MICHUZI TV: CHINA YAIPIGAJEKI TANZANIA SHILINGI BILIONI 146

i

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA USAFIRI NA KUENDELEZA UJENZI WA RELI YA STANDARD GAUGE

 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Mhe. Wang Ke wakitia saini mkataba wa msaada wa kifedha ambapo serikali ya China itaisaidia Tanzania jumla ya shilingi Bilioni 146.47  kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Usafiri pamoja na kuendeleza ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard gauge. Hafla hii fupi imefanyika Ofisi za hazina jijini Dar es salaam leo  Jumamosi Mei 19, 2018 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na...

 

2 years ago

Michuzi

Tanzania na China zasaini Mkataba kusaidia sekta za maendeleo nchini,Kutoa msaada wa fedha wa kiasi cha shilingi 97 BILIONI

Serikali ya Watu wa China imeahidi kuipatia Tanzania msaada wa fedha wa kiasi cha Shilingi bilioni 97 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Kauli hiyo ilitolewa leo na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Mb) baada ya kukutana na ujumbe kutoka China unaongozwa na Naibu Waziri wa Biashara wa nchi hiyo, Mhe. Dkt. Kian Keming.
Dkt. Kian na ujumbe wake upo nchini...

 

3 years ago

Dewji Blog

Marekani yaipiga jeki Tanzania Shilingi Bilioni 895

SERIKALI ya Marekani, kupitia shirika lake la Misaada ya Maendeleo USAID, imeipatia Tanzania msaada wa dola Milioni 407 sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 895 zitakazotumika kwa ajili ya kuendeleza sekta za Kilimo, Afya, Nishati ya Umeme, Elimu na Utawala Bora, katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2016/2020.

Hati za Makubaliano hayo zimetiwa saini Jijini Dar es salaam, kati ya Mkurugenzi wa Shirika la USAID, Bi. Sharon Cromer, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. ...

 

3 years ago

Michuzi

Tanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 116.4 kutoka Japan.


 Na Eleuteri Mangi-MAELEZO


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kusaini hati hizo, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile alisema mkataba wa kwanza utasaidia katika kukamilisha bajeti ya Serikali ya mwaka 2016/17.

Dkt. Likwelile alisema kuwa msaada huo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Tanzania yapatiwa mkopo wa shilingi Bilioni 360 kutoka (AFDB)

Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) imeipatia Tanzania mkopo wa Shilingi Bilioni 360 kwa ajili ya Bajeti ya Serikali ya mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na kuongeza mtaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini-TADB.

Uhai wa mikopo yote miwili utakuwa ni miaka 40 ambapo Serikali itaanza kuilipa baada ya miaka kumi tangu kutolewa kwake, huku riba yake ikiwa chini ya asilimia 1.

The post Tanzania yapatiwa mkopo wa shilingi Bilioni 360 kutoka (AFDB) appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Michuzi

SWEDEN YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA KIBAJETI SHILINGI BILIONI 436

Dares Salaam, Novemba 14, 2017: Sweden imeipatia Tanzania Msaada wa jumla ya Fedha ya Sweden SEK. Bilioni 1.64 ambayo ni sawa na takribani Sh. bilioni 435.79 kwa ajili ya Msaada wa kibajeti na kusaidia mpango wa elimu. 
Makubaliano ya msaada huo yamesainiwa Jijini Dar es Salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James na Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano na Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania Bw. Ulf Kallsting.
Bw. James alisema kuwa imesainiwa Mikataba mitatu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Benki ya DTB Tanzania yauza hisa zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30!

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Viju Cherian (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu benki hiyo kuuza hisa zenye thamani ya sh. bilioni 30 na kusherehekea miaka 70 ya uwepo wake tangu ianzishwe hapa nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi.  Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi (kulia), akizungumzia mafanikio mbalimbali  na...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5

Benny Mwaipaja-WFM, Dodoma
Mikoa mitatu ya Tanga, Morogoro na Iringa, imenufaika na kiasi cha shilingi bilioni 6.5 zilizotolewa kama mkopo na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) tangu benki hiyo ianzishwe mwaka 2015.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, wakati akijibu swali na msingi lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Felister Aloyce Bura, aliyetaka kufahamu ni lini Serikali itaanza kutoa huduma kwa wakulima wadogo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani