MDADA APATA KIGUGUMIZI BAADA YA KUGONGANISHA MCHUMBA WAKE NA MCHEPUKO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

ASKARI POLISI MWENYE MKE AJINYONGA TABORA KISA 'MCHEPUKO WAKE' KUWA NA MCHEPUKO MWINGINEAskari aliyekuwa akifanya kazi kituo kidogo cha polisi tarafa ya Igurubi wilayani Igunga mkoani Tabora, amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia shuka kutokana na kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Askari aliyejiua ametambulika kwa jina la G.4185 PC Geofrey Mwenda (32 ) ambaye inadaiwa hawara yake mpya ndiyo chanzo cha kuchukua maamuzi ya kutoa uhai wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Hamisi Issa alisema tukio hilo limetokea juzi saa tatu usiku.

Akisimulia tukio hilo, Kamanda Issa alieleza...

 

5 years ago

GPL

MAYA APATA KIGUGUMIZI NDOA YAKE

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE kwenye kilinge cha filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’, amepata kigugumizi cha ghafla kuzungumzia ndoa yake ambayo maandalizi yake ya awali yaliwahi kufanyika. Mkongwe kwenye kilinge cha filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Akizungumza na mwandishi wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na ndoa hiyo iliyokuwa ifanyike mwaka juzi, Maya alishindwa kuzungumzia jinsi ilivyoyeyuka na badala yake...

 

4 years ago

CloudsFM

KUJIFUNGUA KWA FLORAH,MBASHA APATA KIGUGUMIZI

Picha mbalimbali zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiuonyesha mwimbaji wa nyimbo za injili Florah Mbasha akiwa leba akijifungua zimezua utata baada ya aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha kupata kugugumizi kwa kutotoa majibu ya uhakika aliulizwa kuhusiana na kujifungua kwa mkewe huyo.Mbasha amehojiwa na Soudy Brown kupitia Uheard hakutoa majibu ya kuelewa baada ya kila anachoulizwa anajibu kwamba hamsikii kwamba ndiyo alikuwa anaaamka na simu ikakata.

Kumekuwa na sintofahamu kuhusu mimba...

 

2 years ago

Bongo5

Jux apata kigugumizi kuzungumzia kinachoendelea kati yake na Vanessa

Baada ya tetesi kuzagaa katika mitandao ya kijamii kuwa Jux ameachana na mpenzi wake Vanessa Mdee, Jux ameshindwa kufunguka hukusu sakata hilo.

Muimbaji huyo amedai yupo kwenye mahusiano huku akishindwa kueleza anaendelea kutoka na Vanessa au amepata mrembo mwingine.

Akiongea katika kipindi cha FNL cha EATV, Jux amedai yeye naendelea na shughuli zake za muziki na Vanessa yupo nje ya nchi kwaajili ya shughuli zake za muziki.

“Kwanza nataka kukusahihisha kuwa mimi sio single boy, niko na mtu,”...

 

3 years ago

Bongo5

Nani zaidi kati ya Harmonize na Raymond? Kayumba apata kigugumizi kuamua

Nani mkali zaidi ya Harmonize na Raymond?

11382965_1775443522688514_1865335663_n

Vijana hawa walio chini ya label ya Diamond, WCB wanafanya vizuri kwa sasa kwa nyimbo zao ‘Bado’ na ‘Kwetu’ lakini kila linapokuja swali la nani mbabe zaidi ya mwenzie, wengi hupata kigugumizi, akiwemo mshindi wa BSS 2015, Kayumba.

“Mimi wale wote ni kaka zangu, wote napenda kazi wanazofanya,” Kayumba ameiambia Bongo5.

“Mimi sijaona utofauti wowote kati yao,” ameongeza. Kwa upande mwingine Kayumba amesema suala la kufanya nao ngoma...

 

3 years ago

Bongo5

Aliyekuwa mchumba wa Wizkid apata ujauzito

wizkid-and-tania

Aliyekuwa mchumba wa staa wa Nigeria, WizKid, Tania Omotayo amepost picha ikimuonyesha akiwa mjamzito.

02_08075105_6e5bfc_2729405a

Ikiwa ni mwaka mmoja kupita tangu wawili hao kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi, Tania amepost picha na kuandika, “@marveleuphoria somebody cannot eat in peace again? Well maybe sha pregnant with amala and ewedu 😁.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India apata mchumba

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la  Lalita Ben Bansi ambae ni Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India amefanikiwa kupata mchumba na kuolewa  huko India.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 26 Alifanikiwa kumpata mume baada ya kupiga simu nambari iliokoseka na kusema kufanikiwa kupata mpenzi ni kama miujiza.

“Bi Bansi alipiga simu yangu kwa bahati mbaya miezi mitatu iliyopita. Nilimpigia tena baada ya siku 15,” Bwana Singh, mwenye umri wa miaka 27, anayefanya kazi na kampuni ya CCTV...

 

2 years ago

Malunde

HATIMAYE MWANAUME ALIYEZALIWA BILA MAPAJA APATA MCHUMBA


Mrembo Chelsee Stuart (19) akiwa na mumewe Nathan Hrdlicka (34) wakiwa kwenye pozi la mahaba.
Mwanaume huyo aliyetambulika kwa jina la Nathan Hrdlicka (34) alimpata mpenzi wake huyo aitwae Chelsee Stuart (19) kupitia mtandao wa facebook na baadae kukutana nae mjini Santa Fe nchini Mexico na kumvisha pete ya uchumba rasmi.
Nathan mwenye urefu wa futi 4.6 alikuwa akitaniwa na watu mtaani kwake kuwa ni mbilikimo na kujikuta akikataliwa na kila mwanamke aliyejaribu kumchumbia.
Hata hivyo,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani