MICHUZI TV: KOCHA WA ZAMANI WA TAIFA STARS MARCIO MAXIMO AMMWAGIA SIFA FREDRICK MWAKALEBELA URAIS TFF

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS TFF FREDRICK MWAKALEBELA AJA NA MAMBO KUMI YA KUINUA SOKA NCHINI


 Mgombea Urais katika Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Fredrick Mwakalebela akizungumza na waandihi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa akunadi sera zake.
Na Mwandishiwetu , Dar es Salaam
Mgombea Urais katika Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Fredrick Mwakalebela ametaja mambo kumi atakayo fanya katika kuinua mpira hapa nchini kama atapata ridhaa ya kuwa Rais wa TFF.

Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati uzinduzi wa kampeni yake Mwakalebela amesema kuwa kwa kwanza...

 

4 years ago

Michuzi

kadhia ya kocha Marcio Maximo yaibu mazito Yanga!

Timua timua ndani ya Yanga imeibua kadhia kubwa ambapo zaiodi  ya TSh  bilioni 3 ndani ya klabu hiyo zikidawia kuchotwa na kwamba uchunguzi unaendelea. Mwanasheria wa Yanga George Chacha ameiambaia Globu ya Jamii kwamba  pamoja na kuwa ukaguzi bado unaendelea lakini huenda kuna mabilioni ya fedha yakawa yameyeyuka  ndani ya klabu hiyo. Alisema: "Kwa haraka haraka kuna fedha kiasi cha dola 2500 za tiketi ya mke wa aliyekuwa kocha msaidizi  Leonado Neiva, aliyetakiwa atumiwe ili aje, hizo...

 

4 years ago

Michuzi

Yanga yaendelea kujifua mchangani chini ya Kocha Marcio Maximo

 Wachezaji wa Timu ya Yanga wakiendelea kujifua kwa nguvu zote kwenye Ufukwe wa Bichi ya Barabara ya Ocean Rodi jijini Dar es Salaam mapema leo asubuhi,ikiwa ni katika maandalizi ya mashindano ya ligi kuu Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo Agosti 24 2014.Timu ya Yanga ipo chini ya Kocha aliewahi kuinoa Timu ya Taifa "Taifa Stars" miaka ya nyuma,Kocha Marcio Maximo (wa pili kulia) akiwa na msaidizi wake Leonado Neiva (wa nne kulia) pamoja na Mchezaji wa zamani wa timu...

 

2 years ago

Habarileo

Kocha Yanga ammwagia sifa Mahadhi

KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesifu kiwango cha kiungo wa pembeni Juma Mahadhi na kusema kuwa ni aina ya wachezaji anaowakubali na amekuwa msaada mkubwa kwenye kikosi chake.

 

3 years ago

Michuzi

Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliekuwa Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, leo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mirongo,Jijini Mwanza.Marehemu Marsh amezikwa kwenye makaburi ya Igoma nje kidogo ya Jiji la Mwanza.Picha zote na G Sengo Blog.Familia ya Marehemu Sylvester Balunzi Mashishigulu ‘Marsh’, ikiwa kwenye huzuni kubwa baada ya kuondokewa na mpendwa wao,wakati wa ibada maalum ya kumuada...

 

2 years ago

Bongo5

TFF yamtangaza kocha mpya wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa nje!

Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa.

Chalres Boniface Mkwassa

Taarifa hivi zimethibitishwa na rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter. Jamal Malinzi ametoa taarifa hiyo kwa kuandika,“Mkataba wa TFF na Kocha Mkwassa,kwa makubaliano,umefikia mwisho leo.Salum Mayanga ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Taifa Stars.”.

Ikumbukwe kamba kocha huyu alichukua mikoba kutoka kwa kocha Mart...

 

4 years ago

Vijimambo

MARCIO MAXIMO AONDOKA YANGA

Habari rasmi toka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa kocha Mbrazil Marcio Maximo ameondoka ndani ya klabu hiyo .
Habari hizi zinakuja dakika chache baada ya Millardayo.com kuripoti tetesi zinazohusu8 mustakabali wa kocha huyo Mbrazil.Maximo anaondoka Yanga baada ya uongozi wa klabu hiyo kukubaliana naye kuvunja mkataba wake baada ya kushindwa kuelewana juu ya jinsi ya kuiendesha klabu hiyo kwenye masuala ya ufundi .
Yanga ilishikilia msimamo wa kumuajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani