Miamba 32 yapangiwa makundi

Monaco, Ufaransa. Ratiba ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilipangwa wiki iliyopita mjini Monaco, Ufaransa na ikionyesha mechi za hatua hiyo ya makundi zitaanza kuchezwa Septemba 16 na 17, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo

uefa euro 2016

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;

GROUP A;

Ufaransa

Romania

Albania

Switzerland

GROUP B;

Uingereza

Urusi

Wales

Slovakia

GROUP C;

Ujerumani

Ukraine

Poland

Northern Ireland

GROUP D;

Hispania

Jamhuri ya Czech

Uturuki

Croatia

GROUP E;

Belgium

Italia

Jamhuri...

 

3 years ago

Habarileo

Twiga Stars, yapangiwa Zimbabwe

TIMU ya soka ya taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ itaanza kampeni ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwakani huko Cameroon kwa kuchuana na Zimbabwe katika raundi ya kwanza ya mchujo.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Simba yapangiwa jaji

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imempa Jaji Augustine Mwarija kusikiliza kesi iliyofunguliwa na wanachama watatu wa Simba, ambao wanaiomba itoe amri ya muda kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu...

 

3 years ago

Mtanzania

Arsenal yapangiwa na Burnlye Kombe la FA

wengerLONDON, ENGLAND

DROO ya raundi ya nne ya michuano ya Kombe la FA, imetoka huku timu za Ligi Kuu nchini England zikipangwa na zile za daraja la kwanza.

Arsenal ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe hilo, wao wamepangwa kukipiga na timu ya Burnley, huku Chelsea wao wakiwa ugenini wataanza kukutana na mshindi wa mchezo kati ya Northampton Town au Mk Dons.

Wakati huo Manchester City wao watakipiga na mshindi wa mchezo kati ya Wycombe Wanderers au Aston Villa, huku majirani zao Manchester United...

 

3 years ago

Habarileo

Azam yapangiwa mechi za viporo

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeipangia Azam FC mechi zake za viporo baada ya kushindwa kucheza mechi hizo mwanzoni mwa mwezi huu, imeelezwa.

 

5 years ago

Habarileo

Kesi Mbunge huru yapangiwa majaji

KESI ya kikatiba iliyofunguliwa kutaka Mahakama iruhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama katika chama chake atambuliwe kuwa Mbunge huru au aruhusiwe kuhama na ubunge wake kwenda chama chochote, imepangiwa jopo la majaji watatu.

 

3 years ago

Channelten

Serikali ya Rwanda yapangiwa kupelekwa Mahakamani

rwa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Alain-Aime Nyamitwe amesema serikali yake inapanga kuipeleka Rwanda mahakamani kutokana na nchi hiyo kuwaunga mkono waasi.

Kauli hiyo ameitoa katika mahojiano maalum aliyofanya na DW ambapo waziri huyo amesema kila nchi ina haki ya kwenda mahakamani iwapo itaona uhuru wake unakiukwa na kuongeza kuwa Burundi ina ushahidi unaoonyesha kuwa Rwanda imekiuka uhuru na utu wa watu wa Burundi.

Wakati hayo yakijir Chama tawala nchini Burundi CNDD-FDD kimemshutumu...

 

2 years ago

Mtanzania

Kesi ya umeya Kinondoni yapangiwa hakimu

jaji-mkuu-wa-tanzania-mohammed-chande-othman

Jaji Mkuu, Othman Chande

 

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

KESI ya kuomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itengue matokeo ya umeya na unaibu meya katika Manispaa ya Kinondoni na iamuru uchaguzi urudiwe, imepangwa kusikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicious Mwijage.

Ilifunguliwa juzi katika mahakama hiyo na jana ilisajiliwa na kupewa namba 304/2-16 na kupangiwa hakimu wa kuisikiliza.

Wadai katika kesi hiyo ni aliyekuwa mgombea umeya, Mustafa Muro na naibu wake, Jumanne Mbunju, ambao...

 

3 years ago

Channelten

Yanga yapangiwa Angola kuumana na Sagrada Esperanca

0,952c99d9-0daa-4e6b-9596-72c67982229d--r--NjQweDM0Mw==

Baada ya jana kung’olewa katika michuano ya kombe la Klabu Bingwa Afrika na timu ya Al Ahly ya Misri, na kwa kuwa imepata tiketi ya kushiriki michuano ya kombe la shirikisho, Timu ya Yanga imeangukia mikononi mwa klabu ya Sagrada Esperanca ya Angola na mechi ya kwanza itachezwa Dar es Salaam kati ya Mei 6 na 8 na marudiano ugenini kati ya mei 17 na 18.

Sagrada Esperanca imetinga hatua hiyo baada ya kuiondoa Ajax Capetown ya Afrika Kusini kwenye hatua ya mtoano.

Matokeo mengine ya Droo hiyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani