Mikebe ya Coca Cola yagunduliwa kuwa na kinyesi cha binadamu

Polisi wameanzisha uchunguzi baada ya kinyesi cha binadamu kupatikana kwenye mikebe ya kujazwa soda, iliyowasilishwa kwa kiwanda cha Coca Cola huko Ireland kaskazini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

COCA-COLA YAZINDUWA MUONEKANO MPYA WA AMSHA SHANGWE NA COCA-COLA MKOANI MBEYA LEO

Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya CocaCola Tanzania, David Karamagi akionja Msisimko na muonekano mpya wa Coca-Cola kwanza uliobatizwa jina la Amsha Shangwe na Coca-Cola uliozinduliwa leo katika kiwanda cha Coca-Cola kwanza kilichopo Iyunga Jirani na Tazara mkoani Mbeya, timu nzima ya Coca-Cola kuzama Mtaani na kutambulisha muonekano Mpya wa Coca-Cola Amsha shangwe kwa wanambeya wote.Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya CocaCola Tanzania, David Karamagi akizungumza jambo wakati akiwapongeza...

 

3 years ago

Mwananchi

Kokeini ya Euro 50 milioni yapatikana Kiwanda cha Coca Cola

Kokeini yenye thamani ya bei ya mtaani Euro 50 milioni, imegundulika katika Kiwanda cha  Coca Cola kilichopo kusini mwa Ufaransa.

 

3 years ago

Bongo5

Kokeini 370kg yakamatwa katika kiwanda cha Coca-Cola Ufaransa

Kokeini yenye thamani ya bei ya mtaani kiasi cha Euro 50 m imegundulika katika kiwanda cha a Coca-Cola kilichopo kusini mwa Ufaransa.
648x415_sachets-cocaine-saisis-police-perou-3-septembre-2014

Dawa hiyo iliyokuwa imefichwa kwenye mifuko ya kuuzia juisi ya machungwa , ilifika kwenye shehena kutoka Amerika Kusini

Uchunguzi unaendelea katika kijiji cha Signes, kilichopo kusini mwa Ufaransa.

|#Marseille| Var: 370 kilos de cocaïne saisis dans un container de Coca-Cola: La marchandise illicite valait … https://t.co/hQI4sWLx3S

— DirectMarseille...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira atembelea kiwanda cha TBL na Coca Cola jijini Mwanza leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano Mahenge wa pili (kulia), akiwa katika ziara yake ya kukagua mazingira ya Kiwanda cha bia (TBL) kilichopo kata ya Pasiasi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, na wa pili (kushoto) ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Angelina Madete,wakati maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani yakiendelea jijini Mwanza. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais -Mazingira, Mh. Dk. Eng. Binilithi Satano Mahenge wa tatu...

 

3 years ago

BBCSwahili

Kokeini yenye thamani ya Euro milioni €50 imepatikana katika kiwanda cha Coca-Cola

Kokeini yenye yenye thamani ya Euro milioni 50 imepatikana kwenye kiwanda cha Coca-Cola kilichopo kusini mwa Ufaransa

 

4 years ago

StarTV

Bill Gates anywa maji ya kinyesi cha binadamu.

Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea.

Mwanzilishi huyo wa Microsoft amesema kuwa ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote duniani baada ya kuifanyia majaribio mwishoni mwa mwaka huu.

Teknolojia hiyo imeungwa mkono na shirika la WaterAid ambalo limesema kuwa itasaidia sana katika maeneo ya miji.

Kulingana na shirika hilo la...

 

3 years ago

TheCitizen

Coca-Cola Pulls Offensive Ad, but the Damage Is Already Done

In an ad distributed by Coca-Cola Mexico, pretty, young white people do their holiday good deed by bringing bottles of soda to a remote village and build a wooden Christmas tree in the town square.

 

4 years ago

Michuzi

COPA COCA COLA KUFANYIKA MWAKANI

MASHINDANO ya Copa Coca Cola yanayodhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji ya Coca Cola yaliyokuwa yafanyike katikati ya mwaka huu, sasa yatafanyika mapema mwakani mwezi Februari kuanzia ngazi ya Wilaya na fainali zake kufanyika mwezi Juni na Julai 2016.
Michuano hiyo ambayo hushirikisha timu za mikoa yote Tanzania kuanzia katka ngazi ya Wilaya, hufanyika kila mwaka kwa kuwashirkisha vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15).
Taarifa ya Idara ya Masoko ya Coca Cola imesema kampuni hiyo ...

 

5 years ago

Mwananchi

Kambi ya Copa Coca Cola safi

Kambi ya kimataifa ya Copa Coca-Cola imeanza leo katika uwanja wa michezo wa Chuo Kikuu cha Pretoria ikishirikisha vijana wadogo kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakijifunza mbinu mbalimbali za soka.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani