Meneja wa Arsenal Arsene Wenger: Sijui kama nitakutana na Mourinho tena

Arsene Wenger - ambaye timu yake ilishinda ligi uwanjani Old Trafford mwaka 2002 - alianza mechi hiyo akionekana mwenye tabasamu tele lakini akaondoka kwa masikitiko.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Hatima ya meneja wa Arsenal kuamuliwa

Mfaransa huyo wa miaka 67 amekuwa na Gunners tangu 1996 na mkataba wake wa sasa unafikia kikomo mwisho wa msimu huu.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Meneja wa Arsenal atia saini mkataba wa miaka miwili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Meneja wa Arsenal asema bado atakuwa kazi msimu ujao

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kwamba hana shaka yoyote kwamba atakuwa bado anafanya kazi ya umeneja msimu ujao.

 

12 months ago

BBCSwahili

Unai Emery: Arsenal wamtangaza meneja wa zamani wa PSG kumrithi Arsene Wenger

Unai Emery ametangazwa kuwa meneja mpya wa Arsenal na afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis.

 

1 year ago

BBCSwahili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ashtakiwa na FA kwa aliyoyasema kuhusu sare West Brom

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amefungulwia amshtaka na Chama cha Soka England (FA) kutokana na tamko lake kuhusu waamuzi baada ya mechi yao ugenini Jumapili

 

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo:Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ameongoza klabu hiyo kwa muda gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

3 years ago

MillardAyo

Eti kama hili likiendelea, Arsene Wenger atajiuzulu kuendelea kuifundisha Arsenal

arsene-wenger-425512

Bado headlines za makocha wa vilabu vya Ligi Kuu Uingereza zinazidi kushika kasi katika vyombo vya habari vya Uingereza, kocha wa Man United Louis van Gaal na aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho ndio walikuwa wanaongoza kwa kuandikwa. March 15 headlines zimeahamia kwa kocha wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger, ambae weekend iliyomalizika klabu yake imeondolewa […]

The post Eti kama hili likiendelea, Arsene Wenger atajiuzulu kuendelea kuifundisha Arsenal appeared first on...

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger Wenger awasifu mashabiki wa Arsenal

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema mashabiki wa klabu hiyo walikuwa wazuri sana wakati wa mechi dhidi ya Manchester City ambayo iliisha kwa sare ya 2-2 uwanjani Emirates.

 

4 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger amjibu Jose Mourinho

wengerLONDON, ENGLAND

BAADA ya Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kumshambulia Arsene Wenger kwamba ni kocha ambaye yupo katika wakati mgumu wa kufukuzwa na klabu yake, naye Wenger amemjibu kocha huyo kwa kusema anajivunia kuwa na jina kubwa katika chama cha soka nchini England.

Hata hivyo, Mourinho alimshambulia kocha huyo kwa kudai kuwa anapenda kuwalalamikia waamuzi wakati anapopoteza mchezo.

Wenger alionekana kumtupia lawama mwamuzi Mike Dean ambaye alichezesha mchezo wa wapinzani hao wiki moja...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani