MICHUZI TV: NCHI ZA NORDIC ZALIDHISHWA NA KASI YA RAIS MAGUFULI KWENYE MAPAMBANO YA RUSHWA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Mapambano dhidi ya Rushwa, Rais Dk Magufuli asema ni kulinda Rasilimali za nchi

MAGUFULI

Askofu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Agustino Shao amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa hatua anazochukua kurekebisha mambo muhimu kwa maendeleo ya taifa, licha ya kuwepo kwa changamoto katika kipindi cha mpito.

Baba Askofu Shao amesema hayo leo wakati akihubiri katika Misa Takatifu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Minaramiwili ambapo Rais Magufuli ameungana na waumini wa Kanisa...

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15

Bado Rais Magufuli anaendelea kuipanga Serikali ya awamu ya tano ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa kwenye utawala wake na kazi inakwenda. Tuhuma za rushwa na ubadhirifu zimekuwa nyingi, baada ya ishu ya makontena bandarini, ukwepaji kodi TRA, kaigeukia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU. Rais Magufuli amefanya mabadiliko Taasisi ya TAKUKURU na kutengua […]

The post Rais Magufuli hajaridhishwa mapambano ya rushwa, kaigeukia TAKUKURU December 15 appeared first on...

 

2 years ago

Channelten

Mapambano dhidi ya Rushwa, Rais Magufuli amuapisha Brigedia Jenerali Mbungo

t2

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Hafla ya kuapishwa kwa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo imefanyika Ikulu Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma, Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli: Rushwa ni kansa kwa maendeleo ya nchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema rushwa ni kansa ya maendeleo kwa nchi ya Tanzania hivyo inatakiwa kupigwa vita.

magu1-1

Akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari nchini Ikulu jijini Dar es salaam, Rais Magufuli amesema kuwa rushwa imekuwa ikilitesa taifa.

“Nyinyi wenyewe waandishi wa habari mnaona jinsi rushwa ilivyokuwa imetawala katika nchi yetu, lakini kwasasa watu wamekuwa na adabu na kazi, watu wamekuwa wakiheshimu kazi, tumekuwa tukipiga vita rushwa...

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli ameleta Tsunami kwenye rushwa – Mwinyi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya pili,Dkt Ally Hassan Mwingi huku akisema kuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amepinga rushwa kwa nafasi yake lakini rais Magufuli kwenye suala la rushwa ameleta Tsunami.

mwinyi

Hii ni taarifa kutoka Ikulu;

whatsapp-image-2016-11-23-at-13-59-24

BY: EMMY MWAIPOPO

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA KUPAMBANA NA RUSHWA, LONDON

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Mei 12, 2016. Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika ​mazungumzo rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano unaojadili mapambano dhidi ya rushwa kwenye ukumbi wa Lancaster House, London, nchini Uingereza May 12, 2016. Wa tatu kushoto ni Waziri...

 

5 years ago

Ykileo

NCHI ZA ME ZAWEKEZA ZAIDI KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Ukipitia takwimu za mwaka huu na mwaka jana inaonyesha Nchi za Ulaya na Marekani zimeendelea kuathirika zaidi na uhalifu mtandao, Huku Nchi za mashariki ya kati kuonekana kunyemelewa na wahalifu mtandao. Wakati huo huo takwimu zilitabiria Nchi za Afrika  kuwa katika hali mbaya baadae kutokana na ukuaji wa kasi wa matumizi ya mitandao ambao hauendani sanjari na maandalizi madhubuti ya usalama wa mitandao.


Mengi yalizungumzwa kuhusiana na tishio jipya katika nchi za kiarabu huku kampuni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani