Mchezaji ghali duniani aisaidia PSG kuicharaza Celtic 5-0

Klabu ya Celtic ilipokea kichapo kikubwa zaidi nyumbani huku Neymar akiiongoza PSG katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Messi mchezaji ghali zaidi duniani

Lionel Messi ampiga bao Christiano Ronaldo katika orodha ya Wachezaji wenye thamani duniani

 

1 year ago

Dewji Blog

Neymar atajwa kuwa mchezaji ghali zaidi duniani

Staa wa soka anayekipiga wa Barcelona, Neymar ametajwa kuwa mchezaji ni ghali zaidi duniani akiwapita mastaa wengine ambao wanatajwa kuwa wakubwa zaidi yake akiwepo mchezaji mwenzake wa Barcelona, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia 2016.

Jambo hilo la Neymar kuwa mchezaji ghali duniani limejulikana kupitia utafiti ambao umefanywa na kampuni ya tafiti za soka ya CIES Football Observatory ambayo imesema kwasasa Neymar ana thamani ya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Gareth Bale: Sijali kupoteza taji la mchezaji ghali duniani

Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale anasema kuwa hashtushwi na hatua ya kupoteza taji la kuwa mchezaji ghali zaidi duniani

 

1 year ago

BBCSwahili

Mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba azuru Mecca

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba alipakia mtandaoni picha yake akiwa Mecca siku ya Jumapili na kuandika "kitu cha kupendeza zaidi nilichowahi kukitazama maishani mwangu."

 

2 years ago

MillardAyo

TBT: Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba

1328738-28568325-2560-1440-1

Mtu wangu wa nguvu najua umezoea kuona nikikuletea TBT Picha za mastaa mbalimbali wa soka wanaofanya vizuri katika soka, ila leo Septemba 29 2016 naomba nikusogezee TBT Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba. Kama humfahamu Paul Pogba ni jamaa ambaye alizaliwa  Lagny-sur-Marne wazazi wake wakiwa wametokea Guinea, katika soka Pogba ana ndugu […]

The post TBT: Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Dewji Blog

Messi atajwa kuwa mchezaji ghali zaidi duniani, Ronaldo ashika nafasi ya tatu

Staa wa Barcelona, Lionel Messi ameongoza katika orodha ya wachezaji wenye thamani duniani katika utafiti uliofanywa na Chuo cha Kimataifa cha Mafunzo ya Michezo (CIES) na kumtaja Messi kuwa na thamani kubwa kuliko mastaa wengine akiwa na thamani ya Pauni Milioni 163.

Nafasi ya pili inashikiriwa na Neymar aliye na thamani ya Pauni Milioni 155 na Cristiano Ronaldo akishika nafasi ya tatu akiwa na thamani ya Pauni Milioni 106.

Wengine alioingia katika orodha hiyo ni:

4 – Antoine Griezmann –...

 

2 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Tizama magoli ya michezo ya Barcelona – Celtic, Bayern Munich – Rostov na PSG – Arsenal

Michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) imeanza usiku wa Jumanne ya Septemba, 13 kwa michezo saba baada ya mchezo mmoja kati ya Manchester City na Borussia Moenchengladbach kuhairishwa kutokana na kunyesha mvua kubwa.

Matokeo ya michezo hiyo ni;

Basel 1 – 1 Ludogorets Razgrad
Paris Saint Germain 1 – 1 Arsenal
Benfica 1 – 1 Besiktas
Dynamo Kyiv 1 – 2 SSC Napoli
Barcelona 7 – 0 Celtic
Bayern Munich 5 – 0 FC Rostov
PSV Eindhoven 0 – 1 Atletico Madrid

 

The post VIDEO: Tizama...

 

10 months ago

BBCSwahili

Barcelona kumfanya Dembele kuwa mchezaji ghali

Barcelona wanakaribia kumfanya mchezaji wa Borussia Dortmund Ousmane Dembele mchezaji wa pili aliye ghali zaidi katika historia

 

2 years ago

BBCSwahili

Sadio Mane ndiye mchezaji ghali zaidi Afrika

Liverpool wamekamilisha shughuli ya kumsajili Sadio Mane kwa kima cha dola milioni 45 kutoka Southampton.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani