku akiwaahidi kuendelea kushirikiana nao katika shughuli za kimaendeleo kama alivyotoa ahadi katika uchaguzi uliopita.

Katika ziara hiyo iliyoanza Julai 13 na kufikia tamati Julai 20, mwaka huu, Dk. Kigwangalla ameweza kuzunguka Vijiji mbalimbali vilivyo katika Kata 19 za...

 

4 years ago

Mwananchi

MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: STEPHEN MASELE

Kwa kuwa tulikuchagua kuwa mwakilishi wetu na kwa bahati nzuri ukachaguliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (kabla ya kuhamishwa), kwa nini hujaunganisha umeme katika kata zilizopembezoni kidogo na mjini hata za vijijini?

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE MUSSA WA JIMBO TANGA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani Shutashuta,Saidi Bakari  wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji eneo la Golani Shutashuta Kata ya Pande Jijini Tanga jana wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea kuona namna wanavyotekeleza majukumu yao na changamoto ambazo zinawakabili Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikangalia naamna mradi huo unavyopandwa.Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA NAPE NNAUYE ASHIRIKI KUFANYA USAFI NA WANANCHI JIMBONI KWAKE


Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye na wakazi wa jimbo hilo ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
Usafi ukiendelea Mtama ambapo wananchi wamesafisha mitaro yote pamoja na maeneo ya sokoni.

Mbunge wa Jimbo la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani