Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City

Latest-Stats

Ligi Kuu ya Ubelgiji inaendelea leo February 28 kama kawaida, ila kwa upande wa timu inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta itakuwa na mtihani wa kucheza na vinara wa Ligi hiyo, Club Brugge katika mchezo utakaochezwa saa 16:30 leo February 27. Ligi Kuu Uingereza inaendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa, ila mchezo kati ya Man United […]

The post Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Muda mchache kabla ya mechi ya Man City vs Real Madrid, hizi ni takwimu muhimu kuzifahamu

_89432686_aguero

Bado masaa kadhaa kabla ya nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuchezwa katika uwanja wa Etihad Uingereza, mchezo ambao utakuwa unazihusisha klabu za Man City dhidi ya Real Madrid, mtu wangu wa nguvu hizi ni takwimu muhimu za kuzifahamu. MECHI 5 ZA MWISHO MAN CITY KUCHEZA KABLA YA NUSU FAINALI YA LEO […]

The post Muda mchache kabla ya mechi ya Man City vs Real Madrid, hizi ni takwimu muhimu kuzifahamu appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli 17 yaliofungwa katika mechi za Liverpool, Man City, Arsenal na Tottenham Oct 29

39daa90600000578-0-image-m-9_1477765476796

Ligi Kuu England imepigwa leo michezo 7 katika ardhi ya England, tumeshuhudia baadhi ya timu zikichukua point zao tatu, wakati Man United wakiwa katika uwanja wao wa Old Trafford wameshinda kupata matokeo dhidi ya Burnley na kulazimishwa suluhu ya 0-0. Kwa upande wa Arsenal wakiwa ugenini wamefanikiwa kuifunga Sunderland kwa jumla ya goli 4-1, Crystal […]

The post VIDEO: Magoli 17 yaliofungwa katika mechi za Liverpool, Man City, Arsenal na Tottenham Oct 29 appeared first on...

 

4 months ago

BBCSwahili

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 31 Desemba, 2018.

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool,Man City zashinda Man United nje

Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp,ameandikisha ushindi wake wa kwanza,huku Man United ikiambulia kichapo mikononi mwa Middlesbrough

 

3 years ago

MillardAyo

Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City

_89775101_89775100

Mashabiki wa soka ulimwenguni kote wanashauku ya kutaka kuona mchezo wa kwanza wa durby unaowakutanisha makocha wenye upinzania mkubwa Jose Mourinho na Pep Gurdiola, huu ni mchezo ambao unatajwa kuwa weekend hii utakusanya na kuangaliwa na mashabiki wengi, tayari magazeti ya England yameripoti maafisa usalama 400 kuwa watahudhuria mchezo huu. Kuna vingi inawezekana ukawa hufahamu […]

The post Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City appeared first on...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Mashabiki wafoka mechi ya kirafiki Man United vs Man City kuonyeshwa MUTV

Mashabiki wa Etihad wamekasirishwa kuhusu taarifa kwamba mechi ya kirafiki baina ya Manchester United  na City itaonyeshwa kupitia runinga ya mtandaoni ya Mashetani Wekundu.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi za Leicester vs Man United, Man City vs Swansea na msimamo wa EPL ulivyo

Baada ya Jumamosi ya February 4 2017 kuchezwa baadhi ya michezo ya Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017, Jumapili ya February 5 ilichezwa michezo miwili ya Ligi Kuu England, Leicester City walicheza dhidi ya Man United na Man City dhidi ya Swansea City. Michezo hiyo ilimalizika kwa Man United kupata ushindi wa goli 3-0 dhidi […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi za Leicester vs Man United, Man City vs Swansea na msimamo wa EPL ulivyo appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Man City na Man United zafuzu FA

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA Arsenal walitoka nyuma na kuweza kufuza kwa raundi ya tatu ya kombe hilo baada ya kuicharaza Sunderland mabao 3-1.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani