Mimba za utotoni janga la taifa

INGAWA asasi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali zinapiga vita ndoa na mimba za utotoni, bado tatizo hilo ni kubwa katika  mikoa ya Mtwara na Lindi. Ripoti ya pili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Mimba za utotoni ni janga la kitaifa zanzibar.

Wanafunzi wa Skuli ya Mpapa Sekondari   wameiyomba serikali kuendeleza juhudi za kutoa elimu ya kiraia maskulini  ambayo itaweza  kuwahamasisha  katika masuala ya udhalilishaji  na kuwaepusha na mimba za utotoni.

Wakizungumza katika mkutano maalumu ulioandaliwa na Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania Tamwa wamesema  mimba za utoto na ndoa za mapeme kuongezeka katika skuli yao  imesababishwa na tamaa na kuiga tamaduni za watu wengine  jambo linalowakatisha ndoto zao za maisha.

Nao...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ni zamu ya mashabiki sasa: Jang’ombe Boys Vs Taifa Jang’omba

Tarehe 25 Disemba 2016 kutakuwa na mchezo maalum wa kirafiki utakaowakutanisha Mashabiki wa Taifa ya jang’ombe na mashabiki wa jang’ombe Boys mchezo ambao utasukumwa saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.

Mchezo huo umeandaliwa na ndugu wawili baba mmoja na mama mmoja lakini timu zao ni tofauti , kwa hapa Zanzibar Saleh Nassor “Mtibwa Sugar” yeye timu yake jang’ombe Boys, wakati Suleiman Nassor “Super Cinyo” yeye ni Mshabiki wa Taifa ya jang’ombe.

Kwa Tanzania bara wote timu yao moja...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kesho ni zamu ya mashabiki sasa: Jang’ombe boys vs Taifa jang’omba

Kesho Jumatatu Tarehe 26 Disemba 2016 kutakuwa na mchezo maalum wa kirafiki utakaowakutanisha Mashabiki wa Taifa ya jang’ombe na mashabiki wa Jang’ombe Boys mchezo ambao utasukumwa saa 1:00 za usiku katika uwanja wa Amaan.

Mchezo huo umeandaliwa na ndugu wawili baba mmoja na mama mmoja lakini timu zao ni tofauti kwa hapa Zanzibar, Saleh Nassor “Mtibwa Sugar” yeye timu yake jang’ombe Boys, wakati Suleiman Nassor “Super Cinyo” yeye ni Mshabiki wa Taifa ya Jang’ombe.

Kwa Tanzania bara wote timu...

 

4 years ago

BBCSwahili

Ndoa za utotoni janga Tanzania

Tanzania ni moja ya nchi zinaoongoza kwa mimba na ndoa za utotoni, kwa mujibu wa Shirika la Haki za Binadamu duniani.

 

4 years ago

Mwananchi

Ndoa za utotoni bado ni janga nchini

Wakati watoto wenzake wakijiandaa kwenda shule asubuhi, Julian Marwa (14) mkazi wa Kijiji cha Nyamwaga wilayani Tarime, Mara, yuko nyumbani akiandaa chai kwa ajili ya mume wake ambaye ni mtu mzima wa miaka 45.

 

1 year ago

RFI

Mimba za utotoni

Fuatilia mada juu ya mimba za utotoni nchini Tanzania. Wanaharakati wanazungumza.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mimba za utotoni Mtwara

Mkoa wa Mtwara ni moja ya mikoa nchini Tanzania ambako watoto wengi wa kike hukatisha masomo kwa ujauzito.

 

2 years ago

Mtanzania

MIMBA ZA UTOTONI ZAONGEZEKA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu.

MAULI MUYENJWA-DAR ES SALAAM.

UTAFITI mpya wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria kwa mwaka 2015 na 2016 umemulika matatizo makubwa yanayoitesa Tanzania.

Utafiti huo uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ulizinduliwa jijini Dar es Salaam jana, ambapo moja ya tatizo lililoonekana kuongezeka ni mimba za utotoni.

Kwa mujibu wa utafiti huo, tatizo hilo limeongezeka kutoka asilimia 23 mwaka 2010 hadi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mjue mchezaji aliyefunga magoli mengi mechi za Jang’ombe Boys dhidi ya Taifa ya Jang’ombe.

Jina lake ni Khamis Mussa “Rais” ambae hadi leo bado rekodi yake haijavunjwa na mchezaji yoyote kwenye mechi ya Dabi ya Jang’ombe kati ya Jang’ombe Boys dhidi ya Taifa ya Jang’ombe.

Ni Striker hatari wa Jang’ombe Boys, huyu jamaa ndiye mchezaji aliyefunga magoli mengi zilipokutana timu hizo.

Ameshafunga mabao mawili mpaka sasa na hakuna mwengine yeyote alifika mabao hayo.

Rais amefunga mabao hayo katika mchezo mmoja wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja ambapo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani