MECHI YA YANGA NA SIMBA NA WASEMACHO MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA


Video kwa hisani ya VOA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kuelekea mechi ya Simba vs Yanga, mashabiki wataja matukio wanayoyakumbuka

yanga-v-simba

October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam mashabiki wa soka wa Afrika Mashariki hususani Tanzania watapata nafasi ya kuangalia mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga, huu huwa ni mchezo wenye historia kubwa katika soka la Tanzania, AyoTV imeamua kupita mtaania na kuwauliza mashabiki wa timu hizo ni mechi […]

The post VIDEO: Kuelekea mechi ya Simba vs Yanga, mashabiki wataja matukio wanayoyakumbuka appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

3 years ago

Michuzi

mechi ya hisani ya wabunge mashabiki wa yanga na simba kuchangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi

 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia uwanjani kukagua timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, leo wakati mchezwa hisani ya kuchangishafedha kwa ajili wahanga watetemeko la ardhi, mkoani Kagera.Yanga walishinda bao 5-2
 WAZIR Mkuu, Kassim Majaliwa, viongozi wengine na timu wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mechi ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera katika uwanja wa Taifa, Dar...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Simba Pungufu yaikatalia Yanga Taifa: Ubaoni Yanga 1-1 Simba

Imewachukua Simba dakika 61 kuwarejesha mashabiki wake mchezoni kufuatia kukata tamaa baada ya Amis Tambwe kuwafungia goli Yanga dakika ya 26 goli ambalo Amis Tambwe alicheza mpira kwa mkono na baadae kufunga hali iliyoibua hasira za mashabiki wa Simba.

Shiza Ramadhan Kichuya akitambua kuwa wapo pungufu kufuatia kadi nyekundu ya nahodha Jonas Mkude na jahazi kuongozwa na Mwinyi Kazimoto alikimbilia kupiga kona iliyokwenda mojakwamoja nyavuni na kubadili matokeo, kitaaluma Kichuya alipiga In...

 

5 years ago

GPL

MECHI YA WABUNGE: YANGA 1, SIMBA 1

Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014. Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Ahmed Ngwali katika kipindi cha kwanza. Mfungaji wa bao la Yanga akishangilia. …

 

1 year ago

Malunde

MATOKEO YA MECHI YA SIMBA NA YANGA


Dakika 90 za mtanange wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara kati ya Simba na Yanga zimemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana goli 1-1

Simba wamejipatia goli kupitia kwa Shiza Ramadhan Kichuya dakika ya 55,huku Yanga wakisawazisha katika dakika ya 57 kupitia kwa Obrey Chirwa.

Mechi ya miamba hao miwili ya soka Tanzania, Simba na Yan­ga imefayika leo Jumamosi Oktoba 28,2017 katika Uwanja wa Uhu­ru jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

GPL

Mashabiki Yanga waishabikia Simba

Mashabiki wa Yanga. Lucy Mgina na Ibrahim Mussa
KATIKA tukio la kushangaza, ambalo pengine lilionekana ni kama mchezo wa kuigiza, mashabiki wa Yanga, jana Jumapili waliamua kufunika kombe baada ya kuishabikia Simba kwa nguvu zote huku baadhi yao wakiwa na bendera za Msimbazi. Mashabiki wa Yanga ambao wengi wao walikuwa wakiipa nguvu Simba ili iifunge Azam kwenye Uwanja wa Taifa, walifanya hivyo ili Azam ipunguzwe kasi kwa...

 

2 years ago

Habarileo

Mashabiki Simba, Yanga waonywa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeonya mashabiki wa soka nchini kuacha kuingiza siasa kwenye mpira na kwamba atakayefanya hivyo atachukuliwa hatua.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani