MFALME MSWATI ALAZIMISHA WAVULANA WALIOPEVUKA KUOA HARAKA TENA WANAWAKE WAWILI-WAWILI KUFUATIA IDADI YA WANAWAKE KUWA KUBWA MNO KULIKO WANAUME NCHINI MWAKE.

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.
Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

6 days ago

Zanzibar 24

Gumzo la Mfalme Mswati wanaume kuoa wake wawili laibukia kwenye Bunge la Afrika

Serikali ya nchi ya Eswatini imekanusha taarifa zinazoenea kwa kasi mtandaoni kuwa Mfalme Mswati III ametoa agizo la wanaume nchini humo kuanzia Mwezi Juni 2019 kuoa wanawake wawili au zaidi la sivyo unatupwa jela. 

Akizungumza leo asubuhi Jumatano Mei 15,2019 katika Bunge la Afrika linaloendelea jijini Johannesburg,nchini Afrika Kusini,Mbunge wa Eswatini, Mhe. Mike Temple amesema ni vyema taarifa hizo zikapuuzwa kwani zina lengo la kumchafua Mfalme Mswati

“Mhe.Rais wa Bunge la...

 

6 days ago

Malunde

GUMZO LA MFALME MSWATI WANAUME KUOA WAKE WAWILI LAIBUKIA KWENYE BUNGE LA AFRIKA…UKWELI HUU HAPA

Mbunge wa Bunge la Afrika kutoka Eswatini akizungumza katika Mkutano wa Bunge la Afrika unaoendelea Jijini Johannesburg,Afrika Kusini leo - Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog ****Serikali ya nchi ya Eswatini imekanusha taarifa zinazoenea kwa kasi mtandaoni kuwa Mfalme Mswati III ametoa agizo la wanaume nchini humo kuanzia Mwezi Juni 2019 kuoa wanawake wawili au zaidi la sivyo unatupwa jela. 

Akizungumza leo asubuhi Jumatano Mei 15,2019 katika Bunge la Afrika linaloendelea jijini...

 

6 days ago

Malunde

MAFURIKO YA WANAWAKE YAIKUMBA ESWATINI..MFALME MSWATI AAGIZA KILA MWANAUME AOE WAKE WAWILI LA SIVYO UTUPWE JELA!

Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango/jela wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Mwezi Juni, 2019.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.
Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha...

 

5 years ago

Mwananchi

UTAFITI : Ebola inaenea haraka zaidi kwa wanawake kuliko wanaume

Ingawa binadamu wote ni sawa, lakini ni jambo la kushangaza kuona kuwa wakati wa mlipuko wa ugonjwa fulani, jinsi moja inaathirika zaidi kuliko nyingine.

 

3 years ago

Bongo5

Story kuwa serikali ya Eritrea imetoa amri wanaume kuoa wake wawili lasivyo kufungwa jela ni ya uongo

Eritrea

Bila shaka katika pita pita zako kwenye mitandao ya kijamii umekutana na picha za utani kuhusu wasichana warembo wa Eritrea na kwamba wanaume wa nchi zingine Afrika wanapanga kukata ndege kwenda nchini humo.

Anybody knows where the Embassy of Eritrea is??? **Asking for a friend**😩😩😩pic.twitter.com/my4O8cCHxB

— IG @DjGitts (@DjGitts) January 26, 2016

Utani huo ulianza baada ya mtandao wa SDEKenya kuandika habari kuwa serikali ya Eritrea imetoa amri kuwa wanaume wa nchi hiyo wanatakiwa kuoa wake...

 

2 years ago

Channelten

Mauaji ya Kim Jong Nam nchini Malaysia, Wanawake wawili wanaotuhumiwa wafikishwa eneo la tukio

_94727490_8c3b857a-ce8a-47ed-a11b-f678e6b58775

Wanawake wawili wanaokabiliwa na mashtaka ya kumuua Kim Jong-nam ambaye ni ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini wamepelekwa eneo la mkasa nchini Malaysia.

Siti Aisyah raia wa Indonesia na Doan Thi Huong raia wa Vietnam walipelekwa uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur mapema kwa ajili ya kusomewa mashtaka ya kumwekea kemikali hatari ya VX Bw. Kim usoni wakati alipokuwa anasubiri kusafiri kwenye uwanja huo

Wawili hao wamekana mashtaka ya mauaji yanayowakabili.

Share on: WhatsApp

The post Mauaji ya...

 

3 years ago

Mwananchi

UTAFITI: Wanawake vichaa ni wengi kuliko wanaume

Inadaiwa kuwa kwenye wanawake watano, mmoja anasumbuliwa na matatizo ya akili yanayotokana na msongo wa mawazo, wasiwasi na huzuni, ukilinganishwa na mwanamume mmoja kati ya wanane, utafiti umebaini.

 

2 years ago

Mwananchi

Wanawake hukamatwa kirahisi wanaposaliti kuliko wanaume

Tofauti na ilivyoeleka na kusikia wanawake wengi wakiwalalamikia waume zao kutoka nje ya ndoa, wapo wanawake wanaolalamikiwa pia kufanya hivyo.

 

4 years ago

Mwananchi

Wanawake hupata wakati mgumu jeshini kuliko wanaume?

Moja ya maeneo ambayo katika siku za karibuni yamekuwa yakitoa ajira nyingi nchini na mataifa mengine ulimwenguni ni majeshi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani