Mdau Salum Mwalimu ajitosa kuwania nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi Maryam Ahmed Omar akimkabidhi fomu Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za Chadema kisiwani humo. Mmoja wa wachama wa CHADEMA Zanzibar Bikwao Khamis akitia saini ya fomu ya udhamini wa Salum Mwalim (aliyesimama wa kwanza kushoto) anaegombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho kundi la Zanzibar. Mwalim alichukua na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

SALUM MWALIMU AJITOSA KUWANIA NAFASI YA UJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA Zanzibar Bi. Maryam Ahmed Omar akimkabidhi Salum Mwalim fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za Chadema kisiwani humo.
Mmoja wa wachama wa CHADEMA Zanzibar Bikwao Khamis akitia saini ya fomu ya udhamini wa Salum Mwalim (aliyesimama wa kwanza kushoto) anaegombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya...

 

3 years ago

Ippmedia

Deputy secretary General of CHADEMA (Zanzibar) Salum Mwalimu and 18 members appear in court

The deputy secretary general of CHADEMA- Zanzibar Salum Mwalimu and 17 other members of the party have appeared in court in Simiyu region to face charges of inciting people to break the law.

Day n Time: Tuesday 08:00 PM Station: CAPITAL TV

 

4 years ago

Michuzi

Mdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini

Na Ahmaid MMOW-Lindi 
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Salum Mwalim ajitosa CHADEMA

MWANAHABARI Salum Mwalim, amejitosa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia nafasi za Zanzibar. Mwalim ambaye kwa sasa ni Meneja Uhusiano wa nje wa...

 

5 years ago

Michuzi

Shamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu.

Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Salum Mwalimu: Chadema kimbilio la wanyonge

SALUM Mwalimu, si jina geni kwa Watanzania wengi wanaofuatilia matukio yanayotokea hapa nchini na nje ya nchi mara kwa mara. Jina hili ni la mwanahabari aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa katika...

 

3 years ago

Michuzi

Mdau Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) aka nondozzz china

 Mdau Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) akiwa na mhitimu mwenzake wa PhD ambao wametunukiwa vyeti vyao jana na Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo jana.  Juma Mohammed Salum wa Idara ya Habari (MAELEZO Zanzibar) akiwa na wahitimu wenzake wa PhD baada ya kula nondozzz zao  Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University katika mahafali yaliyofanyika Chuoni hapo jana.  Mdau Juma Mohammed...

 

3 years ago

Global Publishers

Salum Mwalimu na Wafuasi 18 wa Chadema Waachiliwa kwa Dhamana

mwalimMahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu imewaachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu na wafuasi wengine 18 wa chama hicho baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya siku 12. Kiongozi huyo wa Chadema na wafuasi hao 18 walikuwa wakishikiliwa katika mahabusu za jeshi la polisi kwa tuhuma za kuandaa na kuhamasisha maandamano na mikutano ya Oparesheni ya chama hicho iliyopewa jina la UKUTA, ambayo ilipigwa marufuku na jeshi hilo. Walifanikiwa kupata dhamana baada ya Hakimu wa...

 

3 years ago

Global Publishers

Naibu Katibu Mkuu Chadema, Salum Mwalimu Atiwa Mbaroni

salum mwalimu

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, jana Alhamisi, Agosti 25, 2016 alikamatwa na Jeshi la Polisi huko maeneo ya Mwandoya wilayani Meatu mkoani Shinyanga kwa kosa la uchochezi.

Taarifa zimeeleza kuwa, inadeaiwa Salum Mwalimu alikamatwa na baadhi ya Viongozi wengine wa chama hicho wakati wakiwa kwenye mkutano wa ndani wa chama jambo ambalo jeshi la polisi limeshapiga marufuku. Baada ya kukamatwa walipelekwa polisi na kuhojiwa baadaye wakashikiliwa huko ambapo alilala sero.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani