Mchezo wa Washua, ila njaa kali

MIAKA zaidi ya kumi iliyopita kila ulipokatisha kona ya Jiji la Dar es Salaam hasa siku za wikiendi, ilikuwa lazima usikie mchezo wa kikapu ukizungumzwa. Hii ni kwa sababu uliteka akili za watu wengi ukiweka kandom soka na Dar ndio ulikuwa mkoa pekee unaotoa wachezaji wengi katika timu ya taifa ya mchezo huo kutokana na ubora wa ligi yake kwa miaka hiyo.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MwanaHALISI

Njaa kali yaja

SABABU ya Rais John Magufuli kusema hatagawa chakula kwa wananchi watakaokumbwa na njaa, ni kutokana na serikali kutokuwa na akiba ya kutosha, anaandika Shaaban Matutu. Rais Magufuli ametoa agizo kwa wananchi kuzalisha chakula cha kutosha lakini David Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini amefichua uhaba wa chakula mwishoni mwa wiki katika kongamano lililokuwa ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Nigeria yakumbwa na njaa kali

Njaa kali inawakabili watoto waliozingirwa katika vita kitambo kirefu katika ngome ya zamani ya kundi la dola ya kiislamu Kiislam, Boko Haram.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Wabunge njaa kali, Spika alalama

WAKATI Serikali ikipongezwa kupunguza madeni ya walimu, imetakiwa pia kulipa madeni ya wabunge ambayo wanadai muda sasa. Kauli ya kuitaka Serikali kuwalipa wabunge ilitolewa jana mjini hapa na Naibu Spika,...

 

2 years ago

Habarileo

Njaa Kali moto kwa Lugalo

TIMU ya soka ya FC Lugalo juzi ilikiona cha moto baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 katika mchezo wa michuano ya Kombe la Ujirani Mwema uliochezwa kwenye Uwanja wa Maungani.

 

1 year ago

BBCSwahili

Sudan Kusini Hali si shwari, njaa kali

Ukubwa wa janga la njaa katika Jimbo la Unity nchini Sudan Kusini hali hii imebainishwa na kitenga cha umoja wa mataifa cha usambazaji misaada pamoja na familia ambao wameweza kufikiwa

 

1 year ago

RFI

UN yasema Sudan Kusini sasa haikabiliani na njaa kali

Umoja wa Mataifa unasema taifa la Sudan Kusini sasa halikabiliani tena na baa kubwa la njaa.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Njaa kali ilivyowaokoa madereva Congo, Ajali zamshitua Rais Magufuli

madereva

AyoTV kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo September 22 2016 ziko hapa kwenye hii video. ULIIKOSA HII YA MADERERVA WALIOTEKWA CONGO WALIVYOSIMULIA ILIVYOTOKEA MPAKA KUOKOLEWA? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

The post VIDEO: Njaa kali ilivyowaokoa madereva Congo, Ajali zamshitua Rais Magufuli appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Mwananchi

KAKAKUONA : Tanzania inakabiliwa na baa la njaa au tishio la njaa?

Kauli ya Rais John Pombe Magufuli kuwa Tanzania hakuna njaa imeibua hisia tofauti na swali kuu je nchini tuna njaa au tishio la njaa.

 

1 year ago

Global Publishers

Samatta si wa Mchezo Mchezo, Aibeba Stars, Atupiamo Dakika 3 za Mwanzo na 3 za Mwisho

MSHAMBULIAJI wa anayeiwakilisha Tanzania Kimataifa kutoka Klabu inayocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji na Europa League, KRC Genk, Mbwana Ally Samatta ameibeba Taifa Stars baada ya kuongoza jahazi na kufanikiwa kutupia bao mbili za kwake wakati Taifa Stars ikiichapa Botswana bao 2-0.

Katika mchezo huo wa kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Samatta alitupia bao hizo kunako dakika ya 3 na ya 87 ya mchezo huo huku akionesha kiwango bora cha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani