MHISPANIA AWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA BAISKELI

Mpanda milima mashuhuri Duniani kwa kutumia Baiskeli Juanito Oiarzabal akiwa amefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa Mhispania wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro akitumia saa 31 akiendesha baiskeli hadi kileleni.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Angalia picha : Mhispania apanda mlima Kilimanjaro kwa baiskeli

Mpanda milima mashuhuri Duniani kwa kutumia Baiskeli ,Juanito Oiarzabal ameweka rekodi ya kuwa Mhispania wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro huku akitumia saa 31 akiendesha baiskeli katika siku tano hadi kufika kilele cha Uhuru. Juanito na wenzake wawili , Eduardo Pascuaz na Ramon Abecia waliianza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia Baiskeli kupitia lango la Kilema.  Juanito Oiarzabal ambaye amepata ulemavu wa kukatika vidole kutokana na barafu katika Milima mbalimbali...

 

5 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU

Mzazi wa mtoto Idda Baitwa,Bw Respcius Baitwa akifanya maandalizi na mwanae ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akiwa na baba yake mzazi Bw Respcius Baitwa pamoja na ndugu zake wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akijiandikisha katika lango la Umbwe la kupanda mlima Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima huo.nyuma yake ni Bw...

 

2 years ago

Michuzi

MTANZANIA ALIYEWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA MUDA MFUPI AMUANGUKIA WAZIRI MWAKYEMBE

MTANZANIA ,Gaudence Lekule (31) anayeshiriki michezo ya kupanda milima kwa kasi (Mountain Run) amemuomba Waziri mpya wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo ,Dkt Harison Mwakyembe kutupia jicho michezo mingine kwani ina nafasi kubwa ya kutangaza na kuletea sifa taifa.

Lekule anayeshikilia rekodi ya kuwa Mwafrika wa kwanza Duniani kupanda kwa muda mfupi katika Mlima Kilimanjaro akitumia muda wa jumla wa saa 8:36 alitoa wito pia kwa kampuni,taasisi binafsi na za serikali kujitokeza ...

 

4 years ago

Mwananchi

‘Rajesh’ wa Isidingo aweka rekodi Mlima Kilimanjaro

Mwigizaji maarufu wa tamthilia ya Isidingo The Need, Jack Devnarain maarufu kwa jina la uigizaji la Rajesh Kumar, amefanikiwa kufika kilele cha Uhuru cha Mlima Kilimanjaro.

 

2 years ago

Mwananchi

Mwitaliano aweka rekodi ya dunia Mlima Kilimanjaro

 Raia wa Italia, Nico Valsesia amepanda Mlima Kilimanjaro na kuweka rekodi ya dunia ya kuupanda kwa saa 24 kutoka usawa wa bahari hadi kileleni urefu wa mita 5,895.

 

4 years ago

Mtanzania

Mtanzania apania rekodi ya dunia kupanda Mlima Kilimanjaro

IMG_2171NA FESTO POLEA

MTANZANIA mzaliwa wa Mkoa wa Iringa, Julio Ludago, anatarajia kuvunja rekodi ya dunia ya kupanda na kushuka Mlima Kilimanjaro kwa kutumia muda mfupi zaidi bila kuwa na usaidizi wowote.

Mtanzania huyo anayefanya kazi katika kampuni ya kutembeza watalii ya Ahsante Tours, anataka kuvunja rekodi mbili kubwa zaidi zilizowekwa na Mswisi na Mtanzania, siku ya Septemba 27 mwaka huu, atakapopanda mlima huo.

Ecuadorian Karl Egloff kutoka Uswisi ndiye anayeshikilia rekodi ya kupanda na...

 

4 years ago

Vijimambo

HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mlemavu apanda mlima Kilimanjaro kwa baiskeli

MLEMAVU Eiju Murakanil, (65), raia wa Japan amefanikiwa kufika kituo cha Gilmas Mlima Kilimanjaro urefu wa mita 5,685 kutoka usawa wa bahari kikiwa ni kituo kimoja kutoka kileleni akitumia kiti...

 

2 years ago

Mwananchi

Washerehekea miaka 55 kwa kupanda Mlima Kilimanjaro

Wakati Watanzania wakisherehekea miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika, Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali George Waitara ameongoza ujumbe wa wanahabari, maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wahifadhi kupanda Mlima Kilimanjaro.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani