MCHANGO WA MAANDISHI WA MH. ZITTO KABWE KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mh. Zitto Kabwe.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

 

3 years ago

MillardAyo

Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu kiasi cha fedha kitachohudumia deni la Taifa katika bajeti ya 2016/17

latest-news-fotó-650x35035

Una haki ya kupata chochote kinachonifikia mtu wangu wa nguvu hii baada ya kuipata nimeona haitokua nzuri kama nisiposhirikiana na wewe kuisoma hii kuhusiana  na maneno ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Mh Zitto Kabwe kutaja kiasi cha fedha ambacho kitahudumia deni la taifa katika bajeti ya 2016/17. Mbunge huyo alishea taarifa hiyo kupitia kwenye […]

The post Maneno ya Zitto Kabwe kuhusu kiasi cha fedha kitachohudumia deni la Taifa katika bajeti ya 2016/17 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Zitto Kabwe kuhusu bajeti ya Serikali ‘hatukutegemea hivyo awamu ya tano’

vlcsnap-2016-04-27-22h19m37s245

April 27 2016 Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo alihojiwa na AyoTV nje ya bunge Dodoma na kuzungumza kuhusu bajeti ijayo ya serikali, mikopo na ishu nyingine nyeti, mtazame kwenye hii video hapa chini  TATIZO LA VIJANA KUKOSA AJIRA HALIJAACHWA KIMYA BUNGENI LEO Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]

The post VIDEO: Zitto Kabwe kuhusu bajeti ya Serikali ‘hatukutegemea hivyo awamu ya tano’ appeared first on...

 

5 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha: Bajeti ya mwaka 2014/2015 ni Sh19.6 trilioni

Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.

 

3 years ago

Zitto Kabwe, MB

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

Tamko la Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe kuhusu Ripoti ya CAG mwaka 2013/2014

1) Taarifa nyingine ya CAG imetoka, kwa mujibu wa Katiba ya JMT na kwa mujibu wa sheria za nchi. Taarifa hii imechelewa kutolewa kulingana na mabadiliko ya Ratiba za Bunge ambapo hapo awali taarifa ilikuwa ikitoka mwezi Aprili na kuwezesha kuchangia katika mchakato wa Bajeti ya nchi. Taarifa ya mwaka huu na ile ya mwaka Jana imetoka wakati wa Bunge la Bajeti na hivyo Bajeti ya Serikali...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani