Mchengerwa alia tatizo la umeme Rufiji

MBUNGE wa Rufiji Mohammed Mchengerwa(CCM) amehoji ni lini serikali itawaunganisha wananchi wa Rufiji,Kibiti na Kilwa kwenye grid ya taifa, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali jana bungeni, kwa niaba ya Mchengerwa,Mbunge wa Kilolo,Venance Mwamoto(CCM) alidai ni takribani miaka miwili sasa serikali imeshindwa kuwahakikishia wananchi wa jimbo la Rufiji kuwa na umeme wa uhakika. “Je ni lini ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

BUNGENI: ‘Rufiji tuna muingiliano wa jinai unaofanywa na Wafugaji’ -Mchengerwa

February 9 2017 Wabunge walikuwa wakichangia maoni kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na utalii pamoja na kamati ya Kilimo, mifugo na maji. Kati ya waliuopata nafasi ya kusimama ni Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa yeye aliguswa na kuendelea kwa matukio ya mauji ya wakulima na wafugaji yanayoendelea katika baadhi ya maeneo […]

The post BUNGENI: ‘Rufiji tuna muingiliano wa jinai unaofanywa na Wafugaji’ -Mchengerwa appeared first on millardayo.com.

 

2 weeks ago

CCM Blog

MAGUFULI AMEWATENDEA HAKI WANARUFIJI KURIDHIA UJENZI WA STIEGLER'S GORGE RUFIJI - MCHENGERWA

Na Mwamvua Mwinyi,RufijiMBUNGE wa jimbo la Rufiji,mkoani Pwani,Mohammed Mchengelwa amesema Rais Dkt.John Magufuli hakukosea kuridhia kujengwa kwa mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (stiegler's gorge) kwani utafungua milango ya kibiashara ,uchumi ,ajira na maendeleo wilayani humo.Aidha ameeleza ataendelea kupigania kujengwa kwa barabara kutoka Nyamwage-Utete kwa kiwango cha lami , ili kuondokana na adha wanayoipata watumiaji wa barabara hiyo .Akizungumzia...

 

4 months ago

Channelten

Tatizo la Umeme Mikoa ya Mtwara na Lindi, Tatizo kumalizika ndani ya siku kumi

UMEME

Waziri wa Nishati Dkt. Merdad Kaleman ameliagiza Shirika la umeme Tanzania TANESCO kuhakikisha tatizo la umeme katika mikoa ya Mtwara na Lindi lililosababishwa na kuharibika kwa vifaa vya mitambo ya kufua umeme linamalizika ndani ya siku 10.

Hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara imekuwa ni changamoto ambapo maeneo mengine yanakosa kabisa umeme kutokana na mitambo minne kati ya tisa kufikia muda wa matengenezo makubwa na hivyo kuzimwa.

Mikoa hiyo inategemea umeme...

 

2 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

3 years ago

Uhuru Newspaper

Shekifu alia na tatizo la maji


 MBUNGE wa Lushoto (CCM), Henry Shekifu, amelalamikia tatizo la maji mkoa wa Tanga na kuilaumu serikali kwa kutoa ahadi za mara kwa mara huku ikishindwa kuzitekeleza.
Akiuliza swali bungeni mjini hapa jana, Shekifu alisema kwa muda mrefu serikali iliahidi kupeleka maji katika wilaya ya Muheza lakini haijatimiza.
Aidha, Shekifu alitaka kuhakikishiwa kama kuna fungu lolote lililotengwa kwa ajili ya utekelezaji miradi ya maji katika wilaya hiyo kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha.
“Serikali...

 

6 months ago

BBCSwahili

Tanzania yatangaza zabuni ya bwawa kubwa la umeme Rufiji

Tanzania imetangaza zabuni ya ujenzi wa mradi mkubwa wa bwawa la kuzalisha umeme katika moja ya hifadhi kubwa zaidi za wanyama nchini humo.

 

1 year ago

Mtanzania

MWEKEZAJI ALIA KUKOSA UMEME

__800x800_51d25e149f8cd

Na JUDITH NYANGE – MWANZA

MWEKEZAJI wa kiwanda cha kusindika nyama cha Chobo Investment Co Ltd kilichopo Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, amelalamikia tatizo la ardhi ya kufikisha mifugo inayotumika kama malighafi kiwandani hapo.

Akizungumzia changamoto zinazomkabili katika uwekezaji wake juzi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, Mkurugenzi wa Chobo Investment Co Ltd, John Chobo, alisema anakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata ardhi ya kupitisha mifugo 1,520 ili kufikia...

 

11 months ago

Mwananchi

Muuza mafuta alia na Tanesco kuhusu umeme

Mmiliki wa kituo cha mafuta katika mji mdogo wa Ngudu yalipo makao makuu ya Wilaya ya Kwimba, Hamis Magawe amelitupia lawama Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa kutompatia huduma licha ya kulipia gharama zaidi ya mwaka mmoja uliopita.

 

8 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI : UJENZI WA MRADI WA UMEME KWENYE MAPOROMOKO YA MAJI MTO RUFIJI LAZIMA UJENGWE


Rais  John Magufuli amesema ujenzi wa mradi wa umeme katika maporomoko ya maji ya mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) mkoani Pwani lazima ufanyike, akiapa kuwa inyeshe mvua au liwake jua, lazima utajengwa.Alisema hayo jana alipokuwa akifungua Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba), barabara ya Kilwa.
Aliwaeleza wawekezaji kuwa changamoto ya umeme wa uhakika itakwisha, kwani Tanzania itakuwa na umeme wa megawati...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani