Mh Freeman Mbowe kuongoza uzinduzi wa sera za CHADEMA Toleo la 2018

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

CHADEMA Blog

Taarifa kwa umma kuhusu hafla ya uzinduzi wa Sera za Chama toleo la Mwaka 2018.

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA.    Taarifa kwa umma kuhusu hafla ya uzinduzi wa Sera za Chama toleo la Mwaka 2018.    Tarehe 25.09.2018 Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe ataongoza tukio la kuzindua Sera za Chama toleo la Mwaka 2018. Katika kufanikisha tukio hilo wadau mbalimbali wamealikwa zikiwemosekta na taasisi mbalimbali za umma, sekta binafsi, taasisi na

 

4 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

4 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

5 years ago

GPL

FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI CHADEMA

Freeman Mbowe akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema. Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku mpinzani wake Ngambaranyela Mongatero akipata kura 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakifuatilia…

 

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

3 years ago

Global Publishers

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aitwa Polisi Dar

MBOWE3

UJUMBE ALIOANDIKA MBOWE KWENYE UKURASA WAKE WA TWITTER

Jana usiku nilipata wito nikitakiwa kwenda Polisi Kanda Maalum Ya Dar es salaam na Zonal Crime Officer Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Wambura, akihitaji nifike leo Jumamosi 30/07/2016, lakini leo nipo Marangu Kilimanjaro kuhudhuria maziko ya Baba yake mzazi Devotha Minja, Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.

Na kesho Jumapili 31/07/2016 nitakuwa katika shughuli za kuuaga mwili wa mfanyakazi mwenzetu na aliyekuwa mpiga picha...

 

1 year ago

Malunde

FREEMAN MBOWE NA VIGOGO WENGINE WA CHADEMA WARIPOTI POLISI

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama hicho wamekwenda kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mchana Jumatatu Februari 27, 2018 Mbowe amesema wamekwenda kuripoti kuitikia wito wa Polisi.

Amesema katibu mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji hatakwenda kwa kuwa yupo nje ya nchi na atakaporejea atakwenda kwa kuwa hawana sababu ya kugoma.

Februari 20,2018 Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam iliagiza kukamatwa viongozi saba waandamizi wa...

 

2 years ago

Malunde

News Alert!! MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKAMATWA NA POLISI

Leo Jumatatu Februari 20, 2017 Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo “CHADEMA”.
Hata hivyo msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene,  amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.

 

2 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES: MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AACHIWA NA POLISI

Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalim inaeleza kuwa Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, limemuachia Mwenyekiti wa Chama hicho na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe usiku wa kuamkia leo baada ya kumshikilia kwa takribani masaa 10 kwa mahojiano juu ya tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevywa. 
Mbowe alikuwa ni mmoja katika orodha ya majina 65 ya wanaodaiwa kuwa vinara wa biashara hiyo haramu ya dawa za kulevya hapa nchini...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani