Mfanyakazi wa ndani auwa Mama na Mtoto wake

Mfanyakazi ‘House Girl’ mmoja wa ndani amemuua mwajiri wake Elizabeth Achieng pamoja na kichanga chake chenye miezi mitatu huko Kisumu nchini Kenya. Imedaiwa kuwa mfanyakazi huyo alianza kwa kumpiga mtoto mpaka akamuua kisha akamfuata mama yake na kumchoma kisu mara kadhaa na kisha kumchoma na kitu kinachodhaniwa kuwa ni pasi ya umeme au tindikali. Kwa sasa jeshi la Polisi Kisumu linamtafuta mfanyakazi huyo ambaye ametokomea sehemu isiyojulikana. Taarifa zinasema kuwa katika tukio hilo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

MFANYAKAZI WA NDANI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AENDA JELA MIAKA 4

Jolly Tumuhirwe (22).
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
Jolly Tumuhirwe wakati akimtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

 

5 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake

>Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.

 

5 years ago

Habarileo

Mfaransa atuhumiwa kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani

RAIA wa Ufaransa , Folkertsma Laurent (41), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya kumdhuru mfanyakazi wake wa ndani.

 

3 years ago

Global Publishers

Afisa wa Intelijensia wa TANAPA Aliuawa na Mfanyakazi Wake wa Ndani

liberatusi-saJeshi la Polisi Mkoani hapa (Arusha) limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang’wa (20) ambaye ni mwenyeji wa kijiji cha Sepuka wilayani Ikungi katika Mkoa wa Singida kwa tuhuma za kumuua Afisa wa Intelijensia wa TANAPA aitwaye Emily Kisamo (52). Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana  asubuhi , Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas alisema tukio hilo la mauaji ya Afisa huyo wa TANAPA lilitokea tarehe 18.12.2015 muda...

 

4 years ago

Vijimambo

SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.

Hiki ndicho amekiandika...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Raia wa Denmark auwa mama na mwane wa miaka 4

Msanii wa Nigeria Zainab Ali-Nielsen maarufu kama Alizee na mtoto wake wa miaka minne wameuawa na mume wa msanii huyo ambaye ni raia wa Denmark, Peter Nielesen katika nyumba yao iliyoko huko Banana.

Polisi ya Nigeria imesema kwamba walipata taarifa kutoka kwa meneja wa eneo hilo Mr. Kunle Kukoyi, ambaye naye alipata taarifa kutoka kwa mdogo wa marehemu Gift Madaki kuwa alimsikia dada yake akilia kutokana na kupigwa na mumewe, na kisha hakusikia tena sauti, na ndipo...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Auwa mkewe na mtoto na kuacha ujumbe mzito kwa Polisi Mbeya

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Ammy Lucas Lukule ambaye ni Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa Mbeya, amechukua uamuzi wa kuua familia yake kutokana na wivu wa mapenzi.

Akizungumza na mwandishi wa  East Africa Tv, Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Benedict Kitalika amethibitisha kutokea kwa tukio hilo la mauaji, na kusema kuwa muuaji alifanya tukio hilo usiku wa jana huko nyumbani kwao Kimara jijini Dar es salaam, na kisha kutokomea kusikojulikana.

“Ni kweli...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mama amtelekeza mtoto ndani ya karatasi

Mwanamke mmoja aliyemtelekeza mwanawe ndani ya karatasi ya plastiki katika bustani aponea kufungwa jela

 

5 years ago

KwanzaJamii

Mtoto aliyetupwa ndani ya gunia na mama yake

Na Albano Midelo BARAKA Ndunguru mtoto wa kike aliyesimama pichani, alizaliwa mwaka 1999 akiwa na mwezi mmoja aliwekwa kwenye gunia na kutupwa kwenye mkondo wa maji ya mvua na mama yake katika kijiji cha Tukusi wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Hata hivyo Baraka  aliokotwa na msamaria mwema  na kupelekwa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha watawa wabenediktine wa shirika la mtakatifu Agnes Chipole Songea mkoani Ruvuma ambapo amekuwa analelewa hadi sasa akiwa anasoma darasa la sita katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani