Meli mpya ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO imewasili Zanzibar lao

Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imewasili leo Zanzibar.

azam

Meli hiyo itakayokuwa ikifanya safari zake kati  ya Dar es Salaam na Zanzibar ikiwa maeneo ya Bandari ya Zanzibar baada ya kuwasili nchini tayari kuanza kazi.

Meli mali ya kampuni ya Bakhresa Group Limited, wamiliki wa klabu ya Azam FC pia, inaungana na Azam Sea Link 1 hivyo kufanya safari za abiria na magari yao kati...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

7 months ago

Channelten

Ile Meli kubwa ya Kisasa yenye Madaktari bingwa tayari imewasili DSM

MELI YA MAKONDA

Meli kubwa ya Kisasa yenye Madaktari bingwa pamoja na wauguzi 381 iliyosheheni vifaa tiba pamoja na dawa imewasili jijini Dsm ikitokea nchini china kwa ajili ya kutoa huduma za Upimaji,upasuaji pamoja na tiba za aina yeyote bure ambapo wananchi wa Mkoa wa dsm wametakiwa kujitokeza kuanzia kesho kujipatia matibabu.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda akifuatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Madaktari kutoka katika hospitali mbali mbali za jiji la dsm walitembezwa katika meli hiyo...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuleta meli ya kisasa Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar ipo mbioni kuleta meli kubwa na ya kisasa itakayokuwa ikisafirisha abiria kutoka Unguja  kwenda Pemba ambayo itakuwa na garantii ya usalama. Naibu Katibu Mkuu wa Chama...

 

1 year ago

Michuzi

AZAM MARINE YASHUSHA MELI KUBWA YA KISASA ITAKAYOKWENDA PEMBA NA UNGUJA KUTOKA MKOANI TANGA

Meli Kubwa inayoweza kuingia abiria 1600, magari 50 na mizigo kwa pamoja ambayo itafanya safari zake kati ya Tanga-Unguja na Pemba ikiwa inaingia bandari ya Tanga leo wakati wa uzinduzi wake ambapo uwekezaji huo mkubwa umefanywa na kampuni ya Azam Marine ili kuwanusuru wananchi wa mkoa wa Tanga na changamoto za usafiri huo.Meli Kubwa inayoweza kuingia abiria 1600, magari 50 na  mizigo kwa pamoja ambayo itafanya safari zake kati ya Tanga-Unguja na Pemba ikiwa inaingia bandari ya Tanga leo...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MWANZA AZINDUA MELI MPYA NA YA KISASA YA MV NYEHUNGE II.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto), jana amezindua Meli mpya na ya kisasa (Kivuko) ya MV NYEHUNGE II yenye uwezo wa kubeba abiria 500 pamoja na mizigo inayofanya safari zake kati ya Jiji la Mwanza na Wilaya ya Ukerewe. “Naamini kivuko hiki kitakuwa ni mkombozi kwa wakazi wa Ukerewe kwani uhitaji wa wakazi wa Ukerewe kuhitaji huduma nzuri na salama ya usafiri ni mkubwa hivyo tunaamini  kivuko hiki kitatumika kwa maeneleo ya wanaUkerewe”. Alisema Mongella na...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Meli kubwa ya vitabu duniani imewasili Dar, kuna haya muhimu kuyajua…

MEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, basi Good news ikufikie kuwa tayari meli ya Logos Hope ya Ujerumani ambayo huzunguka nchi mbalimbali Duniani kusambaza vitabu vya aina tofauti imeshatua Dar kuanzia Jan 26 na itaondoka Febr 17. Kutana na muonekano wote nje ndani kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]

The post VIDEO: Meli kubwa ya vitabu duniani imewasili Dar, kuna haya muhimu kuyajua… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 17: Meli ya Azam inayoweza kubeba Magari na Abiria kwa safari za Zanzibar

3x6a1685

Kwa wale wanaosafiri sana au kusafirisha mizigo kati ya Tanzania bara na Visiwani hii itawafaa sana kwani Azam ambao wamekua wasafirishaji wa abiria na mizigo sasa wanayo hii yenye uwezo wa kubeba abiria na magari. EXCLUSIVE: Anachokumbuka Darassa sekunde chache kabla ya kupata ajali ya gari, bonyeza play hapa chini ULIPITWA? Kutana na Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Marekani kutokana […]

The post PICHA 17: Meli ya Azam inayoweza kubeba Magari na Abiria kwa safari za Zanzibar appeared...

 

3 years ago

Habarileo

Zanzibar kununua meli mpya 2

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein alizindua meli mpya ya kisasa mv Mapinduzi II juzi. Akizungumza katika uzinduzi huo amesema meli hiyo ni hatua muhimu ya utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya kuimarisha usafiri wa baharini.

 

2 years ago

Habarileo

Zanzibar kununua meli mbili mpya

WIZARA ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji imeanza mchakato wa ununuzi wa meli mbili mpya, ya abiria na mizigo na nyingine ya mafuta ili kusaidia huduma zinazotolewa na Mv Mapinduzi II.

 

4 years ago

Dewji Blog

Mali mpya imewasili

IMG-20141021-WA036(1)

Kwa mahitaji yako ya sofa, Meza za chakula, vitanda, makabati ya TV Wasiliana kwa 0717 537374

 

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani