- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
Mchezaji wa zamani wa England Ugo Ehiogu afariki dunia

Ehiogu alipatwa na mshtuko wa moyo akiwa katika kituo cha mazoezi cha klabu ya Tottenham Hotspur.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
12 months ago
MillardAyo22 Apr
Ugo Ehiogu amefariki siku moja baada ya kuanguka uwanjani
Timu ya Manchester United leo imefuta mchezo wao wa wachezaji wa akiba dhidi ya wachezaji wa akiba wa Tottenham Hospurs kufuatia kufariki kwa kocha wa timu ya U-23 wa Tottenham Hotspurs Ugo Ehiogu, taarifa hizo zimetangazwa na Manchester United asubuhi ya leo April 21 2017. Ugo Ehiogu ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa Aston Villa na […]
The post Ugo Ehiogu amefariki siku moja baada ya kuanguka uwanjani appeared first on millardayo.com.
11 months ago
BBCSwahili
Cheick Tiote: Mchezaji wa zamani wa Newcastle afariki dunia
3 years ago
VijimamboMCHEZAJI WA ZAMANI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA. MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA
Buriani Mchezaji wa Zamani wa timu ya KMKM na Miembeni Zanzibar Mcha Khamis Mcha aliyefarika jana Mjini Dar-es-Salaam akipata matibabu katika hospitali ya Muimbili. kwa mujibu wa habari za ndugu wa karibu wamesema alikuwa akisumbulia na matatizo ya mkojo. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar leo katika bandari ya Malindi saa.6 mchana kwa Boti ya Azam Marine, baada ya kuwasili mwili wa marehemu utapelekwa Kijiji...
1 year ago
Bongo517 Feb
Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Godfrey Bonny afariki dunia
Kiungo wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amefariki dunia alhamisi hii huko nyumbani kwao Mbeya.
Mchezaji huyo alikuwa amelazwa kwa muda mrefu hospitali ya Rungwe-Tukuyu Mbeya alikokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati akicheza soka, Bonny aliwahi kuvitumikia vilabu vya Tanzania Prisons na Yanga kwa vipindi tofauti pamoja na timu ya taifa ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...
4 years ago
Michuzi06 Jun
BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.
11 months ago
MillardAyo05 Jun
Mchezaji wa zamani wa Newcastle afariki baada ya kuanguka mazoezini
June 5, 2017 zipo taarifa mbaya zimeanza kusambaa kwenye mitandano ambazo zinaeleza kuwa kiungo wa zamani wa Newcastle United Cheick Tiote amefariki baada ya kuanguka uwanjani akiwa kwenye mazoezi China. Tiote kiungo wa timu ya Taifa la Ivory Coast alicheza miaka saba akiwa Tyneside akicheza mechi 138 za Ligi Kuu ya England na alijiunga na Klabu […]
The post Mchezaji wa zamani wa Newcastle afariki baada ya kuanguka mazoezini appeared first on millardayo.com.
2 years ago
Bongo508 Jun
Mchezaji wa zamani wa Nigeria na kocha Stephen Keshi amefariki Dunia
Mchezaji wa zamani wa Nigeria na baadaye akaja kuwa kocha wa Timu hiyo ya Super Eagles Stephen Okechukwu Chinedu Keshi ameiaga Dunia saa chache zilizopita.
Emmanuel Ado, kaka wa marehemu amesema Keshi amefariki mapema leo Jumatano, Juni 8. “Kwa mapenzi yake Mungu, familia ya Ogbuenyi Fredrick Keshi inatangaza kifo cha Mr. Stephen Okechukwu Chinedu Keshi,” ilisema taarifa hiyo ya Ado.
Taarifa hiyo ikaendelea: “Mtoto wetu, kaka yetu, baba yetu, mkwe wetu, shemeji yetu, amekwenda kuungana na...
2 years ago
Mwananchi05 Mar
Waziri wa zamani afariki dunia