Mhe.Theddy Ladislaus Patrick mjumbe wa bunge la katiba mwenye umri mdogo kuliko wote mjengoni

 Mhe.Theddy Ladislaus Patrick (21) Mbunge mwenye umri mdogo kuliko wote katika bunge maalum la katiba anaye wakilisha taasisi za elimu ya juu akiingia mjengoni Dodoma   Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe.Samweli Sitta kushoto akimwapisha Mhe.Theddy Ladislaus Patrick kuwa mbunge wa bunge maalum. Mhe.Theddy Ladislaus Patrick akibadilishana mawazo na  wajumbe Mhe.Beatrice Shelukindo kulia na mhe. Hamad  Rashid  nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Mbunge mwanamke mwenye umri mdogo Tanzania

Bi Halima Abdallah, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania.

 

2 years ago

BBCSwahili

Waziri mwenye umri mdogo zaidi Somalia auawa

Waziri mwenye umri mdogo zaidi nchini Somalia ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu.

 

2 years ago

BBCSwahili

Austria kumchagua kiongozi mwenye umri mdogo zaidi duniani

Mkuu wa chama cha kihafidhina nchini Austria cha People's Party, Sebastian Kurz, anaelekea kuwa kiongozi wa taifa mwenye umri mdogo duniani

 

3 years ago

Global Publishers

3 years ago

Bongo5

Olimpiki: Mfahamu mwana michezo mdogo kuliko wote

Macho, akili na masikio ya wapenda michezo wote duniani kwa sasa yapo nchini Brazil kwenye mashindano yanayoendelea ya Olimpiki.

gaurika_fbsport_647_080316035045

Mpaka sasa Marekani imefanikiwa kuongoza kutwaa medali nyingi ikiwa ni jumla ya medali 38 ambazo wamefanikiwa kuzipata wakifuatiwa na China (30), Japan (22), Australia (15) na nafasi ya tano imechukuliwa na Korea Kusini waliopata medali 11.

Kitu kikubwa zaidi cha kufurahisha na kuvutia kwenye mashindano hayo ni kuwepo kwa muogeleaji mwenye umri mdogo kuliko wote...

 

3 years ago

MillardAyo

Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)

Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu  wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ. Mtoto huyo alianza kuchukua headlines kabla ya kushinda kwenye shindano la S.A Got Talent 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov […]

The post Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI MRINDOKO MGOMBEA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI KILIMANJARO

Moshi,Kilimanjaro,
Wakati tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi mkuu 2015,mengi ya kufurahisha yanahibuka kama vile wananchi wa jimbo la Moshi Mjini kumshawishi mgombea waokijana Daudi Babu Mrindoko achukue fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo 2015,na kumiminia sifa zote zinazofaa kijana huyo wa mjini Moshi achaguliwe.wakazi hao wa jimbo la Moshi Mjini kwa sasa wanadai kuwa kijana wao waliomshawishi achukue fomu ndiye Mgombea kijana mwenye umri mdogo kuliko wengine wote wenye nia ya kugombea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani