MECHI KATI YA TANZANIA NA ALGERIA KUCHEZWA NOVEMBA 14 MWAKA HUU

 Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 

Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Kikosi cha Stars chini ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

STARS KUCHEZA MCHEZO WA MARUDIANO NOVEMBA 17 MWAKA HUU ALGERIA

TIMU ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, inatarajiwa kusafiri na ndege ya binafsi ya kukodi ya shirika la Fastjet kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano utakaochezwa Novemba 17 mjini Algiers.Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fasjet kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Jimmy Kibati amesema kampuni yao imefikia makubaliano na TFF ya kuwa msafirishaji rasmi wa timu ya Taifa kwa ajili ya mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa fainali za...

 

2 years ago

BBCSwahili

Fifa yaamrisha mechi kati ya Afrika Kusini na Senegal kuchezwa tena

Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa

 

2 years ago

Zanzibar 24

rais wa Zambia kutembelea Tanzania Novemba 27-29 mwaka huu

 

Rais John Pombe Magufuli amemwalika Rais wa Jamhuri ya Zambia, Edgar Lungu kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia Novemba 27 hadi 29, mwaka huu.

Akiwa hapa nchini, Rais Lungu anatarajiwa kutembelea vitengo na sehemu muhimu zinazounganisha nchi ya Tanzania na Zambia kiuchumi ili vizidi kuimarika.

Vitengo atakavyotembelea vinavyounganisha Tanzania na Zambia Kiuchumi ni Reli ya Tazara, Bandari ya Dar es Salaam na kituo cha mizigo kinachohifadhi mizigo inayokwenda Zambia kabla ya kwenda...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Macha Novemba 18 mwaka huu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu juzi ilishindwa kutoa uamuzi kama  inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha kama ana kesi ya kujibu ama la. Hali hiyo ilitokana na Hakimu...

 

3 years ago

GPL

RUFAA YA PISTORIUS KUSIKILIZWA NOVEMBA 3 MWAKA HUU

Oscar Pistorius akiwa mahakamani. Baba mzazi wa aliyekuwa mpenzi wa Pistorious, Reeva Steenkamp, Barry Steenkamp akiambatana na mkewe, June wakati wa kusikiliza kesi ya mkwe wao. Pistorius akiondoka Mahakama Kuu ya Afrika Kusini Oktoba mwaka jana baada ya kusikiliza kesi yake. Pistorious and aliyekuwa mpenzi wake Reeva…

 

2 years ago

Michuzi

TASWA kufanya uchaguzi Novemba 5, mwaka huu

KAMATI ya Utendaji ya Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), iliyokutana Dar es Salaam jana Septemba 7, 2017, imepanga Uchaguzi Mkuu wa chama hicho ufanyike Novemba 5, mwaka huu.

Uchaguzi huo utafanyika Dar es Salaam katika ukumbi ambao utatangazwa na tayari kamati imeaigiza sekreterieti ya TASWA, ifanye maandalizi kuhusu uchaguzi huo, ikiwa ni pamoja na kulishirikisha Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa ajili ya usimamizi wa karibu.

Kikao kimekubaliana watakaoshiriki...

 

3 years ago

Michuzi

TANZANIA Vs ALGERIA NOVEMBA 14

Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia ziakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.Kikosi cha Stars chini ya...

 

4 years ago

Michuzi

KESI YA MDEE KUANZA KUUNGURUMA NOVEMBA 16, MWAKA HUU

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam
Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanane wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.
 Kesi hiyo ilitajwa leo na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.Mbali na Mdee, washtakiwa wengine ni, Rose Moshi (45), Renina...

 

4 years ago

Tanzania Daima

ACT kufanya mkutano mkuu Novemba 20 mwaka huu

CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance, (ACT-Tanzania), kinatarajia kufanya mkutano mkuu maalum wa Taifa wa chama hicho  Novemba 20 mwaka huu. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa muda...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani