‘Mikataba ya madini kikwazo cha mapato’

Wadau wa sekta ya madini nchini wamesema mchango wa rasilimali hiyo katika pato la Taifa hautaongezeka kutoka asilimia 3.5 iliyopo sasa ikiwa Serikali haitapitia upya mikataba ya kampuni za madini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Mikataba ya madini yafumuliwa

SERIKALI imefumua mikataba ya kampuni za uchimbaji madini hapa nchini kutokana na malalamiko ya wananchi kwamba hawafaidiki na mapato yatokanayo na mrahaba unaolipwa na wawekezaji hao. Akizungumza jijini Dar es...

 

3 years ago

Mtanzania

Mikataba ya madini kupitiwa upya  

madini.NA HADIA KHAMIS, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), , amesema atahakikisha shirika hilo linapitia upya mikataba ya wabia wa madini ili kuondokana na mikataba mibovu isiyokuwa na tija.

Balozi Muganda aliyasema hayo jana alipokuwa akizindua Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo Dar es Salaam na kuongeza kuwa Stamico inakabiliwa na changamoto kubwa ya miradi kushindwa kusimamiwa vyema.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa,...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Serikali itumie wahasibu mikataba ya madini

SERIKALI imeshauriwa kutumia wataalamu wakati wa utiaji saini na usimamizi wa miradi mbalimbali na wawekezaji hususani katika sekta ya madini, wakiwemo wahasibu ili kuziba mianya ya kupunja mapato ya nchi...

 

2 years ago

MillardAyo

“Wahusika Mikataba ya Madini wanyongwe” – Wabunge

Moja ya story kubwa kutoka Bungeni Dodoma ni pamoja nah ii ya Wabunge kuchangia mapendekezo yao katika Bajeti Wizara ya Nishati na Madini ambapo baadhi ya waliopata nafasi hiyo wametaka Serikali kupitia upya mikataba ya Madini ili kubaini makosa yaliyofanywa na wahusika kisha iwachukulie hatua za kisheria. MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari!!!!

The post “Wahusika Mikataba ya Madini wanyongwe” – Wabunge appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwananchi

Nani alifanya nini mikataba ya madini

Ripoti ya kamati ya pili ya makinikia iliyowasilishwa jana imeibuka na majina ya vigogo ikieleza jinsi walivyohusika kuingia mikataba mikubwa ya migodi ya madini na kulitia hasara Taifa.

 

5 years ago

Mwananchi

Tuliteleza mikataba ya madini, sasa tusonge mbele

Tanzania ni taifa lililojaliwa madini mengi ya kila aina. Kitaalamu madini maana yake ni kitu chochote kinachokuwa katika mfumo wa kimiminika, kigumu (solid) au gesi ambacho ni cha kiasili kinachopatikana ardhini au chini ya bahari, maziwa, mito au kinapitia mfumo wa kijiologia lakini siyo mafuta au maji, kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya Mwaka 2010 kifungu cha 4.

 

5 years ago

Mwananchi

Tuliteleza mikataba ya madini, sasa tusonge mbele-2

Haiingii akilini kuona kampuni za kigeni zinazochimba madini Tanzania zinawekeza nchi za nje, huku wananchi wa Tanzania wakiendelea kuwa maskini.

 

2 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Tatizo la mchanga wa madini ni mikataba ya siri

Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyobahatika kuwa na hazina ya madini ya aina mbalimbali. Karibu katika kila mkoa au wilaya kuna aina moja au zaidi ya madini. Baadhi ya madini tuliyonayo ni tanzanite yanayopatikana Tanzania pekee, lakini kwa kiasi gani wananchi tunanufaika na madini hayo? Hilo linabaki kuwa swali lisilo na majibu.

 

2 years ago

Mwananchi

Ripoti ya makinikia yaibua uozo wa mikataba ya madini

Kamati ya pili iliyoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza masuala ya kiuchumi na kisheria kwenye makinikia iliyotolewa jana imeibua uozo uliopo kwenye mikataba ya madini, huku ikifichua kutosajiliwa kwa kampuni ya Acacia Mining inayojinasibisha kuwa mmiliki wa kampuni za Bulyanhulu Gold Mines, North Mara Gold Mine na Pangea Minerals.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani