MHE FREEMAN MBOWE ATEMBELEA OFISI ZA MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Mhe Freemana Mbowe akiwa na mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita alipomtembelea leo na kufanya naye mazungumzo.

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

‘Hatutaomba tena kumpata Meya wa jiji la Dar, tutadai kumpata Meya’;-Freeman Mbowe (+Video)

mboooooo

Hadi time hii headline za Uchaguzi wa Meya Dar es salaam zinazidi kutawala kila siku, ni siku mojatu baada ya Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa kufikakatika ofisi ya Halmashauri  ya jiji kutaka kujua tarehe ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016 Mwenyekiti wa  CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alikutana na waandishi wa habari na kueleza… […]

The post ‘Hatutaomba tena kumpata Meya wa jiji la Dar, tutadai kumpata Meya’;-Freeman Mbowe (+Video) appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

MEYA WA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MEYA WA JIJI LA HIN’AN NCHINI CHINA,ZHU HUAN DAR ES SALAAM

NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJIMSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo amekutana na kufanya mazungunzo na Meya wa Jiji la Xin’an Nchni China Zhu Huan ofisini kwake Karimjeee.Katika mazungumzo hayo , Meya Mwita na mgeni wake wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo namna ya kukuza na kutangaza utalii wa ndani na nje ya Dar es Salaam.Aidha Meya Mwita amesema jiji la Dar es Salaam lina kila aina ya vivutio vya utalii wa ndani na nje ambavyo vinaweza kuwavutia wageni...

 

2 years ago

Michuzi

MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM AOMBA BUSARA ZA MASHEHE NA WAZEE KATIKA KULIONGOZA JIJI HILO

Meya Isaya ametoa kauli hiyo jiji hapa leo wakati wa maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume wao Muhammad Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam ambapo pamoja na mambo mengine amesema kwama jiji la Dar es Salaam bila dua za waze, mashehe na viongozi wote wadini huwezi kuliongoza kutokana na changamoto zilizopo. 
“ Najua changamoto zilizopo kenye jiji hili ni nyingi wazee wangu naomba mnisaidie sana, peke yangu siwezi, dua zenu na ushauri wenu ndio unaweza kunisaidia mimi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Freeman Mbowe: Paul Makonda hana sifa za kuuongoza mkoa wa Dar es Salaam

Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda hana tena sifa  za kuuongoza mkoa huo kutokana na mwenendo wake ambao haukubaliki.

Mbowe ameyasema kufuatia tuhuma nyingi zilizoibuka hivi karibuni kuhusu kiongozi huyo. Miongoni mwa tuhuma hizo ni kuhusu uhalali wa vyeti vya Makonda, uongozi wake usiofuata sheria za utawala bora, matumizi mabaya ya mali za serikali, utajiri usio na majibu  pamoja...

 

2 years ago

Michuzi

SALAMU ZA PASAKA KUTOKA KWA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM

 Ndugu wananchi wa Jiji la Dar es Salaam.

Napenda kutumia nafasi hii kwanza kabisa kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kuwa mzima hadi siku hii ya leo. Ni dhahiri kwamba mmekuwa pamoja tangu nilipochaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam. 

akini pia mmekuwa bega kwa bega na mimi Meya wenu wa Jiji, katika juhudi kubwa za kulifanya jiji letu kuwa la kuvutia. Hivyo nina kila sababu ya kuwashukuru na kuwapongeza sana.

Ushirikiano ambao mnaunyesha na kuendelea kuuonyesha unanipa...

 

3 years ago

Channelten

2 years ago

Michuzi

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Yakabidhi Hundi ya Milioni Hamsini Kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda Kuchangia Ujenzi wa Vyumba Vya Walimu wa Shule za Jiji la Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo Makonga kuchangia Ujenzi wa Vyumba vya Walimu kwa Shule za Jiji la Dar es Salaam hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyika katika Makao Makuu ya PBZ Mpirani Zanzibar. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Ameir Hafidh kulia akimkabidhi hundi ya shilingi milioni hamsini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paulo...

 

1 year ago

Malunde

UVCCM WADAI KUKAMATA GARI LA MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAMMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Kinondoni, Lilian Rwebangira amesema wamelikamata gari la meya wa jiji wa Dar es Salaam kwenye ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni likiwa na vijana wawili waliovaa sare za chama hicho tawala.

Rwebangira alidai kwamba kuonekana kwa gari hilo ni njama za Chadema kutaka kuvuruga uchaguzi wa Februari 17 na kwamba tayari wamefikisha suala hilo katika Kituo cha Polisi Magomeni ambako dereva wake anashikiliwa pamoja na gari hilo.

Kamanda wa Polisi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani