Mchezaji wa bora wa Afrika taji la BBC mwaka 2017: Mpigie kura unayempenda

Upigaji kura wa mchezaji atakeyeshinda taji la mchezaji bora wa Afrika la BBC umeanza. Wajue wachezaji hao na upige kura sasa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

BBC yataja watakaoshindania tunzo ya BBC Mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016

Wachezaji watano watakaoshindania Tuzo ya BBC ya Mwanakandanda Bora wa Afrika wa Mwaka 2016 wametangazwa.

Wachezaji hao ni Pierre-Emerick Aubameyang, Andre Ayew, Riyad Mahrez, Sadio Mane and Yaya Toure.

Wachezaji hao watano walitangazwa wakati wa kipindi maalum cha moja kwa moja runingani Jumamosi.

Piga kura hapa : bbc.com/africanfootball

Mshindi atachaguliwa na mashabiki wa soka ya Afrika kutoka kila kona ya dunia. Mashabiki wana hadi saa 18:00 GMT tarehe 28 Novemba kumpigia kura mchezaji...

 

4 years ago

GPL

BRAHIMI ASHINDA TUZO YA BBC YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA 2014 AFRIKA

Yacine Brahimi akiwa na tuzo yake ya BBC. MSHINDI wa tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa mwaka 2014 Afrika imekwenda kwa mchezaji wa Algeria na nyota wa Porto, Yacine Brahimi. Hapajawahi kutokea katika miaka 23 ya historia ya shindano hilo kwa mchezaji bora kutoka Algeria kuishinda tuzo hiyo, lakini Brahimi amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo baada ya mwaka uliokuwa na mbwembwe nyingi. Brahimi amewabwaga wachezaji wengine nyota wakiwemo,...

 

1 year ago

Mwananchi

Ada Hegerberg anyakua tuzo Mchezaji Bora wa BBC mwaka 2017

Mchezaji Ada Hegerberg ameteuliwa kuwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa BBC mwaka 2017.

 

10 months ago

BBCSwahili

Watakaoshindania Tuzo ya BBC ya mchezaji bora Afrika kutangazwa 2017

Wachezaji watano ambao watashindania Tuzo ya Mwanakandanda Bora wa Afrika wa BBC mwaka 2017 watatangazwa baadaye leo Jumamosi, 11 Novemba.

 

9 months ago

BBCSwahili

Mohamed Salah atangazwa mshindi Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017

Mohamed Salah wa Misri amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017.

 

11 months ago

BBCSwahili

Samatta, Olunga na Onyango kuwania taji la mchezaji bora Afrika

Denis Onyango wa Uganda, Mbwana Samata wa Tanzania na Micheal Olunga wa Kenya wameteuliwa kuwania taji la mchezaji bora barani Afrika 2017

 

4 years ago

BBCSwahili

Tuzo la BBC la mchezaji bora Afrika

Siku chache kabla ya kutajwa majina ya wachezaji watakaowania tuzo la BBC la Mchezaji bora Afrika katika kandanda BBC inawataja wachezaji wanaoibuka

 

4 years ago

BBCSwahili

Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika 2014

Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika mwaka wa 2014 imetangazwa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani