MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA

 Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi. Rehema Mkamba akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na LAPF kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo. Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari Dodoma Ndugu Marco Masala akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi  vilivyotolewa na LAPF. Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bi. Rehema Mkamba akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya msaada wa vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na LAPF       Baadhi ya Wanafunzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI LAPF WATOA MSAADA WA MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI SABA KWA SHULE ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

 Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Generali Mstaafu Ezekiel Kyungu akishuhudia mabati yaliyotolewa ma Mfuko wa Pensheni LAPF kwa ajili ya ujenzi wa madarasa wilayani Geita ikiwa jitihada za Mfuko wa LAPF kuunga mkono jitihada za Serikali kutoa elimu bure. Jumla ya mabati 300 yenye thamani ya Shs. 7,000,000/= yalikabidhiwa. Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Generali Mstaafu Ezekiel Kyungu akikagua mabati yaliyokabidhiwa kama msaada na mfuko wa Pensheni wa LAPF wilayani Geita, kulia ni Meneja Masoko wa...

 

4 years ago

Vijimambo

MFUKO WA LAPF WATOA MSAADA WA RANGI ZENYE THAMANI YA SH.MILIONI 3 KUMALIZIA UJENZI WA MAABARA YA SHULE WILAYANI ULANGA

Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Mfuko wa LAPF, Yesaya Mwakifulefule (wa pili kushoto),  akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro,  Christina Mndeme, msaada wa rangi zenye thamani ya sh. milioni 3 kwa ajili ya umaliziaji wa ujenzi wa maabara katika shule za Ulanga Mashariki.

 

4 years ago

Vijimambo

TTCL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KATIKA SHULE YA SEKONDARI LUSWISWI ILEJE MBEYA

 Meneja wa TTCL Mkoa wa Mbeya, James Mlaguzi akisoma taarifa ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo katika shule ya Sekondari Luswisi. Mbunge wa Ileje aliyemaliza muda wake,Aliko Kibona akitoa shukrani kwa niaba ya  wananchi wa Kata ya Luswisi kwa kampuni ya TTCL kutokana na msaada waliopokea. Mbunge Aliko Kibona pamoja na Meneja wa TTCL wakikabidhiana mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu.
 Mbunge na Meneja wakipongezana baada ya kukabidhiana Saruji na Mbao. Wanafunzi wa...

 

4 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI

MFUKO wa Pensheni wa LAPF umeunga jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara kwa kutoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya sh.milioni 3.5 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo Mlandizi wilayani humo jana, Kaimu Meneja wa Kanda ya Mashariki wa mfuko huo, Isaya Mwakifulefule ...

 

4 years ago

GPL

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASAIDIA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE YA MIHANDE WILAYANI KIBAHA MKOA WA PWANI‏

Kaimu Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Isaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi, Ofisa Elimu wa Vifaa na Takwimu wa Wilaya ya Kibaha, Doris Semkiwa (kulia), bati na rangi zenye thamani ya sh.milioni 3.5 zilizotolewa na mfuko huo jana, kusaidia ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Mihande ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Jakaya Kikwete za kuhakikisha kila shule ya sekondari nchini inakuwa na maabara....

 

2 years ago

Michuzi

MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE, (UCSAF), WATOA MSAADA WA KOMPYUTA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE MKOANI PWANI

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, (UCSAF), Joseph Kilongola, (wakwanza kushoto-mbele), Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko huo, Mhandisi Peter Ulanga, (wakwanza kushoto-nyuma), wakishuhudia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (anayeshughulikia sekta ya Mawasiliano), Profesa Faustine Kamuzora, (mwenye tai nyekundu), Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete, (wakwanza kulia), Diwani wa Kata ya Bwilingu, Lucas Lufunga, (wane kulia), na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri...

 

5 years ago

Michuzi

DCB yatoa msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymund Mushi (wa pili kulia), akipokea sehemu ya msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB Plc, Edmund Mkwawa, wakati wa makabidhiano yaliyofanyika Dar es Salaam juzio. Kushoto ni Mkuu wa shule hiyo, Judith Charamila na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Balozi Paul Rupia.

 

5 years ago

Dewji Blog

UNESCO kupitia READ INTERNATIONAL watoa msaada wa vitabu vya Sayansi kwa shule ya sekondari MWEDO Arumeru

DSC_0019

Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph akipolewa na Mwalimu wa Taalum na msimamizi wa Maktaba wa Shule ya wasichana ya Mwedo, Joseph Mangomes alipofika shuleni hapo kukabidhi msaada wa vitabu vya masomo ya Sayansi uliotolewa na Shirika la Read International kupitia UNESCO.

Na Mwandishi wetu, Arumeru

Wanafunzi wa shule ya Mwedo sekondari iliyopo wilayani Arumeru wamelishukuru Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia Read International la...

 

2 years ago

Malunde

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA TIGO, YATOA MSAADA WA VIFAA VYA INTANETI KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA NJOMBE


Mkurugenzi wa Tigo Nyanda za juu kusini Jackson Kiswaga (kushoto) Mkuu wa wilaya Wanging'ombe Ally Kasinge Katikati) Mkuu wa shule ya Sekondari Njombe Benard William wakikata utepe kufungua kufungua darasa la kusomea wanafunzi kwa njia ya mtandao. Msaada huo umetolewa jana na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo mkoani Njombe. Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Ally Kasinge (kulia) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe akipokea kifaa cha kupokelea mawimbi ya intaneti kutoka kwa mkurugenzi wa Tigo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani