MGOMBEA UBUNGE CHADEMA JIMBO LA KINONDONI ARUDISHA FOMU

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salum Mwalimu, leo Januari 20, 2017 amerudisha fomu za kuwania kinyang’anyiro hicho katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi, Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Katika Uchaguzi huo, Mwalimu atachuana na aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia kabla ya kujivua uanachama na kuhamia CCM ambapo ameteuliwa tena na chama chake kupeperusha bendera.

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

QS Muhonda arudisha Fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

 QS J Muhonda ambaye ambaye anasimamia kazi za wasanii kupitia kampuni yake ya QS leo alikua akirudisha Fomu ya Kuomba kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
QS amesema kuwa ameamua kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo ili kuleta maendeleo ya jimbo hilo na pia anauwezo na ufanisi mkubwa wa kuleta maendeleo katika jimbo hilo la Kinondoni, Lakini pia una ushawishi mkubwa kwa vijana ambao ni taifa la leo kuwafanya kuwa nguvu kazi ya Taifa hususan vijana wengi wa kinondoni ambao hawana ajira...

 

3 years ago

Vijimambo

UPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE

Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

Chanzo:...

 

4 years ago

Vijimambo

MUSLIM ARUDISHA FOMU YA UBUNGE, MAKUNGU AJIUNGA NA CHADEMA

Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassanali akirudisha fomu  kwa Mratibu wa Kanda ya Pwani, Casimir Juma Mabina  za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema katika uchaguzi mkuu ujao. Kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mabere Marando. (Picha na Francis Dande)Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Mabere Marando (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM tawi la Kigamboni Wilaya ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la dimani achukua fomu

Mgombea ubunge wa jimbo la Dimani kupitia tiketi ya CCM Mh. Juma Ali Juma amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo katika jimbo hilo katika ofisi za muda za tume ya (NEC)  ziliopo Skuli ya Sekondari ya Kiembe samaki Zanzibar.

Mh. Juma Ali Juma amechukua fomu hiyo kufuatia kuchaguliwa na chama kugombania nafasi ya ubunge katika jimbo la Dimani mnamo tarehe 16 Disemba  mwaka huu.

Mh. Juma atagombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu anaotarajiwa kufanywa  January 22, 2017 ili kuziba nafasi iliyo...

 

4 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA KUSINI MASHARIKI KHALIFA KONDO MPONDA ACHUKUA FOMU

Engineer Hamis Ahmad Ndwata akimlipia Khalifa Kondo shs 100,000 ya ada ya fomu kwa wagombea ubunge.Katibu wa CCM wilaya ya Morogoro Vijijini Muheshimiwa Shahibu Mtawa akihesabu hela za fomu ya mgombea Khalifa KondoMgombea ubunge wa jimbo la Kusini Mashariki bwana Khalifa Kondo akikabidhiwa fomu na katibu wa wilaya ya Morogoro Vijijini muheshimiwa Shaibu Ally Mtawa

 

4 years ago

Michuzi

Steven Nyerere achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni na kurudisha leo

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Athumani Sheshe, akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, Muigizaji, Steven Mengere (kulia) katika ofisi za chama hizo eneo la Mkwajuni, Jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni mke wa mgombea Dk. Sarah Makene. Picha na Elisa ShundaMuigizaji, Steven Mengere, akionyesha fomu ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya...

 

4 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BAGAMOYO ACHUKUA FOMU WENGI WAMPONGEZA WADAU SAIDIA TUTANI

 Mgombea Ubunge Jimbo la Bagamoyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mathew Juma Salum Yungwe, akionesha fomu ya kugombea nafasi hiyo baada ya kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Bagamoyo, Kombo Kamote wilayani humo leo mchana. Katibu Msaidizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Bagamoyo, Salum Mtelela (kulia), akimkabidhi stakabadhi ya malipo ya kuchukua fomu, Mgombea huyo. Katibu wa CCM Wilaya ya Bagamoyo, Kombo Kamote (kushoto), akimkabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la...

 

4 years ago

Michuzi

IDD AZAN na Jumaa Mhina 'Pijei' wachukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni na Kawe

  Mbunge wa Jimbo la Kinondoni anayemaliza muda wake, Mhe. Idd Azzan, akionesha fomu ya kuomba kuwania tena ubunge wa Jimbo la Kinondoni aliyokabidhiwa jana jijini Dar es Salaam, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Jamii UVCCM Dar es Salaam na Kamanda mstaafu wa wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni, na Wakili wa Mahakama kuu, Jumaa Mhina 'Pijei' akikabidhiwa fomu ya kuomba kuwania Ubunge Jimbo la Kawe,jana jijini Dar es Salaam kupitia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani