MCHEZAJI KANU WA NIGERIA AMBAYE NI BALOZI WA KAMPUNI YA STARTIMES ATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WA SHULE YA MSINGI YA MAJI MATITU MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM


Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Maji Matitu Bw.  Abdul Mgomi akimkaribisha mchezaji huyo shuleni hapo. Kutoka kulia ni Mwalimu Shabani Msabaha wa shule hiyo, Mchezaji Kanu na Makamu Rais wa Kampuni ya StarTimes, Zuhura Hanif.
Mchezaji Kanu akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada huo.Hapa Kanu akimkabidhi msaada wa sabuni ya unga Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Abdul Mgomi.Wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa shule hiyo wakiwa kwenye hafla hiyo.Kanu akitoa msaada wa magodoro.Kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

STARTIMES YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA SHULE YA MSINGI MAALUMU YA AIRWING JIJINI DAR ES SALAAM

Kutoka kulia ni wafanyakazi wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi. Elena Liu na Paulina Kaka wakifurahia jambo pamoja na Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Airwing, Kitengo cha wanafunzi wenye ulemavu wa akili, Bw. Issa Mkasa wakati wa kukabidhi msaada wa vyakula na mahitaji mengineyo shuleni hapo. Akishuhudia tukio hilo kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Bi. Fabiola Malisa.Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Bi. Zuhura Hanif (mwenye hijab) akikabidhi moja ya msaada wa chakula na mahitaji...

 

4 years ago

Michuzi

PPF YATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI, SHULE YA MSINGI YA JESHI LA WOKOVU JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kushoto), na Afisa wa Fedha Mwandamizi wa Mfuko huo, Angel Mukasa, (kulia), na Mfanyakazi mwingine wa Mfuko huo, Omari Bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunzi hawa wenye ulemavu wa ngozi wa shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, 2015. Katika kutekeleza sera ya mfuko ya kusaidia jamii,...

 

3 years ago

Michuzi

MCHEZAJI KANU WA NIGERIA AZINDUA DUKA JIPYA LA STARTIMES JIJINI DAR LEO


Mchezaji nguli wa kikosi cha Nigeria au Super Eagles na Arsenal ya Uingereza, Nwankwo Kanu (kulia),akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la Kampuni ya StarTimes lililopo jengo la Mkuki Mall Barabara ya Nyerere Dar es Salaam leo mchana. Mchezaji huyo yupo nchini kwa ziara ya siku tano. Kulia kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Lanfang Liao.
Na Dotto Mwaibale
Aliyekuwa mchezaji nyota wa timu ya taifa ya Nigeria (Super Eagles) na Arsenal ya Uingereza, Nwankwo Kanu ameshiriki...

 

4 years ago

Dewji Blog

PPF yatoa msaada kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi, Shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu jijini Dar

Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, (kushoto), na Afisa wa Fedha Mwandamizi wa Mfuko huo, Angel Mukasa, (kulia), na Mfanyakazi mwingine wa Mfuko huo, Omari Bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunzi hawa wenye ulemavu wa ngozi wa shule ya msingi ya Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Septemba 11, 2015. Katika kutekeleza sera ya mfuko ya kusaidia jamii,...

 

4 years ago

Dewji Blog

Mkubwa na wanawe & High Class Look watoa msaada kituo cha watoto yatima Hazina Mbagala Maji Matitu

IMG_4716

 

Mkubwa Fella akikabidhi kiroba cha Sembe kwa Bi Hawa Mmiliki wa Kituo cha watoto yatima Hazina kilichopo Mbagala maji Matitu.

IMG_4727 (1)

Picha ya pamoja na watoto hao.

   

IMG_4755

Vijana wa Yamoto Band Wakitoa Burudani kwa watoto hao.

Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwakupitia yeye aliye Muweza wa yote, Pili nawashukuru Watanzania wote karibu kila nyanja kwa kuonyesha ushirikiano wao kwa Mkubwa na wanawe mpaka kufikia...

 

3 years ago

CCM Blog

ACCESS BANK WATOA MSAADA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM WANAOSOMA SHULE YA MSINGI MTAMBANI
Meneja Masoko wa AccessBank Mr.Muganyizi Jonas Bisheko Akikabidhi Vifaa Mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum wanaosoma  shule ya Msingi Mtambani Iliyopo Boko Manispaa ya Kinondoni.Benki ya Access Bank imetoa Msaada wa Wanafunzi Wenye Mahitaji maalumu wanaosoma Shule ya Msingi Mtambani Manispaa ya Kinondoni.Meneja Masoko kutoka Access Bank alisema Msaada huo ni sehemu ya faida ya Benki hiyo Ambayo Wnarudisha kwa Jamii ya Watanzania hivyo waliguswa na Changamoto Kubwa Zinazowakabili...

 

3 years ago

Michuzi

TCAA WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA AKILI WA SHULE YA MSINGI MTAMBANI BOKO DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania.(TCAA), Hamza Johari(kushoto), akikabidhi msaada wa Kompyuta kwa wanafunzi wenye mahitaji maluum wenye ulemavu wa akili wa shule ya Msingi Mtambani, iliyopo Boko jijiniI Dar es salaam. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule hiyo Mariana Saso na Mkuu wa Kitengo Maalumu cha Wanafunzi wenye Ulemavu wa akili wa shule hiyo Asaph Maerere.Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya TCAA Ukonga, Banana. Wanafunzi wenye mahitaji...

 

3 years ago

Michuzi

MCHEZAJI KANU WA NIGERIA ATOA MAFUNZO KWA WATOTO WA KITUO CHA MICHEZO CHA JAKAYA KIKWETE YOUTH PARK

 Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, Nwankwo Kanu (kulia), akiwaelekeza jinsi ya kucheza mpira wachezaji wa Timu ya vijana waliochini ya miaka 20 ya Sunderland alipotembelea Kituo cha Michezo cha Jakaya Kikwete Youth Park kilichopo Kidongo Chekundu Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana. Kanu yupo nchini kwa ziara ya siku tano kwa mwaliko wa Kampuni ya StarTimes Tanzania ambapo jana alitoa msaada wa vyakula, magodoro, sabuni na vyombo vya matumizi ya jikoni kwa wanafunzi...

 

1 year ago

Michuzi

Benki ya CRDB yakabidhi msaada wa Madarasa na Madawati kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalum Shule ya Msingi Msasani jijini Dar

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta pamoja na Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la madarasa kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalum katika Shule ya Msingi Msasani, Dar es Salaam, Aprili 6, 2018. Msada huo ni ya sehemu ya Benki ya CRDB katika kuisaidia jamii. Ambapo Benki hiyo imejiwekea sera maalum ya kusaidia jamii ambayo inalenga kurudisha kiasi cha asilimia moja ya faida...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani