MDUDE NYAGALI AMEKAMATWA NA POLISI

MDUDE NYAGALI AMEKAMATWA NA POLISI Kamanda Mdude Nyagali amekamatwa na Polisi akiwa ofisini kwake Vwawa, Mbozi mkoani Songwe leo tarehe 01/11/2017 ambapo amepelekwa kituo cha Polisi Vwawa na taarifa za awali zinasema amefunguliwa shtaka la uchochezi na anataka kusafirishwa kwenda Dar au mkoa mwingine. Japo kwa sasa wamesema madai ya kumkamata ni kuwa ameunganishwa kwenye kesi ya uchochezi

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA MAKAMANDA WOTE PAMOJA NA WAPENDA HAKI KUHUSU MWANACHADEMA MWENZETU MDUDE NYAGALI

1.Taarifa zilizothibitishwa na mimi mwenyewe ni kuwa rafiki yetu na kamanda wetu Mdude Chadema Nyagali Afisa wa CHADEMA Kanda ya Nyasa amefikishwa Kituo cha polisi Ostabay Kinondoni hapa Dar es salaam akisafirishwa kutoka mbeya alikokamatwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi. Kamanda wetu Hali yake sio nzuri na ni kweli miguu yake yote imevunjika na hawezi hata kusimama tu nategemea taratibu

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu amekamatwa na Polisi DSM

Ni habari za leo June 3, 2017 ambazo nimezipata kutoka DSM ambazo zinaeleza kuwa Polisi wanamshikilia Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania THRDC Onesmo Olengurumwa na kuzuia uzinduzi wa Kitabu cha Watetezi wa Haki Vyuoni kilichoandikwa na Alphonce Lusako. Tukio hilo limetokea katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel Ubungo Dar es Salaam ambapo millardayo.com […]

The post BREAKING: Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu amekamatwa na Polisi DSM appeared first on...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amekamatwa na polisi akiwa nyumbani kwake alfajiri ya leo

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA) amekamatwa na polisi akiwa nyumbani kwake alfajiri  ya leo. Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amethibitisha tukio hilo, lakini hakutaja sababu za kukamatwa kwa mbunge huyo.

Jana Jeshi la Polisi mkoani Kigoma liliwakamata viongozi waandamizi wanne wa Chadema mkoa wa Kigoma na jimbo la Kigoma mjini kwa kile kinachodaiwa ni kujihusisha na vitendo vya uchochezi.

Waliokamatwa na kuwekwa mahabusu ni mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Kigoma, Ally...

 

3 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani amekamatwa Niger

Kiongozi wa upinzani wa Niger amekamatwa mwaka mmoja baada ya kutoroka akiwa anakabiliwa na mashtaka ya biashara ya ulanguzi wa watoto.

 

5 years ago

BBCSwahili

Gavana wa Lamu Kenya amekamatwa

Serikali ya Kenya imekamata gavana wa jimbo lililokumbwa na mapigano yaliyosababisha vifo vya watu 65

 

2 years ago

Mwananchi

Yeriko amekamatwa au ametekwa? Lema ahoji

Dar es Salaam. Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) Godbless Lema ameuliza swali je, Yeriko Nyerere amekamatwa au ametekwa?

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Koffi Olomide amekamatwa Nairobi Kenya

cvo

Mwanamuziki wa Congo Koffi Olomide ambaye amewasili Nairobi Kenya leo asubuhi ya July 22 akiwa na wanamuziki wake pamoja na dancers wake kwa ajili ya show, ameripotiwa kukamatwa baada ya kumpiga teke dancer wake wa kike wakati wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Nairobi. Koffi Olomide amekamatwa nje ya studio za Citizen TV […]

The post VIDEO: Koffi Olomide amekamatwa Nairobi Kenya appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Global Publishers

Sirro: Steve Nyerere Atakuwa Amekamatwa na Upelelezi

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

KAMISHNA wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa suala la Mchekeshaji na Mwigizaji wa Bongo Muvi, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ juu ya kukamatwa kwake kuwa hafahamu suala hilo labda litakuwa chini ya Idara ya Upelelezi kwa kuwa halijamfikia mezani kwake.

Kauli hiyo ameisema leo wakati alipoulizwa swali na wanahabari kuhusiana na taarifa zinazosambaa mitandaoni ya...

 

3 years ago

Channelten

Kiongozi wa upinzani Zambia amekamatwa kwa madai ya kumkashifu rais Edgar

Chanda-Eric

Mmoja wa viongozi wa upinzani nchini Zambia amekamatwa kwa madai ya kumkashifu rais Edgar Lungu. Eric Chanda kutoka chama cha 4th Revolution, alidai kuwa Lungu alikwenda klabu na kucheza pool kwa kutumia pesa za walipa kodi, wakati akiwa mapumzikoni. Wakosoaji wa serikali wanasema kukamatwa kwa Chanda ni sehemu ya ukandamizaji mpana kuelekea uchaguzi wa mwezi Agosti. Alitoa matamshi hayo mwaka mmoja uliopita katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Post. Kiongozi mwingine wa upinzani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani