MICHUZI TV: TANZANIA MORTGAGE REFINANCE COMPANY (TMRC) YAZINDUA MPANGO WA HATI FUNGANI WA MIAKA 5 WENYE THAMANI YA BILIONI 120/-

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

TMRC YAZINDUA MPANGO WA HATIFUNGANI WA MIAKA MITANO WENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 120

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMPUNI ya Utoaji Mikopo kwa Mabenki na Taasisi za fedha kwa ajili ya mikopo wa nyumba Tanzania (TMRC), imezindua mpango wa hatifungani wa miaka mitano kwenye Soko la Hisa (DSE).
Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni hiyo Ammish Owusu-Amoah ameongoza uzinduzi huo ambao pia umeshuhudiwa na wawekezaji pamoja na wadau mbalimbali toka sekta za fedha, nyumba na sekta nyingine.
Hivyo uzinduzi wa utoaji wa dhamana ya TMRC...

 

1 year ago

Michuzi

Taasisi ya Tanzania Mortage Refinance Company (TMRC) Yachangia Shilingi Milioni Nane kwa ajili ya matibabu Ya Moyo Kwa Watoto Wanne Wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na masuala ya kifedha ya Tanzania Mortage Refinance Company (TMRC) imekabidhi msaada wa shilingi milioni nane kwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kuwezesha matibabu ya moyo kwa watoto wanne.
Watoto hao watafanyiwa upasuaji wa moyo wa kuziba matundu na wengine kutibiwa mishipa ya damu ambayo haipitishi damu vizuri katika moyo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mkurugenzi wa TMRC Oscar Mgaya alisema wameguswa kuchangia...

 

3 years ago

Mwananchi

NMB yazindua uuzaji wa hati fungani

Benki ya NMB imezindua uuzaji wa hati fungani zenye thamani ya Sh20 bilioni kwa kipindi cha miaka mitatu kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).

 

2 years ago

Raia Mwema

Benki Kuu yashindwa kupata bilioni 128 za hati fungani

BENKI Kuu ya Tanzania imeshindwa kukusanya shilingi bilioni 128 ambazo ilitarajiwa kuzipata kutokana na kuuza hati fungani ya miaka miwili.

Kwa mujibu wa ripoti ya mnada wa hati fungani hizo, maombi ya kiasi cha shilingi bilioni 104 yalipokelewa, hali iliyosababisha kushindwa kufikia malengo kwa shilingi bilioni 24.

Hata hivyo, pamoja na kupata kiasi hicho cha maombi ya hati fungani, Benki kuu ilikubali hati fungani zenye thamani ya shilingi bilioni 52.4 tu.

Jumla ya maombi 99...

 

1 year ago

AllAfrica.Com

Tanzania's First Mortgage Finance Company Starts Operations


Tanzania's First Mortgage Finance Company Starts Operations
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Tanzania's first Housing Finance Company Limited - 1st Housing Finance (Tanzania) Limited - has commenced operations with its paid-up capital currently standing at Sh21.8 billion. The financial institution which is sponsored by Bank M ...

 

2 years ago

Michuzi

PROFESA MUHONGO AZINDUA MPANGO MKUBWA WA KUENDELEZA USAMBAZAJI UMEME VIJIJI VYOTE TANZANIA WENYE THAMANI YA DOLA 1,367


Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza jambo wakati akizindua mpango mkubwa wa kuendeleza usambazaji umeme vijijini hapa nchini (Treep), kwenye kijiji cha Kwedizinga, wilayani Handeni mkoa wa Tanga agosti 15, 2016. kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawai na Somalia, Bella Bird (PICHA NA MARGRETH SUBI)

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawai na Somalia, Bella Bird,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wahukumiwa miaka 120 na kulipa fidia ya Bilioni 1.4

Mahakama ya hakimu mkazi Singida imewahukumu washitakiwa sita  adhabu ya kutumikia jela jumla ya miaka 120 na kulipa faini  ya jumla ya zaidi ya shilingi Bilioni 1.4, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumiliki  kinyume na sheria vipande 53 vya tembo vyenye thamani ya shilingi 149,336,000 na kosa la jingine la uwindaji.

Washitakiwa hao ni Eliud Selema Mayunga (38) mkazi na mkulima wa kijiji cha Kiombo,Ramadhani Said Biladuka (47) mkulima mkazi wa Itigi,Lenard Oscar Sunzu (31) mkazi wa...

 

4 years ago

Habarileo

Wabunge wahamasishwa kununua hati fungani

Spika wa Bunge, Anna Makinda.GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu amewahamasisha wabunge kununua hati fungani zinazotolewa na Benki Kuu kama njia ya kuhifadhia fedha zao na kupata faida.

 

2 years ago

Habarileo

Uchunguzi kashfa ya Hati Fungani waiva

SIKU chache baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuahidi serikali kuangalia uwezekano wa kuishtaki Benki ya Standard ICBC ya Uingereza kuhusiana na ufisadi uliofanyika katika mkopo wa Dola za Marekani milioni 600 (Sh trilioni 1.2) ambazo serikali ilikopa kwa kutumia Hati Fungani, imebainika kuwa uchunguzi kuhusiana na suala hilo upo katika hatua za mwisho.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani