MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE, (UCSAF), WATOA MSAADA WA KOMPYUTA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE MKOANI PWANI

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, (UCSAF), Joseph Kilongola, (wakwanza kushoto-mbele), Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko huo, Mhandisi Peter Ulanga, (wakwanza kushoto-nyuma), wakishuhudia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (anayeshughulikia sekta ya Mawasiliano), Profesa Faustine Kamuzora, (mwenye tai nyekundu), Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete, (wakwanza kulia), Diwani wa Kata ya Bwilingu, Lucas Lufunga, (wane kulia), na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

UCSAF watoa msaada wa Kompyuta shule ya sekondari Chalinze mkoani Pwani

Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, (UCSAF), umetoa msaada wa kompyuta 10 kwa Shule ya Sekondari Chalinze mkoani Pwani ikiwa ni moja ya jitihada za mfuko huo kuwawezesha wananchi wa kada mbalimbali kupata fursa ya mawasiliano.

Akizungumza wakati wa makabidhiano rasmi ya msaada huo, shuleni hapo mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa Bodi ya UCSAF, Joseph Kilongola alisema, mfuko ulipokea maombi kutoka shule hiyo ya uhitaji wa kompyuta ili kuwawezesha wanafunzi na jamii inayozunguka shule hiyo kupata...

 

5 years ago

Dewji Blog

Access Bank watoa msaada wa Kompyuta kwa shule ya sekondari Azania

access 1  Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. aces

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta kwa wanafunzi waliowawakilisha wenzao, anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa...

 

5 years ago

GPL

ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA‏

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Ofisa Masoko Mwandamizi Access… ...

 

4 years ago

Michuzi

KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE(UCSAF)

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (kushoto) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti...

 

4 years ago

GPL

KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE (UCSAF)‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (kushoto) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Miradi hiyo ni upelekaji wa...

 

3 weeks ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MIAKA 10 YA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE (UCSAF)


Mtendaji Mkuu Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Eng. Peter Ulanga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo kuhusiana na maadhimisho ya miaka 10 ya mfuko huo yanayofanyika jijini Dodoma yakibebwa na kauli mbiu ya "Mawasiliano kwa Wote ni Kichocheo cha Kuufikia Uchumi wa Kati".

MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE (UCSAF)


Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote nchini (UCSAF) unatarajia kufanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Maadhimisho hayo ya miaka 10...

 

3 weeks ago

Michuzi

Waziri mkuu ahitimisha kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF)

 Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, katika kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) , kwenye viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma Aprili 30, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, Meneja wa Kanda wa TCRA, Anthonio Manyanda, wakati akikagua mabanda, kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka (10) ya mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) ,...

 

4 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA

 Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi. Rehema Mkamba akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na LAPF kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo. Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari Dodoma Ndugu Marco Masala akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi  vilivyotolewa na LAPF. Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi. Rehema Mkamba akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na LAPF       Baadhi ya Wanafunzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI

Viongozi wa Kampuni ya Bantu Sports And Fitness Enterprise, wakipanda mti wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo iliyoambatana na utoaji wa Msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kutunza mazingra katika Shule ya Sekondari Miono na Kikaro zilizopo Chalinze Mkoa wa Pwani. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kevin William na Alex Mode wa Shule ya Kikaro wakichuana kuwania mpira baada ya kupokea msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani