Milla Sports Club a.k.a. Berlin ya Temeke yakabidhiwa vifaa vya michezo

 Timu ya Milla Sports Club ya Temeke maarufu kama Berlin imeadhimisha siku yake ya Milla Day katika hafla ambayo pia walikabidhiwa  vifaa vya michezo Jersey na mipira ili kusaidia timu hiyo iweze kushiriki ligi ya soka Wilaya ya Temeke. Timu hii ya Berlin imezalisha wanamichezo na viongozi wengi maarufu wa soka nchini. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo MJUMBE wa NEC Ndg. Phares Magesa akitoa msaada huo wa vifaa vya michezo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MTEMVU AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO OFISI YA CCM TEMEKE

 Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akimkabidhi  vifaa vya michezo Katibu Kata ya Mtoni kwa Azizi Ally vyenye thamani ya sh.800,000 kwa wenyeviti wa CCM wa Kata mbalimbali wilayani Temeke katika Hafla fupi ya kusheherekea miaka 39 ya  kuzaliwa kwa chama hicho ambapo kilele cha maadhimisho hayo yatafanyika kesho Mkoani Singida  ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa  Rais Mstaafu Dtk  Jakaya Kikwete Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA KLABU YA AFRICAN SPORTS

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu ametoa vifaa vya michezo kwa timu ya African Sports ya Tanga yenye thamani ya zaidi ya milioni 1.5 ikiwa ni mkakati kabambe wa kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye mashindano wanayoshiriki na hatimaye kucheza ligi daraja la kwanza msimu ujao.
Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga wakati wa ufunguzi wa timu ya wanawake ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya wilaya ya Tanga ambapo...

 

3 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB WAZINDUA DUKA LA VIFAA VYA MICHEZO

Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Akikata Utepe wakati wa Uzinduzi wa Duka la Vifaa vya Michezo akiwa Ameambatana na Afisa Mtendaji Mkuuwa Eaggroup Ndugu Iman Kajula Pamoja na Wadau wengine wa Club Hiyo.
 Katika kukuza wigo wake wa mapato pamoja na upatikanaji wa vifaa, klabu ya Simba leo imezindua duka lake rasmi kwa ajili ya kuuza vifaa vya michezo vyenye chapa ya Simba.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Rais wa Simba Evans Aveva alisema “kama  mtakumbuka moja ya malengo ambayo...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI

Viongozi wa Kampuni ya Bantu Sports And Fitness Enterprise, wakipanda mti wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo iliyoambatana na utoaji wa Msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kutunza mazingra katika Shule ya Sekondari Miono na Kikaro zilizopo Chalinze Mkoa wa Pwani. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kevin William na Alex Mode wa Shule ya Kikaro wakichuana kuwania mpira baada ya kupokea msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya...

 

5 years ago

GPL

BANTU SPORTS AND FITNESS ENTERPRISE WATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE YA MSINGI MIONO, CHALINZE PWANI‏

Viongozi wa Kampuni ya Bantu Sports And Fitness Enterprise, wakipanda mti wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo iliyoambatana na utoaji wa Msaada wa Vifaa vya Michezo na vya mafunzo ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na kutunza mazingra katika Shule ya Sekondari Miono na Kikaro zilizopo Chalinze Mkoa wa Pwani. Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kevin William na Alex Mode wa Shule ya Kikaro wakichuana kuwania mpira… ...

 

5 years ago

Michuzi

TEMEKE FAMILY & SPORTS CLUB KUANDAA TAMASHA 4 MEI DAR LIVE

Vijana wa Temeke wameungana na kuunda kundi linaloitwa Temeke Family & Sports Club , Pichani wanaonekana viongozi wa kikundi hicho wakiwa na Mlezi wao ni Ndg. Phares Magesa ( MNEC) wakibadilishana mawazo namna ya kufanikisha tamasha kubwa la wanamichezo litakalofanyika tarehe 4 Mei, 2014 katika ukumbi wa Dar live Mbagala na linatarajiwa kuhudhuriwa na vikundi zaidi ya 50 vya vijana na wanamichezo.

 

4 years ago

Michuzi

TIMU YA TAIFA YA PARALYMPIC YAKABIDHIWA VIFAA KWA AJILI MICHEZO YA AFRIKA

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiikabidhi Timu ya Taifa ya Paralympic vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika  (All African Games).Kushoto anayepokea vifaa hivyo ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. 

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na kikosi cha...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari Picha Hospitali aya Abdulla Mzee Mkoani Pemba yakabidhiwa vifaa vya upasuaji na watu wa china

MGANGA Mkuu wa Hospitali ya Mkoa ya Abdulla Mzee Mkoani Pemba, Dk Haji Mwita Haji, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhiwa vifaa vya mafunzo ya upasuaji mdogo kwa ajili ya wanaovunjika mifupa, kutoka hospitali ya Wuxi no 2 ya watu wa China, ambapo vifaa hivyo kwa Afrika Mashiriki pekee, vipo hospitalini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 

KIONGOZI mkuu wa madaktari wa kichina waliopo hospitali ya Mkoa ya Abdulla Mzee Mkoani Pemba, akizungumza kwenye hafla kukabidhiwa vifaa vya mafunzo ya...

 

4 years ago

GPL

OFISI YA BUNGE YAKABIDHIWA NA SERIKALI YA CHINA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA VYENYE TAHAMNI YA DOLA ZA KIMAREKANI LAKI MOJA

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa serikali ya China kwa ajili ya kusaidia shughuli za Bunge. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani laki moja vimekabidhiwia leo katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Spika jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda… ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani