Mimi si Jambazi ni Uhusika Tu- Nkwabi

Nkwabi Juma mwigizaji nyota wa filamu ya C.P.U amefunguka kwa kusema kuwa yeye si Jambazi bali ni uhusika tu ambao umfanya acheze kama mtu mtata na jambazi liliokubuhu kutokana tu na watayarishaji kumchagua katika nafasi kama hizo lakini hajui hata kuiba kuku na amekuwa akimudu nafasi hizo kwa kufanya utafiti tu.

“Msanii mnzuri ni lazima huwe mbunifu na kuchagua character yako ambayo kila mtengeneza sinema akiandika muswada (script ) anakuona wewe ndio utakayoitendea haki na si mtu mwingine...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo Movies

Nkwabi:Mimi sio Jambazi

Staa wa Bongo Movies, Nkwabi Juma amefunguka na kusema kuwa yeye si Jambazi bali ni uhusika tu ambao umfanya acheze kama mtu mtata na jambazi liliokubuhu kutokana tu na watayarishaji kumchagua katika nafasi kama hizo lakini hajui hata kuiba kuku na amekuwa akimudu nafasi hizo kwa kufanya utafiti tu.

“Msanii mzuri ni lazima huwe mbunifu na kuchagua character yako ambayo kila mtengeneza sinema akiandika muswada (script ) anakuona wewe ndio utakayoitendea haki na si mtu mwingine ndio kitu...

 

1 year ago

Bongo Movies

Nandy alivyouvaa uhusika katika Subalkheri Mpenzi

Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa kike hapa kujipamba wakati wa kutengeneza video zao kwa mapambo ya kila aina ikiwamo vipodozi.

Hali hiyo inafanya wengine hata kusahaulika sura zao halisi, hasa pale wanapozidisha mapambo hiyo ikiwemo kubadili nywele zao kwa kuvaa za bandia.

Lakini kwa Nandy ambaye jina lake halisi Faustina Charles naona hali hiyo kaibadili katika video ya wimbo wake wa Kivuruge unaotesa kwa sasa.

Mbali na Kivuruge pia katika video ya wimbo wa Subalkheri,...

 

5 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -4

KWANZA tuwe tumeshakubaliana na ukweli kwamba mzazi ni kichocheo cha mtoto kuwa mhusika bora katika mapenzi, baada ya hapo tutakuwa na mawazo yanayoshabihiana kwamba gubegube au gumegume mara nyingi ni matokeo ya malezi mabaya. Tuendelee kutoka hapohapo, sasa ni muongozo kwako kuwa haina maana kuwa unaweza kusamehewa na kuachwa kama ulivyo eti kisa ndivyo ulivyolelewa. Nani atakukubali kama wewe ni mzigo usiobebeka? Tafakari...

 

5 years ago

GPL

UHUSIKA WA WAZAZI HUSABABISHA MTOTO AWE GUMEGUME AU GUBEGUBE KATIKA MAPENZI -5

KUTOKA mwanzo wa makala haya mpaka hapa tulipofikia, sina shaka utakuwa umeshatambua namna ambavyo uhusika wa wazazi unavyoweza kuwafanya watoto wao kuwa ama magubegube au magumegume katika mapenzi. Kutoka hapo, sasa tuhitimishe mambo machache kwa kupeana maelekezo ya kimsingi ambayo yanaweza kukusaidia katika maisha yako ya kimapenzi hata kama ulipata muongozo wa ovyo kutoka kwa wazazi wako. Haishindikani wewe kuwa bora hata...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Nicole azungumzia uhusika mkuu kwenye filamu ya Red Flag aliyofanya na Rammy Galis na Wanaijeria

Nicole Franklyn Sarakikya na Rammy Galis wameigiza kama mtu na girlfriend wake kwenye filamu iitwayo Red Flag iliyohusisha wasanii wa Nigeria pia.

12976203_1763105490588499_714244318_n

“Red Flag ni movie ambayo ina comedy kidogo na it’s a romantic comedy movie,” Nicole ameiambia Bongo5.

“Mimi nimecheza kama Vanessa, Vanessa kwenye movie ni main character. Rammy alikuwa Fred ambaye ndio alikuwa boyfriend wangu kimovie, alikuja Tanzania kutafuta girlfriend tukakutana. Kule Nigeria alienda kunitambulisha kwao,” ameongeza.

12479085_1718899638389618_123418846_n

“Ni...

 

5 years ago

We Will Never Forget You

Nkwabi Ng'wanakilala


Daily News
Nkwabi Ng'wanakilala - We Will Never Forget You
AllAfrica.com
JUNE 28, 2014, was a sad day to many in the media and even stakeholders. This is the day when death grabbed from the media fraternity a hard working teacher, lecturer and journalist, who dedicated a larger part of his life serving the public and publishing ...
Kikwete pays glowing tribute to Ng'wanakilalaDaily News

all 6

 

3 years ago

MillardAyo

Rais Magufuli ‘mimi sio Dikteta, mimi ni mpole lakini…’

6

Feb 4 2016 Rais John Pombe Magufuli  alifanya uzinduzi wa mwaka mpya wa Mahakama katika siku ya sheria Duniani, tukio lilifanyika Dar es salaam. Hapa nakusogezea yote makubwa aliyosikika katika uzinduzi huo Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio […]

The post Rais Magufuli ‘mimi sio Dikteta, mimi ni mpole lakini…’ appeared first on...

 

5 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA VICTORIA WILBERT NKWABI

Leo ni miaka miwili sasa tokea  Mpendwa wetu VICTORIA,uliposikia sauti ya Mungu  wetu ikikuita nawe ukaitika. Bado tunakukumbuka kwa namna ya pekee kwa Ucheshi, Upendo na Upole.Kwetu kumbukumbu hizi ni hazina zetu.Victoria unakumbukwa sana na mimi mama yako LYDIA,Baba yako mlezi mpendwa Japheth Mbwana,Mumeo mpenzi Emmanuel Kilato, Ndugu zako Godfrey, Mercy, Viollah, na wengine  wengi sana kama  Mama mkubwa, Wajomba zako, Wakwe zako, wanaukoo wote,Majirani wa Lumala,- Mwanza,Geita,Dodoma,...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Nkwabi aiteka Friends of Simba

MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa Simba, Swedi Nkwabi, amezidi kuiteka klabu hiyo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Juni 29 jijini Dar es Salaam baada ya kuibua mgawanyiko katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani