Michezo inayopigwa jioni hii ya Epl

Arsenal inaonana na Afc Bournemouth, huku Brighton & Hove Albion ni wenyeji wa West Bromwich Albion.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Kama ulipitwa na michezo ya EPL iliyochezwa Januari 12, matokeo ya michezo hiyo yapo hapa

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea hapo jana kwa michezo mitatu kupingwa, mchezo mkubwa ukiwa ni kati ya Newcastle United iliyowakaribisha Manchester United.

Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya goli 3 kwa 3 na nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akionekana kurudi katika ubora wake wa awali baada ya kuifungia timu ya goli mbili.

Katika mchezo huo Manchester United ilikuwa ya kwanza kupata goli katika dakika ya tisa kupitia mkwaju wa penati uliopigwa na...

 

9 months ago

Malunde

HII HAPA KAULI YA TUNDU LISSU BAADA YA KUFUNGUA KINYWA JIONI HII


Godbless E.J. Lema‏ @godbless_lema
FollowMore"Mwenyekiti I survived to tell the tale. Please keep up the fight" ni maneno machache aliyosema Lissu jioni hii baada ya kufumbua kinywa!

 

1 year ago

Bongo5

Hii ndio ratiba ya EPL wikiendi hii, Klopp na Wenger uso kwa uso

Ligi kuu ya Uingereza ndio ligi inayoongozwa kufuatiliwa zaidi na mashabiki wa mchezo huo duniani. Na wikiendi hii kuna mechi zinazosubiriwa kwa hamu ikiwemo Liverpool dhidi ya Arsenal na Tottenham Hotspur dhidi ya Everton.

Hii ndio ratiba kamili ya mechi hizo wikiendi hii.

Jumamosi

Manchester United vs AFC Bournemouth
Leicester City vs Hull City
Stoke City vs Middlesbrough
Swansea City vs Burnley
Watford vs Southampton
West Bromwich Albion v Crystal Palace
Liverpool vs...

 

2 years ago

BBCSwahili

Vardy kuikosa michezo mitatu ya Epl

Jamie Vard atakosa michezo mitatu ya ligi kuu England baada ya Fa kutupilia mbali rufaa iliyokatwa na Leicester City.

 

3 years ago

BBCSwahili

EPL kuendelea wikiendi hii

Ligi ya England itaendelea tena wikiendi hii kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto siku ya jumamosi

 

2 years ago

CCM Blog

JK AWASILI MKOANI SINGIDA JIONI HII


 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika Februari 6 kwenye uwanja wa Namfua.
  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida Mzee Hamisi Nguli mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari...

 

2 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo Ligi Kuu ya Uingereza EPL (Video)

Ligi Kuu ya Uingereza jana usiku iliendelea kwa michezo mitano.

Chelsea iliwafata Norwich katika uwanja wa Carrow Road na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja, magoli ya Chelsea yalifungwa na Robert Kenedy katika dakika ya kwanza ya mchezo huo na goli la pili likifungwa na Diego Costa dakika ya 45.

Goli la Norwich lilifungwa na Nathan Redmond dakika ya 68 na hadi mwamuzi Lee Mason anamaliza mchezo huo Chelsea ilikuwa mbele kwa goli mbili kwa moja.

Mchezo mwingine ni vinara...

 

2 years ago

StarTV

Ligi ya EPL kurejelewa wikendi hii

Ligi Kuu ya Uingereza itarejelewa wikendi hii baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa leo Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi nane.

Aston Villa watatanguliza kwa kuwakaribisha Chelsea kwao nyumbani, huku Tottenham wakifunga siku kwa mechi ugenini Liverpool.

Ratiba ya mechi:

Leo Jumamosi 2 Aprili (Saa za Afrika Mashariki).

Aston Villa v Chelsea 14:45 Arsenal v Watford 17:00 Bournemouth v Man City 17:00 Norwich v Newcastle 17:00 Stoke v Swansea 17:00 Sunderland v West Brom 17:00 West Ham v...

 

3 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AITEKA KONGA JIONI HII

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi atika mutano wa kampeni uliofanyika leo, katika eneo la kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo.Wasanii waliopo katika kampeni ya Mama Ongea na Mwanao mpigie kura Dk. Magufuli, wakiwa kwenye mkutano huo

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani