MCT yapinga sheria inayofinya uhuru habari Tanzania

Uhuru wa vyombo vya habari ni msingi wa demokrasia ya utawala wa sheria, uwajibikaji, uwazi na utawala bora

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Channelten

Wadau wa habari wakiongozwa na MCT leo wamefungua kesi ya kupinga sheria ya huduma za vyombo vya habari

screen-shot-2017-01-11-at-4-01-00-pm

Wadau wa habari wakiongozwa na Baraza la habari Tanzania MCT leo wamefungua kesi ya kupinga sheria ya huduma za vyombo vya habari namba 12 ya mwaka 2016 katika mahakama ya Afrika Mashariki EACJ jijini Dar es salaam.

Katibu mtendaji baraza la habari Tanzania MCT Kajubi Mukajanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kesi hiyo mahakamani hapo amedai kuwa sheria hiyo iliyopitishwa na bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania novemba 5 mwaka jana ina baadhi ya vifungu...

 

1 week ago

Dewji Blog

MCT, LHRC, THRDC watinga mahakama ya EACJ kupinga Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari

Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Mtandao wa Haki za Binadamu Tanzania ( THRDC) leo Jumatano ya Januari 11, 2017 wamefungua kesi ya kuipinga Sheria Mpya ya Huduma za Vyombo vya Habari namba 12 ya mwaka 2016 katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ).

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufunguliwa kesi hiyo, Katibu Mtendaji MCT, Kajubi Mukajanga amesema washirika waliofungua kesi hiyo wanataka baadhi ya vifungu vya sheria vinavyokandamiza...

 

3 years ago

Michuzi

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga akiongea wakati akifungua katika mkutano huo Picha za pamoja ya mgeni rasmi na washiriki baada ya ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na...

 

3 years ago

Tanzania Daima

Upinzani wataka sheria ya uhuru wa habari

KAMBI Rasmi ya Upinzani, imeitaka Serikali kuharakisha mchakato wa kupata sheria mpya ya uhuru wa vyombo vya habari ili  kufuta sheria kandamizi  zinazominya uhuru wa habari. Kauli hiyo ilitolewa jana...

 

3 months ago

Dewji Blog

UNESCO yakemea sheria zinazokandamiza uhuru wa habari

WAKATI Bunge la Tanzania wiki hii linatarajiwa kujadili na kupitisha muswada wa habari, Shirika la Umoja wa mataifa la Elimu, sayansi na Utamaduni (UNESCO) limehadharisha juu ya uwapo wa sheria zinazotishia uhuru wa vyombo vya habari.

Akizungumza katika kongamano linalohusu ukatili kwa waandishi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukatili kimataifa kwa waandishi wa habari, Mkuu wa idara ya mawasiliano na habari wa UNESCO, Ofisi za Tanzania, Christophe Legay alisema katika utekelezaji wa...

 

2 months ago

Channelten

MCT imezindua rasmi tuzo za umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania EJAT mwaka 2016

screen-shot-2016-11-15-at-6-12-26-pm

Baraza la Habari Tanzania MCT limezindua rasmi tuzo za umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania EJAT mwaka 2016 huku kukiwa na makundi mawili mapya ya kushindaniwa ambayo ni Uandishi wa Habari wa Data na Uandishi wa Habari za Jinsia, Watoto na Wazee.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga amesema mwaka huu kutakuwa na makundi 19 ya kushindaniwa kutoka 22 ya mwaka jana.

Mukajanga amebainisha kuwa hii itakuwa ni mara nne kamati ya...

 

3 years ago

Tanzania Daima

MCT yataja jopo la wajuzi wa habari

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetangaza majina saba ya wajumbe wapya wa jopo la wajuzi wa uhuru wa habari wa kujiendeleza. Majina hayo yalitangazwa mjini Dodoma jana na Katibu Mtendaji...

 

9 months ago

Habarileo

Tanzania yang’ara uhuru wa habari

WAKATI keshokutwa ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema utafiti uliofanywa hivi karibuni na waandishi wa habari wasio na mipaka katika nchi 180, umebaini kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa kutunza uhuru wa vyombo vya habari.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani