Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 kucheza Europa League

May 29, Nahodha wa timu ya taifa Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ambaye anachezea klabu ya KRC Genk ya Inchini Ubelgiji ameandika historia mpya kwenye maisha yake baada ya kuisaidia timu yake kushinda mchezo wa fainali ya play off na hatimaye kufu kucheza michuano ya Ulaya (Europa League).

yq2s

Kwa matokeo hayo, KRC Genk imefuzu Europa League kwa ushindi wa jumla wa 5-3, baada ya Ijumaa iliyo pita kufungwa 2-0 ugenini katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania nafasi ya mwisho ya Europa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Good News kwa mtanzania Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 utamuona Europa League

yq2s

Wakati timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya bila ya nahodha wake Mbwana Samatta na kulazimishwa sare ya goli 1-1, Samatta allikuwa uwanjani nae akipambana kuhakikisha klabu yake ya KRC Genk inashiriki Europa League msimu wa 2016/2017. KRC Genk imefanikiwa rasmi kupata nafasi ya kucheza […]

The post Good News kwa mtanzania Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 utamuona Europa League appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Champions League na Europa League: Ni klabu gani ya Uingereza itakayofuzu kushiriki makombe ya Ulaya msimu ujao?

Huku washindi wa mataji hayo wakishiriki katika makombe ya Champions league na Europa League , inamaanisha nini kwa klabu za Uingereza zinazotarajiwa kufuzu?

 

3 years ago

Dewji Blog

Alichokisema Mbwana Samatta baada ya Genk kufuzu Europa League

Nahodha wa timu ya taifa anayekipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta ameingia katika historia nchhini kwa kuwa mchezaji wa kwanza nchini kupata nafasi kucheza Ligi ya Vilabu barani Ulaya (Europa League) baada ya hapo jana Genk kuibuka na ushindi wa goli 5-1 dhidi ya Sporting Charleroi.

Akizungumza katika kipindi cha Sports Xtra cha Clouds Fm, Samatta alisema limekuwa jambo la heshima kupata nafasi ya kupata nafasi hiyo ya kushiriki mashindano ya vilabu Ulaya na anaamini...

 

2 years ago

MillardAyo

KRC Genk ya Mbwana Samatta imepoteza nafasi ya Europa League

Usiku wa May 31 2017 Club ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilicheza game yake ya mwisho ya play off ya kuwania kushiriki michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2017/18 dhidi ya KV Oostende. KRC Genk ambao msimu uliyoisha walifanikiwa kushiriki michuano ya Europa League na kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali […]

The post KRC Genk ya Mbwana Samatta imepoteza nafasi ya Europa League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Mbwana Samatta afunga goli wa kwanza katika Europa League

Michezo ya kutafuta nafasi ya kushiriki Ligi ya Vilabu Ulaya (Europa League) imeanza kuchezwa barani Ulaya kwa michezo 33 kupigwa kwa vilabu 66 vikitafuta nafasi ya kushirki michuano hiyo.

Mtanzania Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji amefanikiwa kufunga goli la kwanza katika michuano hiyo baada ya kufunga goli la pili katika ushindi wa goli mbili kwa bila ilioupata Genk.

Genk alipata ushindi huo katika uwanja wake wa nyumbani wa Cristal Arena kwa kuifunga Buducnost...

 

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Magoli mawili ya Mbwana Samatta katika mchezo wa UEFA Europa League

Mtanzania Mbwana Samatta usiku wakumkia ijumaa ya Machi, 10 imeisaidia timu yake ya Genk kuibuka na ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Gent katika mchezo wa Ligi ya Vilabu Ulaya (UEFA Europa League).

Magoli ya Samatta katika mchezo huo aliyafunga katika dakika ya 41 na 72 ya mchezo huo uliopigwa katika dimba la Gent linalojulikana kama Ghelamco Arena uliopo Ghent nchini Ubelgiji.

Kutazama  magoli ya Samatta fungua video hii hapa chini.

 

3 years ago

Global Publishers

Huu Ndiyo Mtihani wa Mwisho kwa Samatta Kucheza Europa League

Leo Agosti 5, 2016, Shirikisho la Soka Barani Ulaya, UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya Europa League hatua ya makundi ambapo mechi za kwanza zitachezwa Agosti 18 na marudiano itakuwa Agosti 25.

Kwa upande wa Klabu ya KRC Genk ya Ugiriki amayoichezea straika Mtanzania, Mbwana Samatta imepangwa kucheza na klabu ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia na mchezo wa kwanza watacheza ugenini na wakifanikiwa kuitoa timu hiyo ni rasmi Genk itakuwa imefuzu katika hatua ya...

 

3 years ago

MillardAyo

UEFA wametaja mtihani wa mwisho kwa Genk ya Samatta kucheza Europa League hatua ya Makundi

2394918_w2

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo August 5 2016 limechezesha droo ya mechi za play offs kwa ajili ya mechi za Ligi ya Europa League, UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya Europa League hatua ya makundi, mechi za kwanza zitachezwa August 18 na marudiano itakuwa August 25. Kwa upande […]

The post UEFA wametaja mtihani wa mwisho kwa Genk ya Samatta kucheza Europa League hatua ya Makundi appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la Samatta alilofunga katika mechi ya Europa League July 14 2016

20160715_120835

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta jana July 14 2016 alipata nafasi ya kucheza katika mchezo wa kwanza wa KRC Genk wa kuwania kufuzu Europa League dhidi ya Buducnost Podgorica ya Montenegro, katika mchezo huo Genk waliibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Neeskens Kebano kwa mkwaju wa penati dakika […]

The post VIDEO: Goli la Samatta alilofunga katika mechi ya Europa League July 14 2016 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani