Mchezaji wa Bolivia apigwa picha na wapinzani

Mshambuliaji wa Bolivia Marcelo Martins alichukua hatua isiyo ya kawaida na kupigwa picha na wapinzani wao Brazil kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

PICHA: Kilichomkuta Neymar katika mchezo wa Brazil na Bolivia

Michezo mitano ya kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia 2018 kwa nchi za America Kusini imechezwa, mmoja wapo ukiwa ni mchezo wa Brazil iliyokuwa mwenyeji wa Bolivia, Brazil ikiibuka na ushindi wa goli 5-0.

Magoli ya Brazil katika mchezo huo yalifungwa na Neymar dk. 11, Phillip Coutinho dk. 26, Filipe Luis dk. 39, Gabriel Jesus dk. 44 na Robert Firmino katika dakika ya 76.

Aidha katika mchezo huo, staa wa Brazil, Neymar alilazimika kutoka dakika ya 68 na kumpisha William baada ya...

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Kilichomkuta Neymar kwenye mechi ya Brazil na Bolivia ni hatari

Alhamis hii imekuwa mbaya kwa mchezaji wa timu ya Barcelona baada ya kujikuta akipasuka na kutoka damu wakati wa mechi za kuwania kucheza fainali za kombe la dunia mwaka 2018 wakati timu ya Brazil ilipokuwa ikicheza na Bolivia.

392e0f9200000578-0-image-a-27_1475818764998

Brazil walikuwa nyumbani kwenye uwanja wao wa Arena das Dunas na walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0. Magoli hayo yalifungwa na Neymar, Phillip Coutinho, Filipe Luis, Gabriel Jesus na Robert Firmino.

Kwenye mchezo huo Neymar alilazimika kutoka nje ya uwanja...

 

5 years ago

GPL

MCHEZAJI YANGA APIGWA PINGU...

Mshambuliaji wa Yanga, Shabani Kondo (kulia) akiwa ndani ya pingu. Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Shabani Kondo, alionja joto ya jiwe jana baada ya kumkunja ofisa wa jeshi la polisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kisha kupelekwa kituo cha polisi. Kondo alikumbana na mkasa huo kufuatia kutaka kupigana na askari baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambao uliishuhudia Yanga ikivunja rekodi ya Mbeya kwa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Refarii apigwa risasi na mchezaji Argentina

Refarii mmoja nchini Argentina amepigwa risasi na kuuawa na mchezaji aliyemuonesha kadi nyekundu uwanjani katika mechi ya daraja la pili.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa Nigeria apigwa risasi na kufariki

Mwanasoka mmoja anayesakata dimba katika michuano ya ligi ya Nigeria, amepigwa risasi na kufariki nyumbani kwake

 

2 years ago

Bongo5

Mchezaji wa Nigeria apigwa risasi na askari na kufariki

Mchezaji mmoja anaye cheza katika michuano ya ligi ya Nigeria, amepigwa risasi na kufariki nyumbani kwake katika jimbo la Bayelsa kusini mwa nchi hiyo.

izu-joseph_oq65o6m7rvpw160ani7lgc54t
Izu Joseph

Mwaandishi wa BBC anasema kuwa Izu Joseph, beki wa timu ya Shooting Stars, aliuawa na askari waliokuwa wakikabiliana na wanamgambo katika eneo lenye utajiri wa mafuta.

Miezi ya hivi karibuni kumeshuhudiwa mapigano mapya katika eneo la Delta, huku wapiganaji wakitaka kupewa sehemu ya utajiri wa mafuta.

Source: BBC

Jiunge na...

 

4 years ago

GPL

Mchezaji Azam agonga Dar, apigwa kama mwizi

Muonekano wa gari hilo baada ya ajali. Wilbert Molandi na Nicodemas Jonas
BEKI wa pembeni wa timu ya taifa, Taifa Stars na Azam FC, Erasto Nyoni, amekumbana na mkasa mkubwa baada ya kudaiwa kumgonga dereva bodaboda katika eneo la Tip Top, Manzese jijini Dar es Salaam. Baada ya kumgonga dereva huyo wa bodaboda akiwa katika kwa gari lake aina ya Toyota Grande Mark 11 GX 110, lenye namba T 901 AZG, Nyoni hakusimama na badala yake...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mchezaji wa Malindi apigwa faini kwa utovu wa nidhamu

Uongozi wa timu ya Malindi inayoshiriki ligi kuu soka ya Zanzibar imechukizwa na kitendo kilichofanywa na mchezaji wao Mussa Moh’d Mrisho kwenye pambano la ligi kuu ya soka Zanzibar lililochezwa juzi saa 10 alasiri katika uwanja wa Amaan ambapo Malindi waliichapa Kimbunga mabao 6-1.

 

Mchezaji huyo alifanyiwa mabadiliko na Kocha wake Saleh Machupa kwa kumuingiza dimbani Moh’d Nyasa lakini kitendo hicho kilionekana kumuudhi mchezaji huyo ndipo hapo alikataa kupokea mkono wa kocha wake baada...

 

10 months ago

BBCSwahili

Mchezaji wa Everton Niasse apigwa marufuku kwa kujirusha

Mshambuliaji wa Everton Oumar Niasse amepigwa marufuku ya mechi mbili kwa kupatikana na hatia ya kujirusha

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani