Mchumba wa Diamond atambulisha gari lake aina ya BMW

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita tangu msanii Diamond Platnumz kukutana na mpenzi wake ambaye ni raia wa Kenya Tanasha Dona,

Tanasha ameamua kuitambulisha na kuionesha hadharani gari yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada, Tanasha ameioesha hadharani gari yake hiyo aina ya BMW yenye rangi ya blue.

Tanasha akiwa na Diamond

Tanasha ameitambulisha gari hiyo na kuandika:-
Miss my BEAST baby blue

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

4 years ago

GPL

GARI AINA YA BMW‏ INAUZWA

  Muonekano wa gari aina ya BMW.…

 

3 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mercedes yatoa toleo jipya la gari aina ya SUV ili kuchuana na kampuni ya BMW

Kampuni maarufu ya utengenezaji wa magari duniani ya Mercedes-Benz imetoa toleo jipya la gari la kifahari ambalo linatarajiwa kushindana katika soko la biashara ya magari na wapinzani wake wakubwa BMW na LEXUS.

Uamuzi wa kampuni hii maarufu duniani  kutoa toleo jipya la gari la kifahari aina ya GLC43 unafuatia baada ya uhitaji wa watu na wanunuzi wa magari katika soko la biashara ya magari.

Gari hilo jipya aina ya GLC43 lililotoka hivi karibuni linafanana kiasi na toleo la gari hilo la mwaka...

 

5 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama  Diamond Platnumz kupitia instagram ameamua kuonesha gari lake jipya lakifahari ambalo atatumia katika shuhuli zake akiwa South Afrika.

diamondplatnumz

 

 

 

 

The post Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Malunde

ALIYETAKA KURITHI PENZI LA DIAMOND KWA ZARI AAIBIKA NA GARI LAKE JIPYA AKITAKA KUHONGA

Zari The Boss Lady amesema hamfahamu Ringtone Apoko ambaye ni msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya aliyetangaza kumnunulia mrembo huyo gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017.
Hapo jana Ringtone Apoko aliweka wazi kuwa amenunua gari hilo baada ya kusikia Zari atawasili nchini humo kwa ajili ya event yake, pia kipindi cha nyuma msanii huyo alipopata taarifa za Zari kuachana na Diamond alijitokeza na kueleza ana nia ya kumuoa.
 Zari akiwa nchini Kenya amehojiwa na kituo cha Radio,...

 

4 years ago

Vijimambo

Je Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' Amelinunua Gari Hili Aina ya Rolls Royce Lenye Thamani ya Zaidi ya Tshs 367,080,000 ?

 Diamond ameshtua Mashabiki wake tena baada ya kupost picha ya gari kali na la gharama sana duniani Aina ya Rolls Royce kwenye Page yake ya InstagramMaswali mengi yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani