Mikoa mitano inayo ongoza kwa ugojwa wa TB Tanzania

Takwimu mpya za mwaka 2017, zimebaini kuwa Mkoa wa Dar es Salaam una asilimia 20 ya wagonjwa wa Kifua Kikuu (TB), idadi inayotajwa kuwa ni kubwa ukilinganisha na mikoa mingine.

Hayo yamebainishwa leo Aprili 24 katika mkutano wa vyombo vya habari, kuhusu ufuatiliaji wa tathmini kutoka mpango wa taifa wa kudhibiti TB nchini.

Mkoa unaofuatia kwa kuwa na wagonjwa wengi ni Mwanza kwa asilimia (6), Mbeya (5), Arusha (5), Dodoma (5), Morogoro (5) na mikoa iliyosalia ilijumuisha katika asilimia 54...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Zanzibar 24

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaja mikoa inayo ongoza kwa utoro wa wanafunzi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaja mikoa ya Tabora, Geita, Mtwara na Shinyanga kuwa inaongoza kwa utoro wa wanafunzi wa sekondari.

Waziri mkuu pia ameitaja mikoa ya Rukwa, Geita, Tabora, Singida na Simiyu kuwa inaongoza kwa utoro wa wanafunzi wa shule za msingi.

Majaliwa ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa ameitaja mikoa hiyo leo Jumatatu Aprili 2,2018 akizindua mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Magogo mkoani Geita.

Mbio za Mwenge zitakazohitimishwa Oktoba 14,2018 mkoani Tanga...

 

4 years ago

Ykileo

CHINA YAHOFIWA KUINGILIA MITAMBO INAYO ONGOZA MAKOMBORA YA WA ISRAEL

Wadukuzi wa kichina katika utaftaji wa taarifa zihusianazo na mitambo inayo ongozea makombora yanayotumiwa na wa Israel nchini palestina wamefanikiwa kuingilia mifumo ya wakandarasi watatu wa ki Israel. Wadukuzi hao wa kichina wamefanikiwa pia kupata kujua taarifa za mipango mingine yawa Israel pamoja na taarifa nyingine muhimu za makombora yawa Israel.


Taarifa hii imekua ikipokelewa kwa namna tofauti na makundi mbali mbali yaliyo onyesha hisia zao kupitia mitandao huku baadhi wakihoji kama...

 

2 years ago

MillardAyo

Imetajwa Mikoa Mitano inayoongoza kwa Ndoa za utotoni Tanzania

helen_jade_southsudan_earlymarriage

Tanzania imetajwa kuwa ni moja kati ya nchi zenye viwango vya juu vya matukio ya ndoa za utotoni. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika utafiti uliochapishwa mnamo Januari, 2016 uliitaja kuwa ni nchi ya tatu barani Afrika kwa matukio ya ndoa na mimba za utotoni kwa 28%. Kutokana na shirika la Idadi ya Watu Duniani […]

The post Imetajwa Mikoa Mitano inayoongoza kwa Ndoa za utotoni Tanzania appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa

MAP_OF_TANZANIA[1][1]

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine. Stori kubwa kwenye magazeti ya leo June 09 2016 ni kuhusu Bajeti ya mwaka 2016/2017, moja ya stori iliyochomoza ni hii […]

The post Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

Habarileo

Mikoa mitano iliyokithiri kwa umasikini yatajwa

PAMOJA na maendeleo yaliyotokana na kukua kwa pato la wastani la Mtanzania na kupungua kwa umasikini wa mahitaji ya msingi, serikali imeainisha mikoa mitano iliyokithiri kwa umasikini wa kipato.

 

3 years ago

Mwananchi

Mikoa mitano yaongoza kwa umaskini nchini

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amewasilisha bungeni Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa Fedha wa 2016/17, huku akitaja mikoa mitano inayoongoza kwa umaskini nchini.

 

10 months ago

Michuzi

Mfumo wa kujitegemea wa usajili wa vizazi kwa watoto wa chini ya umri miaka mitano umeanzishwa katika Mikoa ya Mara na Simiyu


Waziri wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akionesha kitabu cha vyeti vya kuzaliwa pamoja na simu ya kisasa alipozindua zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na Simiyu. Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni kufanikisha zoezi hill. Kulia ni Mwenyekiti was Bodi ya RITA, Prof. Hamisi Dihenga. 
MARA  – Mkoa wa Mara na Simiyu imezindua kuanza kwa mfumo wa kujitegemea wa usajili wa vizazi ambao unatarajiwa kunufaisha zaidi ya...

 

2 years ago

Michuzi

ZOEZI LA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA BURE KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO LAENDELEA MIKOA YA IRINGA NA NJOMBE

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imebuni na kuanza kutekeleza mpango wa Usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa bure kwa watoto wenye umri chini ya Miaka mitano.

Akizungumza na wanahabari Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu RITA Emmy Hudson amesema kuwa mpango huo umebuniwa ili kuleta suluhisho la changamoto iliyokuwa ikisababisha watoto kushindwa kusajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa kwa wakati.

Aidha amesema kuwa mpango huo ambao ulianza katika Mikoa ya...

 

1 year ago

Michuzi

MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAPOKEA KWA KISHINDO MPANGO WA KUWAPATIA VYETI VYA KUZALIWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe Halima Dendego akizungumza na viongozi wote wa Mikoa ya Lindi na Mtwara juu ya kusimamia kikamilifu Mpango wa Kitaifa wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano, uliofanyika mkoani humo leo.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe Halima Dendego amewaagiza viongozi wote wa Mkoa huo kujipanga na kusimamia kikamilifu Mpango wa Kitaifa wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano kwa kufikia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani