Meneja wa Chelsea Antonio Conte: Tutailaza Barcelona mechi ya marudio Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Antonio Conte amesema kuwa Chelsea "itajaribu kufanya kitu cha kipekee" kwa kuitoa Barcelona katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare 1-1 katika awamu ya kwanza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Antonio Conte asema Chelsea kuchapwa 3-0 na Barcelona UEFA haikuwa haki

N'Golo Kante na Marcos Alonso wote walikaribia kufunga uwanjani Nou Camp, naye Antonio Rudiger alipiga mpira wa kichwa ambao uligonga mwamba wa goli dakika za mwisho.

 

2 years ago

BBCSwahili

Inter Milan wanamtafuta meneja wa Chelsea Antonio Conte?

Taarifa nchini Italia zinasema klabu hiyo ya Serie A, inapanga kumuahidi Conte ujira wa £250,000 kwa wiki iwapo ataondoka Chelsea, klabu ambayo ameiongoza kwa msimu mmoja pekee.

 

3 years ago

Dewji Blog

Barcelona, Bayern Munich zatinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA (Video)

Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea jana usiku kwa michezo miwili ambapo Barcelona ilikuwa mwenyeji wa Arsenal katika uwanja wa Nou Camp na Barcelona ikiibuka na ushindi wa goli 3 – 1.

Magoli ya Barcelona yalifungwa na Neymar dk. 18, Luis Suarez dk. 65 na Lionel Messi dk. 88 huku goli pekee la Arsenall likifungwa na Mohamed Elneny katika dakika ya 51 na hivyo ushindi huo kuiwezesha Barcelona kufuzu kwa magoli 5 – 1.

Mchezo mwingine ulikuwa ni Bayern Munich iliyokuwa mwenyeji wa Juventus katika...

 

3 years ago

Zanzibar 24

LIgi ya mabingwa Ulaya: Uefa yazipa Ulaji ligi kubwa nne barani Ulaya

Shirikisho la soka la Ulaya UEFA limetangaza mabadiliko katika michuano ya UEFA Champions League kuanzia msimu ujao 2017-18.

Kuanzia msimu ujao, timu 4 za juu kutoka katika ligi 4 bora barani Ulaya (La Liga, Premier League, Budesilga na Serie A) zitakuwa zinafuzu moja kwa moja kuingia hatua ya makundi bila kupitia hatua ya mtoano.

Awali timu zilizoshika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hizo zilikuwa zinacheza mchezo wa mtoano (play off) na mshindi ndiyo anafuzu hatua ya makundi kama...

 

2 years ago

Channelten

Ligi Kuu Uingereza – EPL: Chelsea mabingwa 2017, Conte ataka wabebe na kombe la FA

7

Chelsea waliibuka mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) huku wakibakiza Mechi 2 kwa kuifunga West Bromwich Albion 1-0 huko the Hawthorns kwa bao la dakika ya 82 la Michy Batshuayi.

Kocha wa Chelsea Antonio Conte ameitaka timu hiyo kugeuza msimu huu kuwa war aha kwa kuwataka kubeba pia kombe la FA. Conte, ambae alijiunga na Chelsea mwanzoni mwa msimu baada ya kuiacha timu ya Taifa ya Italy mara baada ya fainali za EURO 2016, amesema kubadili mfumo na kutumia difensi ya watu 3 mwezi...

 

3 years ago

MillardAyo

Kama ilikupita droo ya mechi za robo fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi

vb

Baada ya kumalizika kwa mechi za hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mchana wa March 18 shirikisho la soka barani Ulaya zilichezesha droo za kupanga mechi za robo fainali ya michuano hiyo, huenda hukupata nafasi ya kuangalia droo hiyo hii ndio ratiba kamili. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kama ilikupita droo ya mechi za robo fainali za Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA! michezo ya jana

gareth-bale-shakhtar-donetsk-real-madrid-champions-league_173pi72jkl69m1b0s8rwmfilt5

Wachaji wa shakhtar donetsk na Real-Madrid  wakichuana katika mchezo huo uliomalizika kwa Madrid kushinda bao 4-3.

Baada ya michezo 8 iliyochezwa siku ya jumanne, jana jumatano ligi ya Mabingwa Ulaya kwa vilabu maarufu kama UEFA Champion League iliendea kwa michezo 8 mingine.

Haya ndiyo matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA kwa michezo ya jumatano

GROUP: A

Shakhtar Donetsk 3 – 4 Real Madrid

Malmo 0 – 5 Paris Saint German

GROUP: B

Manchester United 0 – 0 PSV

CSKA Moscow 0 – 2 Wolfsburg

 

3 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA na ratiba ya leo

Champions-League

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya iliendelea jana kwa michezo nane (8) iliyopigwa katika viwanja nane tofauti. Yafuatayo ni matokeo ya michezo hiyo;

GROUP A;

Real Madrid 1 – 0 Paris Saint-German  

Shakhtar Donetsk 4 – 0 Malmo  

GROUP B;

Manchester United 1 – 0 CSKA Moscow

PSV Eindhoven 2 – 0 Wolfsburg     

GROUP C;

FC Astana 0 – 0 Atletico Madrid  

Benfica 2 – 1 Galatasaray   

GROUP D;

Borussia Moenchengladbach 1 – 1 Juventus 

Sevilla 1 – 3 Manchester City 

Ratiba ya michezo ya Ligi ya Mabingwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA, leo Jumanne

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) inataraji kuendelea leo usiku kwa michezo miwili ya raundi ya 16 bora ambapo washindi wataingia katka hatua ya robo fainali.

Michezo ya leo usiku ni;

Atletico Madrid – PSV

Manchester City – Dynamo Kyiv

Michezo yote itachezwa saa 22:45 kwa saa za Afrika Mashariki.

The post Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA, leo Jumanne appeared first on DEWJIBLOG.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani