Mgombea Urais CCM Julai 12

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.MGOMBEA Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atajulikana Julai 12 mwaka huu baada ya kukamilisha mchakato mzima wa kuomba kuwania nafasi hiyo, kutafuta wadhamini na kujadiliwa katika chama hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo. 
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Mgombea Mwenza  wa Urais Mh. Samia Suluhu  kupitia Chama hicho katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.   Baadhi ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Jinsi mgombea urais kupitia CCM Dkt Shein na Makamu wa urais wa Tanzania walivyoshiriki kupiga kura..(+Video)

MASAMIAAA

Leo march 20 2016 Wananchi wa Zanzibar wamepata fursa ya kupiga kura na kuwachagua viongozi wao, na hii ni baada ya kufutwa kwa uchaguzi wa awali uliofanyika october 25 2016. Viongozi mbalimbali pia wamejitokeza na kutumia nafasi hiyo akiwemo Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu na wengineo. Ninazo […]

The post Jinsi mgombea urais kupitia CCM Dkt Shein na Makamu wa urais wa Tanzania walivyoshiriki kupiga kura..(+Video) appeared first on...

 

4 years ago

Michuzi

TAREHE 11 JULAI CCM KUMTANGAZA MGOMBEA WAKE MJINI DODOMA


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti mjini Dodoma.(Picha na Adam Mzee)…………………………………………………………………………
“Leo tarehe 7 mwezi wa saba tunaanza vikao vya mchakato wa mkutano mkuu wa taifa wa CCM ambao unnategemewa pamoja na mambo mengine utapitisha ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-20 20 lakini pia utateua mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia CCM, na pia kutakuwa na kikao cha halmashauri kuu ambacho...

 

4 years ago

Mwananchi

‘Hatufukuzi mgombea urais CCM’

Wakati Kamati Kuu ya chama tawala, CCM ikimaliza vikao vyake mjini hapa, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana amesema mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu baadhi ya wanachama wanaotajwa kuwania urais hayana ukweli, wala hakuna atakayefukuzwa uanachama.

 

4 years ago

BBCSwahili

Mfahamu Magufuli mgombea urais wa CCM

Dr. John Pombe Pombe Joseph Magufuli Mgombea urais kupita CCM kitaaluma ni Mwalimu na mtalaamu wa Kemia aliyezaliwa October 29 mwaka 1959 huko Chato mkoani Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania.

 

4 years ago

Mwananchi

Sifa kumi za mgombea urais wa CCM

Hivi karibuni nimesaidiana kimawazo na Watanzania wenzangu katika kufanya uchambuzi wa watu wanaotajwa au waliojitangaza kuwa watawania uteule wa urais kupitia CCM na nalishukuru gazeti hili kwa kukubali kuchapisha maoni yangu.

 

4 years ago

Raia Mwema

Kanuni 5 bubu za kumpata mgombea urais wa CCM

HIVI karibuni, kipenga cha mchakato wa kuwania nafasi ya kuteuliwa na CCM kuwa mgombea urais kili

Mwandishi Wetu

 

4 years ago

Mwananchi

Mgombea wa urais CCM kuwekwa hadharani leo

Sasa ni wazi; mmoja kati ya Dk John Magufuli, Dk Asha Rose Migiro au Balozi Amina Salum Ali atapeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu kukamilisha kazi yao ya kupiga kura usiku mwingi wa kumkia leo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani